wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ewe askari soma hii na uielewe

  3. JamiiForums Tanzania Wewe Mchezaji Mzawa wa Simba SC uliyeiba 'Soksi' ya Mchezaji Aubin Kramo ili 'Ukamroge' mrudishie haraka sana

    Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...
  4. JamiiForums Tanzania Kama huyu mzee anapata mashaka na CCM, mimi na wewe ni nani mpaka tuwaelewe?

    Habari JF, katika pita pita zangu nimekutana na hii clip, mzee anaongea kwa uchungu katika mkusanyiko wa kijiji. Kaenda mbali mpaka kuuliza kwamba Tanzania hii wanaojua kusoma na kuandika ni CCM peke yao tu. Kama anavyoongea ni kweli, sisi ni nani tusiwe na mashaka na hiki Chama?
  5. JamiiForums Tanzania Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

    Kwema Wakuu! Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi. Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
  6. JamiiForums Tanzania Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

    Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee.. Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa.. Wanawake huu ndo uzi wenu ambao ndiyo turufu pekee ya kuligaragaza hili chama la "mwanaume kataa ndoa".
  7. JamiiForums Tanzania Biashara nzuri(side husle) kwa mfanyakazi inayohitaji usimamizi mdogo

    Wadau naomba ushauri nifanye biashara gani ambayo haihitaji usimamizi kuanzia saa 2 asubuhi napoingia kazini mpaka saa 11 jioni
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wimbo huu wa mbilia Bel 'paka wewe' wakongo wapewe maua yao

    Muda wa kupumzika tupunguze stress Kisha tuamke nazo tena kesho asubuhi. Nimekoma baada ya kusikia hiki kibao cha mkongwe mbilia bell nawanyoshea mikono juu wakongo wote. Ni kibao cha zamani lkn matata sana mpiga solo abebwe juu ashangiliwe sijui jina nani kaliungurumisha Solo vinginevyo...
  9. JamiiForums Tanzania Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

    Kwema Wakuu! Weka akilini, mwanaume hujaumbwa kuchekacheka, ku-relax. Wanasema wanaume tumeumbwa Mateso na kuhangaika(mwimbaji Fulani aliimba). Wanawake hawatakuchekea wala kukuonea huruma ukikosa hayo mambo mawili au kimojawapo. Watakudharau, watakudhihaki, watakutumikisha na kukufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

    It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation. Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa. Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Ukija Duniani kama ulivyokuta watu wamepambana kuleta mambo mazuri na wewe kabla haujafa tafuta kitu Cha kuoachaia Dunia Kama zawadi

    Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani . MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai. Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
  12. JamiiForums Tanzania Juma Nature andaa Shoo yako kuonesha wewe ni mkubwa

    Kiroboto sihitaji andika sana, hebu kaa na wadau mjini usisubirie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau itisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu. Hiyo siku tuje turuke goma zako Tupakue ugali Tumuimbie radhia Tulianzishe kigheto gheto Tumtulize mtoto iddy...
  13. JamiiForums Tanzania Usifurahie Uteuzi bali Sikitika kwani Dossiers zako zimeonyesha Wewe ni Tishio na waliokuwa nyuma yako

    Tena kama kuna Kipindi unatakiwa uwe makini ni sasa kwakuwa hata akina GENTAMYCINE tulipokuwa Kozi kule Venezuela na Kisiwani Puerto Rico tulifundishwa kuwa ukitaka Kummaliza Adui yako onyesha Upendo na Heshima ya Kinafiki Kwake, Msogeze karibu, Msome, wajue Watu wake wa Mikakati, mjaze Upepo (...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwanyamazia Maadui zako kwa Kunuachia Mwenyezi Mungu, baadae yakiwakuta Mabalaa Maishani wanaanza kusema Wewe ni Mchawi na Umewaroga?

    Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea Kutujibia Sisi tusio na lolote, uwezo wowote na tusio na baya kwa Mtu huku Wema wetu na Roho Nzuri zetu zikiwa ndizo Fimbo za Kutuchapia, Kutunyanyasa, Kututesea na Kutusimangia hapa duniani. Kama kuna Mtu yoyote unajua fika kuwa kwa Makusudi au kwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko ongea yote kuhusu ufisadi wa kutisha uliokuta hapo wizara ya nishati lasivyo utaubeba wewe huo uchafu

    Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki . Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini yale mabinti chama la wana kitaa lakini ukienda wewe mwingine unapigwa cha mbavu?

    Habarini wakubwa kwa dogo, poleni kwa miahangaiko ya usiku na mchana rejea head hapo juu kitaa huwa hawakosekani mademu kama hao unakuta jamaa wanakwambia unamchek huyo demu maji kijiko kimoja tu. Hapo Abdalah wa kwa mzee mataluma kapita hapo akina juma chogo kashakula hapo Rashid chaung'aga...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke. Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo. Siku njema ==== Mrejesho wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kufurahia 5 za KMC na ASAS ukisahau 5 na 6 ulizofungwa ni uwendawazimu ulioutukuka

    Na hapa sijazisemea zile nne nne ambazo wamepigwa sana hadi moja Kipa Peter Manyika alimuomba Mzee wa Kiminyio Madaraka Selemani asimfunge goli la 5 kwani wangedhalilika na yeye asingeaminika tena golini. Mkiambiwa washamba mnachukia.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli wewe ni mzalendo kwanini unaunga mkono mkataba wa DP World bila marekebisho?

    Kama kweli wewe ni mzalendo Kwanini una support mkataba wa DP world bila marekebisho? Sababu je ni hipi hasa 1. Je, wataalamu wetu wanatudanganya? 2. Haujauelewa mkataba? 3. Umenufaika binafsi? 4. Unajali siasa kuliko nchi? 5. Haujali mkataba kwasababu kuna mikataba mingi? Je, kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…