wizara ya fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Siasa na Uchumi: Siku 12 za Mwaka wa Fedha zinapita, fedha ya Bajeti haijaanza kutoka; ikifika Juni 2022 ndiyo zitatoka

    Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa. Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha. Mwisho wa...
  2. Baraka Mina

    CCM: Maelekezo ya chama kwa Serikali katika Wizara ya Fedha

    Chama Cha Mapinduzi katika utaratibu wake kimetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango kuelekea uwasilishaji wa Bajeti yake ya mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kuzingatia kuwa Wizara ya Fedha na Mipango ndio kitovu cha mipango yetu ya maendeleo na pia, ndio wizara inayohusika na uwezeshaji wa...
  3. B

    Hazina na Serikali Mtandao chunguzeni ufanisi wa malipo ya serikali kupitia control number, huenda tunapigwa kama Rais Samia alivyowahi kutahadharisha

    Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi. Juzi Kati Tanesco walipata matatizo kwenye mfumo wa LUKU nakupelekea kukosekana kwa huduma hii. Niliwaza sana kuhusu udukuzi wa kimtandao...
  4. Corticopontine

    Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya. Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
  5. Mlalamikaji daily

    Huduma ya 'salary slip' mtandaoni imeondolewa?

    Kwanza nilijaribu kutafuta ya may 2021 nikaambiwa no salary slip for selected month. Leo hii ukifungua salaryslip.mof.go.tz huduma haipatikani kabisa. What's wrong!?
  6. Mwande na Mndewa

    Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

    POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI. Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum) Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/= -Mwezi April ilikuwa balaa. Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/= Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/= -Tarehe 30...
  7. MAHANJU

    Bilioni 1.6 imeibiwa ndani ya miezi miwili na Waziri wa Fedha Mwigulu yupo!

    Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee! Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni,lakini haya ndio majukwaa huru kwa 100% yanaweza kukupa ushauri mzuri kuliko wale wanaokutazazma ana...
  8. S

    Posho walizolipana watendaji wa wizara ya fedha hazina tofauti na posho za kukaa wanazolipwa wabunge

    Hizo posho walizolipana watumishi wa wizara ya fedha, hazina tofauti kabisa na posho wanazolpiwa wabunge(sitting allowance) wawapo Bungeni. Tofauti iliyopo ni kuwa posho za wabunge zimehalalishwa kisheria ila yote haya ni matumizi mabovu ya fedha za umma. Vile vile malipo hayo ya posho hayana...
  9. The Palm Tree

    VUDEO: Ni uchunguzi gani ili mtu ajue kuwa huu ni wizi mtupu kwa jina la "malipo ya posho ya.....??"

    Hii kitu kama kweli imefanyika Wizara ya fedha - HQ, basi tuna tatizo kubwa sana na usalama wa fedha ya umma chini ya watu hawa... Waziri wa fedha kwa sasa ni Mwigulu Chemba. Kwa takwimu hizi za wizi huu wakati unafanyika zinazotolewa na PM, Mwigulu alikuwa hajawa Waziri bado... Wakati huo...
  10. TheDreamer Thebeliever

    Natafuta ajira wizara ya fedha

    Habari wadau..! Leo nimeona nisikae kinyonge niombe kazi hapa JF,maana nimesikia watu wanalipana 100milion kwa siku nchi hii. Sasa na mm naomba mwenye koneksheni ya wizara ya fedha tupeane natafuta kazi hata ya kufagia, tukale wote keki,Cv yangu ipo poa tu nina PhD ya wanyamapoli😂😂😂
  11. Patriot

    Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

    Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi. Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa...
  12. beth

    Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha. Amefanya hivyo ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya Fedha za Umma. Ametoa agizo kwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, CP Salum Hamdun kufanya uchunguzi. Tuhuma...
  13. Peasant educator

    Ubovu wa BoT kiutendaji

    Habari wadau. Nina malalamiko juu ya utendaji wa BOT. Nimeshuhudia utendaji wao first hand nilipofikisha malalamiko yangu ofisini kwao na niliojionea ni vituko tu kwa ofisi hiyo kubwa na yenye reputation kubwa. Moja: Ukifika utapishana na vikabu vilivyopambwa vizuri ambavyo vinaenda kama...
  14. OLS

    Swali Je, Benki Kuu na Wizara ya Fedha zinachukua hatua gani kukuza ufahamu wa Fedha kuongeza Financial Inclusion?

    Moja kati ya kazi kuu ya Benki Kuu ni kudhibiti uchumi kazi ambayo inataka uwepo wa washiriki kwa ngazi zote ili maamuzi ya Benki Kuu yaweze kuwafikia wananchi wa kawaida amba wanaaswa kuwa washiriki Soko la Fedha ndio tegemezi kubwa la Sera ya Fedha, ni wazi kuwa wananchi wakiwa wengi katika...
  15. beth

    Spika Ndugai ahoji kwanini pesa zinakwama Wizara ya Fedha. Amtaka Waziri kujiandaa akisema "Siku ya Wizara yake nitakamata shilingi mwenyewe"

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe" Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati Bunge likijadili Hotuba ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Makamu wa...
  16. goroko77

    Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
  17. Ngaliwe

    Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
Back
Top Bottom