wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kosa kwa kuwa kashfa nyingi zipo Wizara ya Fedha

    Mh. Madam President ana haki kabisa kumchagua msaidizi wake. Ila alifanya kosa kwa kumchagua Dr P. Mpango. Sababu kuu ni kuwa ametoka wizara nyeti ya Fedha. Wizara hii aliiongoza kwa miaka 5 na zaidi na ndio inayoongoza kwa kashfa za ubambikaji wa kodi, kushuka kwa thamani ya shilingi, wizi...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hakubaliki? Mbona kila Wizara anazodolewa?

    Alipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani zilizuka taharuki. Miili kuokotwa fukweni baharini. Watu kupotea na kutoweka. Mpaka leo hajawahi kutoa majibu sahihi. Sasa hivi amepewa mikoba Wizara ya Fedha. Kila kukicha analaumiwa, kabuni kodi za ajabu ajabu tu. Mara ukiongeza salio kodi, ukitumia mobile...
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo mahususi kwa wizara ya maliasili na utalii

    Chama Cha Mapinduzi kimesema kinathamini, kinaheshimu na kuuunga mkono uhifadhi wa maliasili na uoto wa asili katika hifadhi za taifa, mapori ya akiba na misitu nchini. Pamoja na hayo kimesema uhifadhi endelevu unahitaji ushirikishwaji mkubwa wa jamii na uzingatie mahitaji ya msingi ya...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watumishi 9 wa Kitengo cha upimaji wa COVID - 19 Uwanja wa JNIA Nyerere wasimamishwa kazi kwa kutofika kazini

    Watumishi tisa wa Kitengo cha upimaji wa COVID - 19 kwa wasafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) wamesimamishwa kazi kwa kosa la kutokufika kazini kutoa huduma ya vipimo hivyo kwa wasafiri bila taarifa. "Imeonekana hapa hili zoezi la baadhi ya watumishi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuwe na Wizara ya nyumba na makazi ili kuboresha makazi ya watu

    Wizara ishughulike na ujenzi wa majengo ya watu kuishi. Nyumba za ghorofa za kuchukua familia 50 kwenye block moja. Wakaxi wanakua wapangaji wa wizara na kodi inayokusanywa inasaidia kujenga nyumba nyingine. Wanaotaka kujenga nyumba zao waombe kibali, kigezo cha kupata kibali ni kuonyesha...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili yasitisha tozo za Loji, kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa miezi mitatu

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Damas Ndumbaro amesitisha tozo ya pango ya ardhi kwa loji na kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu kwa lengo la kutoa ahueni kwa Wadau wanaotoa huduma hizo kukabiliana na athari za ugonjwa wa UVIKO 19...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania na Waziri awe Profesa Muhongo

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Wizara ya Ulinzi yatetea uamuzi wa Wanajeshi wa Kike kuvaa viatu vya mchuchumio

    Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa Kisovieti baada ya baadhi ya wabunge kulalamikia uamuzi huo. Picha za wanajeshi hao zilisambaa katika...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa ni mizigo au Wizara zimewazidi kitaaluma na uzoefu?

    Dr. Faustine Ndugulile naamini amepwaya pale mawasiliano, kasi ya mabadiliko ya teknologia ukilinganisha na uwezo wake kiubunifu kwenye ili eneo amepwaya kabisa. Waziri wa michezo Bashungwa wizara yake imemkalia vibaya. Hana hoja au maelekezo mapya yakimkakati kwenye sekta ya michezo. Ukiona...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo wa Wizara ya TEHAMA: Kumbe waliodhani ni Wizara ya VPN walikosea

    Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano (2021-2026), mjini Dodoma leo. Ni wizara ya kwanza kufanya hivyo ndani ya siku mbili baada ya...
  12. mama D

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara, Halmashauri, Agencies za umma (TRA, BRELA, BOT, TRA, TIC) mkiendelea na kazi kwa mazoea mtaendelea kuwa wahujumu uchumi namba 1

    Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita. Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015. Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
  13. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri Wizara ya Utalii waanzishe utalii wa chini ya bahari

    Habari wadau! Ni muda sasa wizara zikajitathimini na kuwa wabunifu ili kumsaidia mama kuongeza mapato. Nilikuwa nashauri serikali kupitia wizara husika kuangalia uwezekano wa kuanzisha utalii watu tukawe tunaenda kutalii chini kabisa ya bahari deep sea bila shaka kutakuwa na utamu wake maana...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya waanza kampeni ya kumsafisha Hayati Magufuli

    Maneno aliyokua anayaongea hayati na kuwakalilisha wananchi wake, sasa imekua ngumu kwa Wananchi kuelewa kila ukiwaambia kitu utasikia Mbn Magufuli alisema hivi, mbn Magufuli alisema vile! Wananchi wamekua wagumu kuvaa Barakoa Hongera Wizara ya Afya kwa kutoa Elimu Mujarab
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wahariri wapigwa msasa kuifahamu Wizara ya Mawasiliano na Technologia ya Habari

    WAHARIRI WAPIGWA MSASA KUIFAHAMU WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI Na Mwandishi wetu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari nchini kwa lengo la kuwajengea uelewa ili waifahamu Wizara hiyo, taasisi zilizo chini ya Wizara...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wizara ya Michezo isiweke idadi ya wanasoka wa kigeni? Maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakosa nafasi

    Nimeamua kuandika habari za mpira wa miguu kwa sababu nyingi lakini za msingi ni kuwa soka ni ajira,biashara,n.k lakini pia ina mipaka yake.mpira wa miguu (Football or soccer) ni biashara kubwa sana sio Kwetu bali duniani kote. Sasa timu zetu kubwa ni mbili tu yaani Yanga na Simba. Hakuna nchini...
  17. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Utalii mnatia aibu

    Hivi unaweza kuamini hadi tarehe ya leo Kuna kituo kimoja tu cha kuchukua sample za Korona kwenye Mbuga zote Tanzania. Wenzetu Kenya ka mbuga kadogo ( Masai Mara) kama robo ya Serengeti kanavyo zaidi ya 10 yaani jamani haingii akilini!! Hicho Kituo kimoja cha Seronera ni private sector...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera JamiiForums, Sauti yenu Imefika Wizara ya Elimu kuhusu Watoto kutokufunga Shule Likizo

    Nimefurahi sana baada ya malalamiko yaliyotolewa hapa kuhusu Wanafunzi kutokufunga shule wakati wa Likizo. Nimeona barua ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kitengo cha Udhibiti Ubora wakizataka shule hizo kutoa maelezo kwa nini hawakufunga shule. Nikiwa kama Mwalimu kitaaluma naungana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

    Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda. Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana. Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa...
  20. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI, pesa za fidia ya ada idara ya sekondari hazitoshi; elimu ya bajeti ya mwaka kwa kila shule inahitajika

    Wanajamvi habari za leo, Poleni kwa majukumu na mihangaiko ya kulipambania taifa letu pendwa la Tanzania. Mnaomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuandaa huu uzi kuhusu elimu katika sekondari. Naomba wizara zinazohusika ziweke mikakati imara ili waweze kuzidhibiti shule za serikali: Moja...
Back
Top Bottom