wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    SoC03 Je, wajua afya bora katika jamii inaanza na mimi na wewe?

      Mara nyingi, tunapozungumzia afya, tunawaza tu juu ya upatikanaji wa huduma za matibabu na jinsi ya kudumisha afya yetu binafsi. Hata hivyo, afya ni zaidi ya hilo, Ni muhimu kutambua kwamba uwajibikaji wa kiafya hauhusiani tu na kujali afya yetu binafsi, bali pia kwa kugusa sehemu kubwa ya...
  2. Je, wewe ungekuwa Polisi ungetenda Haki? Je, usingekula rushwa?

    Sijawahi kuwa askari wa jeshi lolote ila nimekaa nimewafikiria tu polisi hasa hawa wa usalama barabarani. Je, ungekuwa ni askari trafiki, usingekula rushwa? Je ungetenda haki kwa kila anayepatikana na kosa kumuandikia cheti/ mkeka? NB: Sisi raia ndio tunawaomba Polisi wapokee rushwa zetu ili...
  3. Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

    Kama unaona kuchukua ubingwa wa CAF mwepesi,shiriki wewe ufike final..sio una ishia robo final tu. Unatuletea medali za chuma za 93 ..watu tuma medali mpya za jana. Unatuletea roho mbaya sisi nani aliyekuambia ushabikie kolo fc nanii. Acha roho mbaya wewe pushy.. Fika final usituretee roho...
  4. Ushawahi kula ugoro wewe?

    Hahaha enzi za ujana wangu niluenda mtembelea bibi huko Tanga, Alikua anamiti ya ugoro na tumbaku + ule ugoro wa kununua Nilikuwa na gonga nae pasu pasu alinipenda sana soon nitaenda kumuona tena Ni feel the difference Gily mshamba_hachekwi Mshawahi pata hii kitu Na members wengine toeni...
  5. Maishani kamwe siwezi kufanya mambo haya, wewe ni mambo yapi huwezi kufanya?

    Peace be with you all sons of Zion, Katika maisha kuna mambo piga ua galagaza siwezi kuyafanya sioni manufaa yoyote yapatikanayo kwayo: 1. Kwenda kwa waganga 2. Kushabikia mamipira 3. Kunywa pombe 4. Kumrudia mwanamke niliemuacha 5. Kumpunja mtu haki zake Na wewe ongeza.
  6. Unalijua kusudi lako wewe kuishi?

    Ikiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi. Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako. Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa...
  7. Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

    Utaona mwanamke haeleweki endapo hakupendi tena. Kumbuka tena, ukiona mwanamke haeleweki kwako ujue anapoteza hisia na wewe. Leo atakuonesha furaha kesho atakununia/ anakua kama hajawahi kukujua. Atakuambia hili saivi alafu baadae atabadilisha. Atakuwekea ugumu kukutana naye. Au kulala naye...
  8. Leta ushuhuda wako wa watoto walioonekana wa maana kwa wazazi wako kuliko wewe wakati huo, lakini sasa...

    Kusema ukweli iko hivi kwenye familia yetu tuko watoto 27 ukitoa walio tangulia, wakati niko mdogo baba yangu alinipenda sana ila cha ajabu ni mm pekee nilikuwa naongoza kwa kupigwa hata kwa makosa yasio stahili kupigwa. Kuanzia chekechea mpaka la darasa la 3 nilikuwa nashika nafasi ya 2 mpaka...
  9. Mumeo alikufa kwa Ngoma mwaka 1993, leo mwaka 2023 Wewe Mkewe unataka Kukikwepa Kifo cha Maambukizo hayo?

    Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
  10. Nataka nitoke na wewe leo

    Ukitembea na pisi kali warembo wengine watakuwa wanajitongozesha wao wenyewe. Jumamosi iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko) tukutane katika kiwanja fulani, angalau tuweze kubadilishana mawazo. Ilipofika saa nne usiku, ikabidi nifike eneo husika na bahati nzuri nayeye...
  11. Tabia Hizi Zinamfanya Mwanamke Asiwe Na Hisia Na Wewe, Na Akukatae

    Tabia hizi hazina matokeo mazuri, yale unayotarajia upate. Utahisi ukifanya hivyo itakusaidia kumpata mwanamke. Lakini zina matokeo ya tofauti. Zinamfanya asikupende zaidi. Kwa upande wako utaona kuwa mwanamke hana mpango nawe. Au kila ukianzisha mazungumzo ya mapenzi ye anakwepa. Au utaona...
  12. Badili mtazamo wako kuwa hivi ili usipate shida kuhusu wanawake

    Tangu unaanza kumtongoza jiwekee akilini kuwa wewe ndo kiongozi. Inamaana utaongoza mazungumzo, mahusiano na ngono kiujumla. Hata kama upo kwenye mahusiano ya miaka 40, endelea hivyo. Hilo ni jukumu lako, hivyo kuanzia sasa badili mtazamo juu ya kuwa na mwanamke. Badili kutoka, Nawezaje kumpata...
  13. Maana ya Mwanamke kutokuwa na wasiwasi kuhusu wewe na mahusiano yenu

    Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu mimi mana najisikia vibaya. Ujue amepoteza mvuto kwako. Ujue amekuweka kiganjani. Na anaposema ana...
  14. Tuwe sehemu ya Msaada kwa Walemavu wa Macho (Vipofu) hasa Vituoni na Barabarani kwani hata Wewe ni Kipofu Mtarajiwa

    GENTAMYCINE huwa Nakereka mno kuona Mlemavu wa Macho Kipofu (tena yuko na Fimbo yake) anaomba Msaada wa ama Kupandishwa katika Dala Dala au Kumvusha Barabara au kutaka Kukaa mahala kisha unawaona Watu wanamkwepa au kujifanya hawamuoni. Waswahili tuna Roho Mbaya mno halafu ni Wanafiki sana japo...
  15. Kama Mshauri wako Mkuu alikuwa Mtu wa hovyo enzi zake unategemea Wewe ndiyo uwe Bora?

    Yaani kabisa Dr Matola PhD awe Boss wangu Himayani na amesfaafu ( na najua aliharibu mno kuanzia mfano mwaka 2005, kisha Mimi GENTAMYCINE nimekalia Kiti changu ( alichokikalia Yeye ) kisha niwe namsikiliza Yeye kwa kila Kitu hata kama ni Pumba na mambo yasiyofaa Himayani. Nitakachokitoa a ni...
  16. Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

    Jiji la Dar es Salaam ndilo jiji lenye amsha amsha kuliko jiji lingine lolote. Ndilo jiji lenye bandari kubwa nchini, uwanja wa ndege mkubwa, barabara za kutoka sehemu zote nchini huishia Dar. Dar ni jiji la maraha na karaha pia. Matapeli, vibaka, majambazi, wezi, na machanguduoa pia. Mitume...
  17. D

    Kama Mohamed Dewji tajiri mkubwa vile alitekwa, wewe ulikuwa na kinga gani kwa bwana yule?

    Tukiwaambia nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana muwe mnaelewa jamani! Maana kuna watu kabisa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. During that regime kila mwekezaji alikuwa anaogopa na wengine walifirisiwa kabisa ama moja kwa moja au kwa kuchukua pesa kwenye akaunti zao, mfano Nimrodi mkono...
  18. Magufuli kwa ukali: " Wewe RM yaani unazidiwa kuamua na mwandishi wa habari Msigwa, kweli?!

    Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC. Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
  19. Rais Samia nikuombe sikiliza vilio vya wananchi wewe mwenyewe, usilishwe maneno kwamba ni harakati za pro Magufuli. Unachonganishwa

    Ninadhani kuna watu wanabeba ajenda na matamanio ya wananchi na malalamiko ya wananchi kama ni harakati za wafuasi wa Magufuli. Hali ambayo Mh.Rais na baadhi ha viongozi wenzie wanaziba masikio kwa makusudi kabisa kwa kudhani wanawakomoa hao wanao dhani ni wafuasi wa Magufuli. Mh.Rais...
  20. Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

    Kwakuwa mnalalamika sana, Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…