wizara ya fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania TRA na Wizara ya Fedha inatakiwa kupiga hesabu kwa maslahi ya taifa

    Cc: TRA Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba Kuchaji kodi ya Dungu 15M na magari 50 000 tu yakaingia kwa mwaka inapata Shs 750,000,000,000// bilioni 750 tu Wakati kama itapunguza kodi na kuwa shs 5M kila Dungu 4×4 used na kwa kufanya hivyo sasa yakaingia mengi milioni moja kila mwaka na kusambaa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko azitaka Mamlaka za Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Grace Muiyanza: Wapeni mikataba mnaowakopesha katika vikundi

    Watoa huduma ndogo za fedha na vikundi vya kijamii nchini vinavyojihusisha na huduma za mikopo vimetakiwa kuwapatia nakala ya mkataba wananchi wanaowakopesha mikopo. Akizungumza katika program ya elimu ya fedha kwa wananchi wa Mji Mdogo wa Mikumi, Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Afisa...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya uchumi wa kidijitali yanukia kuelekea 'Cashless economy'

    Waziri Mwigulu Nchemba amesema Serikali ina mpango ya kupandisha hadhi ya Tanzania kuwa na uchumi wa kidijitali na mojawapo ya hatua kubwa inayochukuliwa ni kuwa mfumo madhubuti ya kidijitali itakayowezesha wananchi kufanya malipo kwa urahisi popote kwa gharama nafuu Serikali kupitia Benki kuu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tutaanza kutumia VAR msimu ujao ili kupunguza matukio yenye utata

    Amayesema hayo wakati Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 === Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoa msamaha kwenye uingizaji wa mashine za ‘’VAR’’ na vifaa vyake kwa ufafanuzi utakaotolewa hapo baadaye akisema uamuzi huo...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu apendekeza msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR

    Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu. Waziri Nchemba amesema, Tanzania inafanya vizuri kwenye michezo ndio maana imepewa fursa ya kuhost AFCON 2027. Kwa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha kutumia Tsh. Trilioni 17.63 kwa Matumizi ya Kawaida, Tsh. Bilioni 544.05 kwa Matumizi ya Maendeleo

    Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2024/25: Muhtasari Utangulizi: Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2024/25, ikijumuisha ombi la kuidhinishiwa matumizi ya jumla ya shilingi trilioni 18.17. Kiasi hiki kimegawanywa katika matumizi ya kawaida na maendeleo kwa...
  8. Morning_star

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuchoma hela niamishiwe wizara ya fedha.

    Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  11. SAFCo_Academy

    JamiiForums Tanzania (Tanzania) Clean up your data headaches! Jump into Power Query training and see how it can make your data work way easier.

    Why Choose Power Query Training with Us? Hands-On Learning: Our training is practical and hands-on, ensuring you gain real-world skills that you can apply immediately. Expert Guidance: Learn from experienced instructors who will guide you through the ins and outs of Power Query. Supportive...
  12. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Fedha kuhusu kuongeza mapato kupitia usajili wa namba za magari

    Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe na watumiaji wengi Ishuke iwe kwa mwezi, serikali iweke Tsh laki moja kwa mwezi [100,000] itapata...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wizara ya Fedha hainufaiki na mikopo ya 'Kausha Damu'

    Suala la mikopo ya chap chap yenye riba kubwa maarufu 'kausha damu' limejitokeza katika mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ambapo wananchi wa Singida Mjini wamemuomba kiongozi huyo kuwasaidia. Leo Alhamisi Januari 25, 2024...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, kwenye leseni za biashara online na za Wizara ya Fedha kuna rushwa inatolewa kwa nguvu

    Kuna wakati niliwahi kuja na uzi hapa nikimlalamikia Waziri wa Fedha kutwa na usiku anasaini mikataba ya kuomba mikopo ilihali kwenye data base yake ya kuhusu watu wanao omba leseni za biashara mbalimbali wamewasilisha Maombi ili waweze kukata leseni na kufanya biashara. Binafsi nilikuwa mhanga...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tunafuatilia wanaofanya utapeli kwa Wastaafu wanaofuatilia mafao

    Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, linaendelea katika siku ya pili na ya mwisho Jumanne Oktoba 24, 2023. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua majadiliano kwa kushukuru jinsi Mitandao ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanamitandao ya Jamii: Wizara ya Fedha yatoa wito Mitandao ya Kijamii itumike kuelimisha jamii umuhimu wa kodi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, leo Jumatatu Oktoba 23, 2023 ambapo amesisitiza matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya faida ya Nchi...
  17. McMahoon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunahitaji uruhusu nasi tupokee pesa kutoka Paypal kama wanavyofanya wakenya

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Pole na majukumu ya kuongoza nchi na pia hongera kwa kazi nzuri unayofanya kuifanya nchi yetu inakua kiuchumi na kuwa na amani. Kwa sasa dunia ni kijiji, unaweza kufanya kazi na mtu yoyote aliyeoko nje ya nchi. Tuna tatizo la ajira kwahiyo vijana wengi...
  18. Mawimba

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wizara ya Fedha na TRA mmoja kadanganya mahesabu kwenye ripoti ya mapato 2022/23

    Habarini waungwana! Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza. Kipindi waziri wa fedha anaiwasilisha hotuba ya bajeti mwaka 2023/2024 katika kipengele 'IV. Tathimini ya utekelezaji wa bajeti ya serikari kwa mwaka 2022/23 alieleza serikali ilitaraji kukusanya trilion 41.48 kutoka vyanzo vya ndani na...
  19. Gideon Ezekiel

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tunachukua hatua sasa?

    Nimeanza na swali hili ambalo lilikua ni wito kwa serikali zote Duniani kuhusu kusambaa kwa taka za plastiki katika mazingira yetu. Kiukweli taka za plastiki ni hatari Duniani kote si kwa binadamu pekee bali hata kwa viumbe wengine. Katika maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani hapo Mei 5...
  20. Deodravis

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu kuhusu Wizara ya Fedha baada ya kusikiliza bajeti ya Wizara hiyo

    BAADA YA KUSIKILIZA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA LEO NIMEGUNDUA MAMBO MATANO MAKUBWA. Na wengi huenda huwa tunaitupia bure mawe wizara hii. Kivipi? JITAHIDI USOME UZI HUU MPAKA MWISHO. [emoji1545] Kati ya wizara ambazo zinapigwa mawe nchini basi wizara ya fedha inaongoza. Kwa sababu ndio...
Back
Top Bottom