wizara ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ufundishwaji wa Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi nchini Tanzania unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Elimu ya Juu

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa, kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi, mapishi tofauti, ujasiriamali...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yaja na "Samia Schorlaship" kuinua masomo ya sayansi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam kueleza mikakati ya wizara yake ambayo ikiwemo utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2022/23 iliyopitishwa bungeni amesema Serikali imetenga shilingi Bilioni 3 kwa mwaka huu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Inashangaza Wanaharakati kulaumu Uteuzi wa Albert Chalamila kisa aliwachapa viboko Wanafunzi

    Kumekuwa na mjadala mzito mitandaoni baada ya Rais Samia kumrejesha madarakani aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila. Wengi wanaopinga uteuzi wake wanarejea tukio la tarehe 3 Oktoba 2019 ambapo Mkuu huyo wa Mkoa aliwachapa bakora wanafunzi 14 kutoka shule ya sekondari Kiwanja...
  4. Malenja jr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Pamoja na msistizo mkubwa katika masomo ya Sayansi na VETA, Wizara Ya Elimu msisahau Historia

    Na Malenja jr Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza hayo matakwa yao lakini nionapo hoja zao ni dhaifu katika kunikosoa huwa naendelea na yale...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Taaluma yangu Mashakani

    TAALUMA YANGU MASHAKANI. Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha lakini imekuwa tofauti hadi sas wasomi kuzalaulika kwa jamii na kuonekana kama wajinga maana wasomi...
  6. Chipoku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Unda kikosi kazi cha taifa kuhusu elimu tuitakayo Wizara ya Elimu iwe mbali na kikosi kazi hicho

    Kongole Mh.Samia Kwa Uwekezaji mkubwa katika Elimu Yetu Ila Usiruhusu Wizara Ya Elimu Kufanya Hili Kassim Mpingi Rufiji- Pwani Ni ukweli usiofichika Kwamba Mh. Rais Samia Amefanya Uwekezaji Mkubwa Kwenye Elimu Yetu Kuanzie Ile Ya Awali Mpaka Elimu Ya Juu. Wakati Mwalimu Nyerere Anaamua...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga chuo kipya cha TEHAMA Dodoma

    Salaam Wakuu, Wizara ya Elimu imesema Tanzania itajenga Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael Mkoani Dar es Salaam tarehe 19 Juni 2022 wakati wa kutiliana saini za...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kumuondoa Profesa Ndalichako Wizara ya Elimu yaanza kung'ata

    Elimu ni mojawapo ya wizara zilizoleta taharuki ya kuondolewa mawaziri wao kufuatia ladha za utendaji wao zilivyokuwa tamu kwa taifa (wananchi). Wizara zingine ni Ardhi na Sheria & Katiba. Malalamiko ya ardhi yaliyokuwa yamepunguzwa sana na Mhe. Lukuvi sasa yameanza kurudi kwa kasi. Prof...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu Mjipange

    Hii wizara ya elimu ina tatizo kubwa ambalo ninaliona katika mifumo yake na sidhani kama inatakiwa kuwa ya kienyeji namna hii. Mimejaribu kupitia design yake na logo zake zilizopo katika website yao nimegundua kuna tatizo kubwa mno. 1.watu wake wa Tehama sijui waliokota wapi inaonekana ni...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008

    Naibu waziri wa elimu akiwa bungeni, amesema suala la kuvuja mitihani halipo na mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008 na ulikuwa mtihani mmoja wa somo la hisabati wa kidato cha nne. Naibu waziri amesema kutoka mwaka 2008 hakujawahi kutokea kuvuja mitihani bali kinachotokea ni udanganyifu...
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Tamisemi na Wizara ya Elimu mawazo ya Profesa Kitila Mkumbo yasipuuzwe

    Mawazo aliyoyatoa mbunge wa ubungo kilita mkumbo kuhusu kufuta cheo cha afisa elimu kata ni mazuri na yana tija kwani shughuli wanazofanya hao watu zinaweza kufanywa na mwalimu mkuu, au mkuu wa shule na tena serikali ikaokoa kiasi cha pesa kwani wanalipwa posho ya madaraka laki mbili na nusu...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia asoma Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2022/23

    HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2022/23 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lakoTukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Kaya zenye Wazazi Waliosoma zina Usitawi kuliko Kaya ambazo Wazazi hawajasoma

    Salaam Wakuu, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda, amesema Takwimu zinaonyeshwa kwamba Kaya zenye Wazazi Waliosoma, zina Usitawi kuliko familia za Wazazi ambao hawajasoma. Hata Nchi zilizowekeza kwenye Elimu zina maendeleo zaidi ya Nchi ambazo hazijawekeza kwenye Elimu...
  14. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Elimu, michango mashuleni imerudi?

    Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi. Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali chunguzeni unyanyasaji, dhuluma na udhalilishaji unaofanywa na Mkuu wa Shule ya St. Margaret Maria Alokok, Igunga, Tabora

    Kimsingi sisi wazazi ndio waendeshaji wakuu wa shule hii kutokana na ada pamoja na michango mingine tunayolipa, pamoja na mambo mengine wazazi hatufurahishwi na vitendo vya udhalilishaji na dhulma anazofanya mkuu wa taasisi hii ambaye ni mtawa wa kanisa katoliki, kanisa lenye reputation ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tamisemi kupewa Bashungwa , hii imekaaje?!

    hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki... MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi.. anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
  18. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu iwasaidie wazazi katika hili waache kuibiwa

    Wakuu habari! Tukiwa tunaelekea mwezi Januari ambapo wazazi wengi wenye watoto wanaosoma sekondari watatakiwa kuhakikisha wanawanunulia watoto mahitahi yote muhimu ya shule kabla ya shule kufungua ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya masomo. Sasa Kuna mahitaji mengine wanayoagizwa watoto wa...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake? Bonus 🤣🤣
  20. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kuwa mwenyekiti wa Bodi ya GPE ni fursa kwa Tanzaina; Wizara ya Elimu Changamkeni, Ndalichako usisale

    Mh. Rais Mstaafu Dr Jakaya kikwete kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Global Partnership for Education ni mafanikio makubwa kwa sekta ya elimu ya Tanzania. Global Partnership for Education ni moja ya taasisi kubwa inayofadhiri miradi ya elimu duniani. Nchi yetu imekuwa ikifanya jitihada...
Back
Top Bottom