wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mabinti wazuri sana, warembo na wenye maumbo mapana ya kuvutia ni rahisi sana kuwapata unapowatongoza

    Ibaki kuwa hivyo. Previous nilikuwa natongoza mabinti wabovu wabovu nikiamini kuwa wataona ni bahati kutongozwa, hivyo nitawapata kirahisi sana na hata mbususu nitakuwa napewa kwa kubembelezwa. Hali haikuwa kama nilivyodhani, badala yake nilipigwa vibuti vikali sana. Kati ya wanawake 10...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa safari za nje ya nchi naombeni kueleweshwa hapa kuhusu Yellow fever card

    Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani. Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye rangi, sura na shepu mbaya ndiyo wanaoongoza kwa kuchakatwa

    Sababu kubwa ni 2 tu. 1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi kali kwa hofu ya kukataliwa. Kwahiyo wanaume huwatongoza zaidi hawa wadada wenye sura, nyayo na...
  4. JamiiForums Tanzania Mbeya: Yadaiwa kuna wanaowatumia wenye ulemavu wa akili kutupa taka mitaani kisha kuwalipa Tsh. 500

    Baadhi ya Wakazi wa Bonde la Uyole Jijini Mbeya, wanadaiwa kuwatumia watu wenye ulemavu wa akili 'vichaa' kutupa taka kwenye makazi ya watu na mitaro huku wakiwalipa ujira wa Tsh. 500. Hatua hiyo inatajwa kukwamisha juhudi za usafi wa mazingira kwenye bonde hilo. Hayo yameelezwa na Diwani wa...
  5. JamiiForums Tanzania Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

    Bilionea namba 5 duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes, Warren Buffett baada ya mwanahisa mwenzake ndani ya kampuni ya ''Berkshire Hathaway'' Bwana Charlie Munger kutangulia mbele ya haki 28/11/2023 Kwenye jarida la Fortune Magazine, linaeleza kuwa kwenye barua iliyochapishwa na kampuni ya...
  6. JamiiForums Tanzania Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Rais Samia

    Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa. Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

    Kama unahitaji amani kwenye mahusiano yako basi zingatia sana macho ya uyo mwanamke, ogopa wanawake wenye macho madogo yakujifinya, wastani yalivoshuka pembeni, makubwa ila hasiyo sexy. No offens. Madogo yakujifinya Hawa wengi ni wembamba, wanatunza vitu moyoni hawajui...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani alipigwa na Vietnam,China kwa sababu ya spirit ya mapambano Israel ana kazi ya kupambana na watu wenye spirit ya mapambano.

    Katika vita jambo la msingi askari awepo vitani anapaswa kuwa nalo ni ile spirit ya kupambana dhidi ya adui kwa hali yoyote ili amuangamize. Hii kwa mifano michache nayo ifahamu ni pamoja na changamoto aliyokutana nayo marekani pale alipokuwa ana pigana na Vietnam marekani alitandikwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

    Za weekend? Hivi mwanaume timamu kabisa mke wako kagombana huko na wanawake wenzake halafu wewe unaenda kuingilia ugomvi na kuanza kusutana na wanawake? Kwanza mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kurushiana maneno na mtoto wa kike? Mpenzi wako akiudhiwa huko na marafiki zake wewe msaada unaoweza...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna siri ya mafanikio ya Yanga kwa kusaidia vituo vya watu wenye uhitaji maalum?

    Na sio ndani ya nchi tu ni mpaka nje ya nchi, mfano kwa sasa timu ipo Algeria lakini ikiongozwa na Rais Hersi leo mchana walitembelea na kuwapatia mahitaji mbalimbali. kituo cha watoto wenye uhitaji maalum kiitwacho Orphans of El MOHAMMADIA kilichopo mjini Algiers,
  12. JamiiForums Tanzania JKCI kutibu wenye mishipa ya moyo iliyopasuka

    Unaweza kuiita ni habari njema kwa watu wenye matatizo ya moyo, baada ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuanza kutibu wagonjwa wenye mishipa ya moyo iliyopasuka. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge ameeleza hayo leo, Novemba 23, 2023 jijini Dar es Salaam wakati akifungua...
  13. JamiiForums Tanzania 'Single Mothers' na Changamoto ya Malezi kwa watoto

    Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo linahitaji kutumbuliwa mapema Sana. Watoto wanaolelewa na mama pekee bila uwepo wa mzazi wa kiume...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wahafidhina wengi huwa maskini na wenye elimu haitoshi?

    Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali? Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

    Habari ndugu wana JF. Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport. Naomba...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga yazidi kuwakaba kooni Viongozi wa TFF wenye Husda

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF". Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na halimezeki wala halitoleki iwe kwa winchi ama kamba za chuma! Fupa hilo la Sangara linaendelea...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

    Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake. Bili ya maji hataki...
  18. JamiiForums Tanzania Ulimwengu wenye neema na furaha

    Habari wakuu, NIna wazo limenijia na kutafakari binafsi. Nimejiuliza katika maisha ya mwanadamu upi wakati sahihi wa kuipata furaha ile yenye uhalisia wake kwa 100%. Nikaishia kukumbuka miaka nipo mdogo kwa wazazi. Unaaga unaenda shule unasoma na kucheza na marafiki muda wa kuondoka unaondoka...
  19. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

    JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako. NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Wananchi wenye taarifa kama Kichocheo cha Demokrasia Huru

    Kwa kutambua umuhimu wa ushiriki wa vijana, hasa katika vyuo vikuu, kushiriki katika mazungumzo na mijadala yenye habari kuhusu masuala na matarajio yao ya sasa, JamiiForums imeandaa mazungumzo yanayohusisha wanafunzi wa kozi mbalimbali wa chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…