Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.
Hii ikimaamisha,
viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
Wengi wanapunguza uchu wa ngono kwa kujichua mara kwa mara au tendo la ndoa. wengine wanapendekeza kuoa mtu mwenza mwenye uchu kama wako.
Baadhi wanashauri kufanya mazoezi au kununua vifaa ngono (sex toys).
Ofisi za kampuni ya habari za Furaha Media zilizopo Mikocheni – Dar es Salaam zimekumbwa na taharuki kufuatia kuvamiwa na kikundi cha watu wanaokadiriwa kuzidi 60, wakiwemo walinzi wa kukodiwa (bouncers) na watu wenye silaha.
Uvamizi huo umesababisha uharibifu wa miundombinu ya kidijitali...
Anonymous
Thread
furaha
mabaunsa
magufuli
media
mpwa wa magufuli
ofisi
silaha
wavamia
wenye
Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma.
pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati...
Hamjambo!
Ukweli unatabia nyingi. Ukweli kiasili ni katili na haujali.
Ukweli hauhitaji validation.
Ukweli ni dawa ukitolewa kwa wakati sahihi na mtu sahihi.
Hata hivyo ukweli haujali kuhusu wakati wala aliyeubeba.
Kisiasa, ukweli unatisha sio kwa sababu ya ukweli wenyewe. Ila jinsi...
Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana.
Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa.
Afrika inarudishwa kwa wazungu tena.
Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
- Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi.
Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
Mbaya zaidi wengine mnawalipia hadi madeni yao binafsi. Acheni upuuzi. Kuna baadhi hadi mnapokea vipigo. Usiingilie majukumu ya mwanaume. He has to provide for his family.
Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia.
Kobaz once again...
WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile yenyewe.
Yaani mwanamke tegemezi tunazungumzia mwanamke asiye na kazi, asiye na elimu, asiye na ujuzi...
Nimekaa hapa nikiwaza baada ya siku kwenda ndivyo sivyo!
Soon naelekea kwenye utu uzima mkamilifu, nika waza siku mtoto wangu akiwa mtu mzima wa kujitegemea akisha kuwa na maisha na familia yake , hivi kwenye contact nita m save kwa jina gani .
Jina lake la kuzaliwa , ama title yake kwangu...
NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo;
Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts) kabla au ifikapo 31 Agosti 2026, na kuendelea kulipa michango kwa wakati mpaka ifikapo 31 Desemba, 2026...
Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.
Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.
Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje...
Huu ni mjadala huru :
Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao.
Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
TBCtaifa fm haisikiki vizuri sehemu nyingi tu na hukatika mara kwa mara.Mfano huju Mwanza maeneo ya kiseke ppf,msumbiji,redio haisikiki.
Cha ajabu eti bongofm inasikika vizuri tbcfm haisikiki.TBC fm inashindwa hata na viredio vidogodogo vinasikika vizuri.
Makonda fuatilia jambo hili yawezekana...
Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana:
1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili
2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana alimshamkataa katakata
3. Mkapa alimwambia Kikwete waziwazi, kwamba kwa mazingira yaliyopo mimi nisipokuwa...
Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.