Wizara ya Afya yatoa muongozo wa kujikinga na COVID19 kwa taasisi za elimu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,008
9,873
Mwongozo huu unalenga kuweka mazingira wezeshi katika maeneo ya Taasisi za elimu ikiwa ni pamoja na; Vyuo, shule za sekondari, shule za Msingi, shule za awali na vituo vya kulelea watoto wadogo mchana (Day care centres) kabla ya wanafunzi kurejea shule na vyuo na kuendelea na masomo katika kipindi hiki cha mlipuko wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi aina ya Corona.

Katika kufanikisha uwepo wa mazingira hayo, Mwongozo umezingatia maeneo makuu manne ambayo ni Maandalizi ya mazingira na taasisi za elimu kabla ya kufunguliwa, Uchunguzi wa Afya, Usafiri wa kwenda na kurudi shule na vyuo na Mazingira ya kujifunzia.

Maandalizi ya Mazingira ya Taasisi za elimu kabla ya kufunguliwa,Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara zote zinazosimamia vyuo na taasisi za mafunzo wanashauriwa kuhakikisha mazingira salama ya shule, vyuo na Taasisi za elimu kabla wanafunzi kurejea ili kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19. Katika kuandaa mazingira.

1625405958057.png

1625405976686.png

1625405989645.png

1625406001422.png
 
Si haba. Hizi no shule. Bado uraiani. Pole pole tutafika tu.

Sina hakika wale mburumundu wako katika hali gani kile waliko.
 
Back
Top Bottom