william

William is a male given name of Germanic origin. It became very popular in the English language after the Norman conquest of England in 1066, and remained so throughout the Middle Ages and into the modern era. It is sometimes abbreviated "Wm." Shortened familiar versions in English include Will, Willy, Willie, Bill, and Billy. A common Irish form is Liam. Scottish diminutives include Wull, Willie or Wullie (see Oor Wullie or Douglas for example). Female forms are Willa, Willemina, Willamette, Wilma and Wilhelmina.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na (OCCRP)

    Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP. "Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa kuna askari wa Tanzania wanaosaidia serikali habithi ya William Ruto kuwateka wakenya kama walivyozoea kufanya Tanzania?

    Kuna habari kuwa Gen Z wa Kenya wana mpango wa kukinukisha tena. Katika kusikiliza habari baada ya kutekwa kwa mchoraji vibonzo vinavyompinga Ruto aitwaye Kibet Bull, wamesema kuna watekaji toka nchi jirani. Kumbuka. Wakati wa maandamano ya Gen Z kulizuka shutuma kuwa askari polisi wa Tanzania...
  3. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya William achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir. Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu COTU, Francis Atwoli: William Ruto atakuwa Rais katika uchaguzi wa 2027 kufikia saa 4 asubuhi

    Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli, amesema kuwa itakuwa vigumu kumshinda Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 nchini Kenya. Akiwa mgeni katika kipindi cha JKL Show usiku wa Jumatano, Atwoli alieleza kuwa hakuna mgombea anayeonekana kuwa na...
  5. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais (RIP) Benjamini William Mkapa alikuwa na watoto?

    Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere! Mwinyi hata Rais wa Zanzibar ni mwanae! Kikwete, Riziwan Kikwete ni Waziri! Mangufuli tunamjua ni baba Ester! Sasa Mkapa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or 2024

    Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or mwaka 2024 Upande wa Makipa akiwa na asilimia 55.9% akifatiwa na kipa wa Madrid A.Lounine akiwa na asilimia 21.9% hapo awali ziliongozwa na kipa was Real Madrid Lounine. kwa asilimia 59% kabla ya kipa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

    Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President William Ruto Names Second Batch of The Cabinet

    Ruto Names Second Batch of The Cabinet President William Ruto: The government will provide all necessary support for those affected by protests. ✅President Ruto: Police officers, their prison counterparts and other security agencies officers will start receiving salary increments this month...
  9. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto atangaza Baraza Jipya la Mawaziri 11 na Mwanasheria Mkuu mpya

    Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya. ✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini: • Waziri wa Ulinzi Adan Duale • Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uteuzi mpya wa Baraza la Mawaziri uliofanywa na Rais William Ruto

    President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya. Mwanasheria Mkuu - Rebecca Miano ( kabla ya kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri alikuwa waziri wa Biashara)...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Katiba ya Kenya Inaruhusu, William Rutto Ajiuzulu Tu

    Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika. Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: President William Ruto is reportedly set to conduct a major Cabinet reshuffle

    President William Ruto is reportedly set to conduct a major Cabinet reshuffle which will result in the abolition of about seven ministries. A front-page publication by a local media house citing State House sources suggests that the current 22 ministries will be reduced to 15 in the...
  13. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la Marekani

    Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo Iwapo Mheshimiwa Spika atakubali, Rais William Ruto atakuwa : • Kiongozi wa kwanza kutoka Kenya kuwahi kuhutubia Bunge la...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi na Profesa Kabudi bado wapo Ikulu?

    Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu. Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa mazito zaidi na ya heshima zaidi kuzidi ya uwaziri. Hii ni kwa sababu walikuwa wawe "viranja" wa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi arejesha Fomu ya kugombea Uenyekiti Kanda ya Nyasa, Asindikizwa na William Mungai

    Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa. Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa. Hali ilikuwa hivi .
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania William Ruto hana maadili msibani

    Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kufanya ukiwa msibani wewe ndg William Ruto kimoja wapo ni kuonesha sura ya furaha msibani.
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Makonda azuru kaburi la Benjamin Mkapa

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amezuru kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara. Mwenezi Makonda aliyesitisha ziara yake Mkoa wa Ruvuma na Mtwara kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wakenya walitamani Hayati Magufuli angekuwa Rais wao, wamempata Ruto

    Ndugu zangu wana JF, ni matumaini yangu mko sawa kabisa. Rejea kichwa cha mada chahusika. Hawa majirani zetu walitamani sana Hayati JPM angekuwa Rais wao enzi za uhai wake. Binafsi naona kama maombi yao yamejibiwa na Mungu kawajalia kumpata William Samoei Ruto, ambaye ana sifa karibia sawa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja jiandae 2025 Rudi Bungeni

    Kwa wafuatiliaji wa siasa haswa Za Kanda ya Ziwa. Kuna huyu Jamaa. Kama mnavyokumbuka Alikua ni Kati ya Game makers wa Siasa haswa Za Mkoa wa Mwanza. Ni Kati ya wasomi mahiri tulionao lakini alijikuta akidondokea pua mwaka 2020 kutokana na Mambo ya Hayati. Kwa mambo yalivyo pale Senger ma ipo...
Back
Top Bottom