Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,815
- 5,364
Kwa hiyo kolabo ya wanasiasa wa upinzani naona Kasongo na Soprono watapelekwa nyumbani asubuhi mapema. Mmoja Sugoi mwingine Tharaka.
Labda washindwe kuwa na umoja mpaka mwisho ila kwa Wakenya na imani nao kidogo fofauti na wanasiasa wa upinzani hapa kwetu.
Labda washindwe kuwa na umoja mpaka mwisho ila kwa Wakenya na imani nao kidogo fofauti na wanasiasa wa upinzani hapa kwetu.