wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

    Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu. Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
  2. K

    Waziri Mkuu, taarifa zinadai idara na Wizara nyingi zinafunga mwaka na wakubwa wanagawana fedha za funga mwaka

    Mhe. Waziri Mkuu tunalojukumu lakukushirikisha wasemavyo Watumishi wa umma hasa waliopo wizarani na kwenye Idara za serikali, naamini ninachokiandika hapa unakifahamu ila najaribu kukirudia ukiweke kwenye mpango kazi wako. Nianze kukupongeza kwa kazi kubwa uliyofanya Wizara ya fedha, hongera...
  3. Profesa Ana Tibaijuka amestaafu siasa? Simuoni kwenye Wizara yoyote kubwa, ni mahiri wa Uchumi

    Huyu mama nilimuheshimu na kuanza kumfuatilia rasmi mwaka 2011. Ilikuwa ni kongamano la Kigoda cha Mwalimu pale UDSM kama sijakosea. Siku hiyo alikuwepo pia Prof. Lipumba ambaye watanzania wengi tulikaririshwa zamani kwamba mchumi hodari Tanzania. Bana wee, hiyo siku ndo nilimtambua huyu mama...
  4. Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

    POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI. Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum) Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/= -Mwezi April ilikuwa balaa. Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/= Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/= -Tarehe 30...
  5. Bilioni 1.6 imeibiwa ndani ya miezi miwili na Waziri wa Fedha Mwigulu yupo!

    Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee! Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni,lakini haya ndio majukwaa huru kwa 100% yanaweza kukupa ushauri mzuri kuliko wale wanaokutazazma ana...
  6. S

    Posho walizolipana watendaji wa wizara ya fedha hazina tofauti na posho za kukaa wanazolipwa wabunge

    Hizo posho walizolipana watumishi wa wizara ya fedha, hazina tofauti kabisa na posho wanazolpiwa wabunge(sitting allowance) wawapo Bungeni. Tofauti iliyopo ni kuwa posho za wabunge zimehalalishwa kisheria ila yote haya ni matumizi mabovu ya fedha za umma. Vile vile malipo hayo ya posho hayana...
  7. VUDEO: Ni uchunguzi gani ili mtu ajue kuwa huu ni wizi mtupu kwa jina la "malipo ya posho ya.....??"

    Hii kitu kama kweli imefanyika Wizara ya fedha - HQ, basi tuna tatizo kubwa sana na usalama wa fedha ya umma chini ya watu hawa... Waziri wa fedha kwa sasa ni Mwigulu Chemba. Kwa takwimu hizi za wizi huu wakati unafanyika zinazotolewa na PM, Mwigulu alikuwa hajawa Waziri bado... Wakati huo...
  8. Natafuta ajira wizara ya fedha

    Habari wadau..! Leo nimeona nisikae kinyonge niombe kazi hapa JF,maana nimesikia watu wanalipana 100milion kwa siku nchi hii. Sasa na mm naomba mwenye koneksheni ya wizara ya fedha tupeane natafuta kazi hata ya kufagia, tukale wote keki,Cv yangu ipo poa tu nina PhD ya wanyamapoli😂😂😂
  9. Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

    Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi. Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa...
  10. K

    Jimbo la Kibamba, barabara ni mbovu mno. Wizara ya Ujenzi mtusaidie jamani

    Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana. Ebu cheki...
  11. New Government Jobs UTUMISHI At TARI & Wizara Ya Mifugo na Uvuvi, May 2021

    JOB VACANCIES Click below to download PDF file: APPLICATION INSTRUCTIONS
  12. M

    Kwanini zabuni ya kuonesha Ligi Kuu Tanzania Bara haikutangazwa, kapewa Azam moja kwa moja?

    TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini. Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini...
  13. M

    Waziri wa Utumishi iangalie vizuri Wizara yako, Upandishaji Madaraja umeshindikana sababu ya Mfumo

    Mhe Waziri pole na Majukumu yako ya kila siku, hivi karibuni Ofisi yako ilitoa waraka wa kuwapandisha madaraja Watumishi wenye vigezo, ukiachilia mbali changamoto ya watumishi wakongwe na juniors kulundikwa kwenye daraja moja (mfano mtu aliyeajiriwa 2013-2014 kuwekwa sawa na mtu wa 2016). Mfumo...
  14. Tatizo la ajira Tanzania sio kubwa ila wanohusika na wizara ndio wanalifanya lionekane kubwa

    Habari wadau! Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni. Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
  15. Rais wa Zanzibar ateua Wakurugenzi katika Wizara ya Habari

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi amemteua Dkt. Saleh Y. Mneno kuwa Mkurugenzi wa ZBC. Nasriya M. Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utumishi na Uendeshaji. Khamis Siasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti. Shaib I. Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa...
  16. Kuna haja ya serikali kuanzisha wizara ya usafi kuanzia nyumbani Hadi makazini

    Natumai hamjambo nyote Kama Kuna kitu nakichukia hapa duniani 1:uchafu 2:uchafu Jamani kiufupi uchafu Ni tabia na si Kama inavyodhaniwa kuwa uchafu Ni kwa wale watu wa Hali ya chini tu Ila ukweli Ni kuwa uchafu Ni tabia Haijalishi una maisha gani Jiulize unafika hospital kuanzia...
  17. Ajira mpya Wizara ya Afya

    (Ajira mpya Wizara ya Afya) May 2021. As for MoHCDGEC announces vacancies for graduates to apply through the website www.moh.go.tz and other media like magazines based on the cadres as per employer requirements. The applicant will then apply through www.ajira.moh.go.tz and fill their...
  18. M

    Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi. Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
  19. J

    Dkt. Tulia Ackson: Ilani inasema barabara ya Tanzam upembuzi yakinifu umekamilika Serikali inasema utafanyika mwakani. Tuiamini CCM au Wizara?

    Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam. Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka...
  20. Naibu Waziri Wizara ya Kilimo na ukuu wa mkoa

    Kumbukumbu zangu zinaonyesha, mara kadhaa manaibu waziri wa wizara ya kilimo wanapata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa Nakumbuka mzee Stephen Masato Wassira, alikuwa naibu waziri wizara ya kilimo, baadaye hayati Mwalimu Nyerere akamteua kuwa mkuu wa mkoa wa Mara Mzee Njelu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…