wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Heri ya Pasaka? Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU. Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima? JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI? 1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi. 2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk? 3. Mbona ni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nitajie viongozi wawili tu shupavu kutoka Pwani nami nikutajie viongozi 10 shupavu na wenye uwezo mkubwa kutoka mikoa ya bala

    Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege! Watu wa Bara ni majitu makubwa makubwa na majasiri yasiyotishwa tishwa kirahisi eti yaogope kirahisi...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye akili wanaweza kuwa wafuasi wa - CDM, ACT, NCCR au CUF?

    Jf, members! Salaam! Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:- (a). CDM - mwenyekiti wao kawa Mungu watu, tangia aingie madarakani ni miaka lukuki na wafuasi wako kimya kbs...
  5. JamiiForums Tanzania Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

    Kwa wale wasio ufahamu huo Mji; kwa ufupi tu uko ndani ya Mkoa wa Iringa (Kilomita chache kutoka Iringa mjini kama unaelekea Mbeya, Njombe au Ruvuma), uko ndani ya Wilaya ya Mufindi, na ni mji maarufu kwa biashara ya mbao na pia nguzo! Maana uko jirani na kiwanda maarufu cha Sao Hill. Kwa kweli...
  6. JamiiForums Tanzania Bongo hakuna wenye sifa ya Uhadhiri? Re-Advertisments zimekuwa nyingi

    Hello members, Nimestushwa sana na hii trend ya kutafuta wahadhiri kwa kurudia rudia matangazo kila siku. Nilikua na mzee mwenzangu leo akanionesha tangazo la kazi za wanataaluma kutoka UDSM zaidi ya wanataaluma 300 huko lakini chakushangaza tangazo linarudiwa!! Shida ni nini na wasomi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wenye utaalamu na soccer naomba kufahamu haya

    Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo naamini nitapata kuelewa. Huwa najiuliza maswali haya, _ hivi wale linesman huwa hawaruhusiwi...
  8. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa wanandoa na wenye mamlaka!

    بسم الله الرحمن الرحيم. Mimi ni mwalim wa dini na imam katika msikiti ulipo eneo ninalo ishi... Kwa nafasi yangu huwa napokea kesi na migogoro mbalimbali kusuluhisha na kushauri. Nina wito huu kwa wanandoa wa dini zote na mamlaka zote zinahusika na masuala ya ndoa na muunganiko wa kijamii...
  9. JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

    Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023. 1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9) 2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola...
  10. JamiiForums Tanzania Dar, Kilimanjaro zaongoza wenye Viriba Tumbo’

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amesema kuwa tatizo la uzito uliozidi na kiriba tumbo limekuwa janga la kitafa katika mikoa ya Kilimanjaro, Dar es Salaam, Unguja na Mjini Magharibi huku udumavu nao ukishika kasi katika mikoa ya Iringa, Njombe na Rukwa. Akizungumza wakati akizindua mbio za Mwenge...
  11. JamiiForums Tanzania Madogo wa mastaa bongo wenye talent kubwa

    Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza...
  12. JamiiForums Tanzania Taifa letu limekosa maafisa Usalama wa Taifa wenye uzalendo kama alivyokuwa Lyatonga Mrema na wenzake. Ufisadi kama huu sio wa kuvumiliwa

    Nimedokezwa kuwa aliyepata tenda ya kuiuzia serikali vishikwambi vya sensa na walimu amepiga kama bil 10 faida ya pesa chafu. Ripogi ya CAG imetupatia jibu sahihi kuwa kumbe pesa za umma zinapotea sababu tu rais hayupo serious kuzilinda. Zinakwapuliwa na wahuni kama njugu. Lakini taifa hili...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Watoto Wenye Vichwa vikubwa wafanyiwa upasuaji Tabora

    Historia imeandikwa mkoani Tabora na mikoa jirani ambapo kwa mara ya kwanza watoto wawili wenye vichwa vikubwa wamefanyiwa upasuaji kupitia kambi maalum ya matibabu ya kibigwa na bobezi inayoendesha na Madaktari bingwa, Wauguzi, Mtaalam wa usingizi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nia mbaya na Serikali walisubiri kusikia wanachokiamini

    Kuna baadhi ya watu wenye bia mbaya na Serikali ya Rais Samia Suluhu walikua makini kusikia suala la ushoga lakini haijawa hivyo Rais Samia Suluhu hawezi kuruhusu huo upuuzi katika nchi yetu nimesikiliza speech kwa makini sana Rais Samia Suluhu amejikita katika kuhakikisha Tanzania inaendelea...
  15. JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kubeba Ujauzito wa watoto mapacha wenye baba tofauti

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022 kwenye jarida la CNBC ambapo mwanamama mmoja kutoka Minerois, Brazil alithibitika kuwa na ujauzito...
  16. JamiiForums Tanzania KWELI Mboga za kabichi (Cabbage) sio nzuri kwa watu wenye Ugonjwa wa Goita

    Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita. Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa napata wasiwasi sana juu ya maelezo haya. JamiiForums naomba mnisaidie kujua ukweli wake. Nawasilisha.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimefurahi sana Taifa Stars Kufungwa ili Pesa zako zikasaidie hasa Watu wenye Uhitaji na siyo Goigoi wa Viwanjani

    GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba. Rais Samia acha kupoteza Pesa za Watanzania Kusaidia Watu wasiojielewa (Wachezaji wa Taifa Stars) na badala yake peleka...
  18. JamiiForums Tanzania Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

    Mwanancha namba moja. 1. Rais Samia Suluhu Hassan 2. J.M Kikwete. 3. Edward N. Lowasa 4. Simbachawene. 5. Mizengo Kayanza Pinda. 6. Benard Membe. 7. Hussein Mwinyi. 8. Jokate Mwegero. 9. Masauni. 10. Dkt. Philip Mpango. Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda...
  19. JamiiForums Tanzania Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

    Habari, Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu. Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana. 1. H.E Samia Hassan 2. Jakaya Kikwete 3. Abrahaman Kinana 4. Hussein Mwinyi 5. January Makamba 6. Freeman Mbowe...
  20. JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kugombea nafasi za uongozi 2025 watakiwa kuzijua kwanza changamoto za wananchi wao

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…