wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliochangia Mabilioni Kampeni za CCM ndo wenye ICD katikati ya Mji Dar

    Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD. Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu. ‘Bandari kavu zina mizizi kwa...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utulivu na Mafanikio

    Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia. Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi. Kadri unavyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

    Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo. Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi hatuna wazalendo wenye nyadhifa za juu kwenye majeshi yetu?

    Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha...
  5. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Watu wapimwe IQ kisha wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.

    Hapo VIP! Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa. Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake mwenyewe Na katika jamii. Nimechunguza Na kutafiti siasa katika nchi yetu Na Kwa Afrika kwa jumla ila...
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi chetu sisi wadada wenye makalio makubwa walichukuliwa kama watu wanene wa kawaida, eti Gen Z anabisha!

    Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake. Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted kama ilivyo sasa secretarybird Chizi Maarifa nafikiri unakumbuka za zile
  7. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wadada wenye makebo makubwa huwadharau wenzao wembamba mbona sisi vidume wenye pesa huwa watu poa kwa wenzetu makapuku

    Mallerina aka kiuno nyigu, shepu ya zebra huwa ni kwanini lakini? Mbona tajir secretarybird ni mtu poa sana kwa apeche alolo wengi tuliomo JF?
  8. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa najua wakuoa hawa wenye makalio makubwa ila hao sio kabsa wa kuwasogelea

    Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa kufikiria wanaume wengi tunapenda makalio makubwa, wapo kama wanajiiuza hivi umsifie ana makalio...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Ushawishi mkubwa katika Historia

    Nimetoa Facebook kama ilivyo, je nilikuwa nauliza 21 Isaac Newton na 93 Nikola Tesla walivumbua vitu Gani
  10. Jambazi

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Alikuwa karibu kuwa mmoja wa watawala wenye nguvu zaidi barani Ulaya

    Kisha tatizo dogo likatokea kwenye koo lake. Ndani ya miezi michache, Kaizari alikuwa hawezi kabisa kuongea. Na madaktari wake hawakuweza hata kukubaliana ni ugonjwa gani waliokuwa wanakabiliana nao. Mnamo mwaka 1887, Mwanamfalme Friedrich wa Ujerumani alipata tatizo ambalo hapo awali...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya hovyo na kindezi: huendi kwenye misiba! Mbona huulizi kwenda kuona wagonjwa au wenye matatizo? Tabia za kichawi hizi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa. Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja. Nani Kala nani hajala Nani anafanya nini. Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu. Subiri ukifiwa ndio...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Stori za Wanawake wanaojiita High Class Pisi Kali, ni kujadili Jinsi ya kupata waume za watu wenye hela.

    Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities. Mada zao ni kula bata...
  14. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Taabu na Pombe ni Kaka na Dada

    Ukifuatilia vizuri watu wenye taabu fulani maishani ndio hutumia sana pombe ili wasahau uchungu walio nao moyoni ili wajiliwaze. Uzuri ni kwamba biblia imetufunulia yote katika: Mithali 31: 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe...
  15. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

    hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wenye biashara za hotspot mnapoteza wateja na pesa kwa kununua vifaa feki au kuwapa kazi kina fundi Maiko, Hii wifi ya 3 nakutana na shida ile ile

  18. C

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa watu wenye akili Tanzania ndicho chanzo cha migogoro mingi kukosa utatuzi,tizama mgogoro wa Simba

    Watu wengi huamini mtu mwenye vyeti vingi vya shule ndiye mwenye akili,lakini mimi naamini akili ni zaidi ya kumiliki vyeti vya shule. Mgogoro wa Simba ni mfano mzuri kuonesha watanzania wengi,hususan walio kwenye media na wanaojitokeza sana kuzungumza,hawana akili kabisa. Sijasikia mtu hata...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa Watendaji wanaokaimu nafasi za uongozi katika Halmashauri, tatizo ni nini?

    Kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la watumishi wanaokaimu nafasi za wakuu wa idara na vitengo mbalimbali katika halmashauri. Hali hii inazua maswali kuhusu utaratibu wa uteuzi na upatikanaji wa watumishi wenye sifa za kushika nafasi hizo. Je, ni kweli katika wizara na taasisi...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uislamu unavyozidi kuleta mugawanyiko na viongozi wao wenye imani.Je tunapoelekea ndio wanataka kuonesha dunia au ni imani.

    Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao. Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
Back
Top Bottom