wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna tatizo gani Wizara ya Katiba na Sheria mpaka Mawaziri hawakai?

    Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni. Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani? Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015 2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019 2019 - 2020 2020 -...
  2. Nini hasa kusudio la Rais Samia kutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi?

    Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi! Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally...
  3. U

    DOKEZO Wilaya ya Uyui inalazimisha Walimu kuchangia michango ya Mwenge

    Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa ajili ya mapokezi ya Mwenge. Pia, Mkurugnzi kanunua vitenge vyake na amevisambaza kwa Waratibu...
  4. Naibu Waziri Kigahe Azitaka Taasisi za Wizara Yake Kupanga Mipango Inayotekelezeka

    Naibu Waziri Kigahe Azitaka Taasisi za Wizara Yake Kupanga Mipango Inayotekelezeka Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ameiagiza Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuhakikisha Mipango yote inayopangwa kila mwaka inaendana na mwelekeo wa Viongozi Wakuu wa Nchi, Mipango...
  5. J

    Makamba wizara imemshinda sikiliza video hii

  6. Viongozi mbalimbali wanatoa ushauri mbovu kwa Rais kuhusu suala la Bandari

    Aliyewahi kuwa Waziri asiye na Wizara Maalum na pia Waziri wa Ardhi, Maliasili na Utalii, Pia Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Wanawake Na Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Mataifa, Balozi Dkt Getrude ibengwe Mongela Ameshauri Rais kuwasikiliza wananchi na kuacha...
  7. Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  8. Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

    HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule. Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani...
  9. Ni muda muafaka CCM ikaunda kurugenzi za kisekta, hivi wizara ya Ardhi imeshindwa kueleza Samia alivyowapa watu ardhi dhidi ya upotoshaji wa Lissu?

    Nashangaa wizara ya Ardhi inaposhindwa kujibu propaganda za Lissu kwamba awamu ya sita imekuwa ikinyanganya watu ardhi. Serikali iliunda kamati ya mawaziri ambayo ilipitia migogoro ya ardhi, na watanzania kwa maelfu, waligawiwa ardhi iliyokuwa Ina mgogoro na hifadhi za taifa au taasisi za umma...
  10. Yuko wapi Bashe na kilimo chake? 'DPWedi' kila wizara!

    Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu. Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo...
  11. Wizara ya Madini yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na Nchi za Afrika

    #Dkt. Biteko Atangaza Fursa uwekezaji Sekta ya Madini St. Petersburg – Urusi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na nchi za Afrika...
  12. J

    Mwanasheria wa Wizara afichua siri nzito mkataba wa bandari

    Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mohamed Salum amesema mkataba baada ya kusainiwa Oktoba 25, 2022 ulipelekwa Bungeni Februari 2023 kwa ajili ya hatua za uridhiwaji ambapo alisisitiza kuwa kabla ya Azimio halijapelekwa Bungeni lilipitiwa na Mfumo mzima wa Serikali ambao ni...
  13. Hongereni Wizara ya Mambo ya Nje. Sasa mnafanya mambo kisasa kweli!

    Namna nchi inavyojibrand kwenye masuala ya Kimataifa ni jambo la muhimu sana. Sio tu inatengeneza picha nzuri juu ya hiyo nchi kwa wageni ila inawafanya wageni waamini kuwa wanajihusisha na mtu / nchi makini sana Hivi karibuni nimetokea kuvutiwa sana na namna Wizara ya Mambo ya Nje wamekuwa...
  14. Wizara ya Mipango na Tume ya Mipango anzeni na hili

    Mwaka 2016/17 Serikali ikifanya maamuzi rasmi ya kuhama Dar es Salaam na kuhamia Dodoma. Uhamaji huu umepelekea majengo mengi sana ya Jiji la Dar hasa katikati ya Jiji na maeneo ya Jirani kuwa matupu. Mengi hayana wapangaji na kiukweli ni kama yameachwa tu! Sote tunafahamu, Dar es Salaam ni...
  15. J

    Nape Nnauye abadilishwe Wizara haraka sana

    Waziri Nape Nnauye anaongoza kampeni za kuua Mamlaka ya serikali Mtandaoni (E-GA). Syndicate inayoongozwa na Nape Nnauye imepanga kuitoa taasisi hii (E-GA) , toka utumishi iliyo chini ya ofisi ya Rais , na kuipeleka Wizara ya TEHAMA. Lengo lililonyuma ya uamuzi huu ni katili sana, Nape...
  16. Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awasili Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Viwanda na...
  17. SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  18. Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi

    MADINI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU NA KAMPUNI YA GGML #GGML wapongeza Mkaa mbadala wa STAMICO #GGML Kinara uchangiaji huduma kwa jamii Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi na wadau wanaotembelea banda la Wizara, taasisi zake...
  19. A

    DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations" Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao; 1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
  20. Kati ya Wizara ya Fedha na TRA mmoja kadanganya mahesabu kwenye ripoti ya mapato 2022/23

    Habarini waungwana! Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza. Kipindi waziri wa fedha anaiwasilisha hotuba ya bajeti mwaka 2023/2024 katika kipengele 'IV. Tathimini ya utekelezaji wa bajeti ya serikari kwa mwaka 2022/23 alieleza serikali ilitaraji kukusanya trilion 41.48 kutoka vyanzo vya ndani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…