wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia ukijinadi wewe sio muoga uhalisia wake wewe ni muoga

    Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia. Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
  2. JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana? Inawezekana:- Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya Wanaume wengi...
  4. JamiiForums Tanzania ID yangu ni mpya, lakini usinichukulie kama mgeni—nimekuwa humu kabla hata ya wewe kufungua uzi wako!

    Wakuu, kuna tabia moja nimekuwa nikiiona humu ambayo inachekesha kidogo, lakini pia inanifanya nijiulize. Unafungua ID mpya, halafu ghafla watu wanakuangalia kama umetua leo kutoka sayari nyingine! 😂 Ukiandika hoja yenye kueleweka wanaanza: «“Wewe ID mpya, unajua nini kuhusu JF?”» Sasa ngoja...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Sigrada: Nature ya wasema ukweli nchi hii wanateseka, ukitaka kuteseka nchi hii wewe sema ukweli

    Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM jiulizeni Kama Makamu wa Rais wa nchi anafukuzwa kwa kuwa mkweli wewe Mzalendo bado upo CCM!

    Kama wewe kweli ni mzalendo utaendelea vipi kuwa ndani ya Chama ambacho Makamu Wa Rais wa nchi anafukuzwa kwasababu ya kusema watanzania wapiganie katiba mpya. Tujiulize kwanini hao waliobaki katiba mpya inawapeleka huko. Na hao TIS wanafanya kazi kwa niaba ya nani?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mhitimu wa digrii au diploma ya kodi na bado hujapata ajira wala fursa ya kupata uzoefu wa vitendo, taarifa hii ni kwa ajili yako.

    HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo. Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
  8. JamiiForums Tanzania vitabu adimu , Navipata wapi? Mnunulie kijana wako w chuo.

    Wakongwe wenzangu naombeni mwenye vitabu hivi soft copy anitumie dm au kama ni hard copy basi mnijuze vinapopatikana. Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na Jenerali Ulimwengu. Kitabu kipi bado hujasoma kati ya hivi? 1.Salamu toka kuzimu (Ben Mtobwa) 2.Tutarudi...
  9. JamiiForums Tanzania Mafanikio Sio Pesa, Ni Nishati Unayotoa

    Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance. Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will. Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank...
  10. JamiiForums Tanzania Bwana Nchimbi, Usijiuzuru Umakamo, Wacha Samia aongoze Kikao cha Kukuondóa kwa Lazima ndivo atakavyozidi Kuchafuka ... Ukijuzulu wewe ,utaonekana....

    Mzee Nchimbi, sio lazima utafute Mawazo kwa Wazeee katika suala dogo kama hili.. Kimàhesabh, Ukijiuzulu wewe mwenyewe kama Alivyofanya Lowassa, Utaonekana wewe ndio Snitch, Mkorofi, uliyekua unamfitinisha Samia , na Genge la Samia wanaweza kutengeneza Picha ya Wananchi kuamin kua "Wewe ni mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Kama ulisoma Biology na unaamini kitimoto ni haramu kwa sababu hacheui, nenda kadai ada yako tu kilaza mkubwa wewe

    Tuchukulie mbuzi, huyu ana matumbo 4, haya yanamuwezesha kula na kuhifadhi chakula, ndio maana unaweza kumkuta mbuzi sehemu haina majani lakini anatafuna. Maana yake alikula majani mapema lakini hakuyameza moja lwa moja akayahifadhi katika tumbo la akiba kisha BADAE ANARUDISHA MDOMONI ANATAFUNA...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

    Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake? Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja. Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
  13. JamiiForums Tanzania Dalili Tatu, kuwa wewe umepakwa mafuta mengi (chosen one)

    1. Your undermined by many (Kuhujumiwa na wengi) 2. Your despiced by many (kudharauliwa na wengi) 3. Unahisi majukumu yote ya familia yanakuhitaji wewe ufanye na kutumika.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Yajue makundi ya watu Kisaikolojia, wewe unalijua kundi lako?

    Wanadamu wamegawanyika katika makundi manne kisaikolojia yaliyo katika mafungu mawiliyaani Introverts na Extroverts. Makundi haya haya manne ya tabia (tempraments) yana asili yake katika falsafa ya Ugiriki ya Kale, hasa kupitia kwa tabibu Hippocrates na baadaye Galen. Yanaeleza jinsi watu...
  15. JamiiForums Tanzania Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

    Dereva akimchana live Chalamila MY TAKE Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe. Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking. Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea. Mfano MOFAT saaa hivi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mhitimu wa digrii au diproma ya kodi ambae umechoka kukaa mtaani bila kazi kisa huna uzoefu wa taaluma yako?

    Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako' (i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali. (ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview. (iii). Tumia career...
  17. JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe, ungechagua safari ipi?

    Anataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo. Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane naye, natakiwa nisafiri niende mkoa mwingine kwa shughuli za kibiashara, ambayo ni muhimu sana katika...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Imeniuma sana. Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe.. Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi. Leo ndio nagundua...
  19. JamiiForums Tanzania Chifu utajuaje kama malkia wako umemridhisha na wewe malkia utajuaje kama chifu ameridhika?

    Machifu na Malkia Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi? Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo “Kimeumana” Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu...
  20. JamiiForums Tanzania wewe msomi usikae nyumba isiyo na fensi

    yes nyumba Bilal fensi ni risk kubwa kubadili ukatae ukweli uko hivyo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…