wenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itoe lazimisho la wagombea wenza kutoka pande nyingine ya muungano

    Kama sisi ni nchi moja kwanini tunaweka sheria za kibaguzi. Tuka uhuru sasa Zanzibar kuna wabara na bara kuna wanzanzibari sasa kuna sababu gani ya kulazimisha mgombea Uraisi kuchagua mgombea mwenza kutoka upande fulani!. Je ina maana bado tuna ubaguzi wa Muungano mpaka leo. Je sio wakati wa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka

    Wakuu, ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya ======= Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
  3. JamiiForums Tanzania Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

    Ugonile, kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!! Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Itakapofika Oktoba (siku ya kupiga kura), akili za kuambiwa changanya na zako

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako." Ameyasema...
  5. JamiiForums Tanzania Mnadeal vipi na hawa wenza wenye masharti kibao wakati wa tendo?

    Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka. Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu. Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo bwana. Mwingine unamkuta mbonge la mshepu tacotaco unamwambia akae doggy style anakugomea kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  7. JamiiForums Tanzania Utapeli wa ndoa na hatima ya mwanaume kwenye jamii

    Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya. Hii yote inasababishwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

    Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Twende serval wildlife tukaenjoy na wenza wetu

    Jamani nawaletea fursa za kuwafanya mfurahi kila wakati na kuwa sawa katika maisha yenu ya safari ya mahusiano yenu, hapa serval wildlife watu wengi hutamani kutembelea na kulisha wanyamapori na kuwafahamu, kupata historia na kupiga picha za kuvutua. Hii si yakukosa wapendwa wangu hapa ukifika...
  10. JamiiForums Tanzania Uhamisho wa Watumishi Serikalini kuwafataa wenza wao

    Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya. Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wanaoua na kufanyia ukatili wazazi, ndugu, watoto, n.k hakuna anaependa! shetani hana mkataba, makubaliano na mganga ni kuuziwa kiwanja baharini

    Pesa, Cheo, Umaarufu, n.k. Sio vyote vinapatikana kihalali, kuna njia mchepuko ya kuvipata kwenye ulimwengu wa giza, Hata vitabu vya dini vmeandika Shetani anaweza kufanya hayo ila ni kwa masharti yanayoleta majuto. Msione watu wanakamatwa wanabaka wajukuu zao mkadhani wote wanapenda, kuua damu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa wenza wa ndoto zao, wengi wa waliopo kwenye ndoa waliamua kujilipua kwa kuishi na "ili mradi ni mke/mume"

    Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao . Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
  13. JamiiForums Tanzania Mwendo wa kahawa na vitabu tu. Kweli pesa ni sabuni ya roho aisee!

    Nakaribisha makasirko aisee
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanandoa wengi hawawaruhusu wenza wao kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza ?

    Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
  15. JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

    Habari ndugu zangu Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi...
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa? Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama Waislam?

    Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16. SWALI Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam? kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake Sura ya An-Nisa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanawavumilia Wenza wao wanaowapiga?

    Wakuu, Njooni tuongee mahusiano. Yaani huko mtaani kuna mtu unajua kabisa anapigwa anavunjwa mpaka viungo na Mpenzi/ mumewe lakini haondoki Tena cha kushangaza unakuta ndo wanazidi kuzaa na watoto. Unajiuliza ni kwamba hawaumii au mapenzi ni muhimu kuliko uhai na usalama wao? Ukiuliza...
  19. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shellukindo, Mei 17, 2024 amefungua Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania. Mafunzo hayo yaliyotolewa na wanadiplomasia wakongwe Balozi...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi kwa kujua au kutokujua hujikuta wakifanya vitimbi kwa wenza wao kwa njia zifuatazo

    1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test) Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake. Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…