Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.
NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo;
Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts) kabla au ifikapo 31 Agosti 2026, na kuendelea kulipa michango kwa wakati mpaka ifikapo 31 Desemba, 2026...
Watu wengi huamini kuwa mafanikio yanategemea akili za darasani (IQ), elimu au vipaji pekee. Ingawa mambo hayo ni muhimu, tafiti nyingi zinaonyesha kuwa uwezo wa kuelewana na watu, kujenga mahusiano mazuri na kusoma hisia za wengine ni moja ya silaha kubwa za mafanikio katika maisha.
Huu ndio...
Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.
Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.
Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje...
Huu ni mjadala huru :
Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao.
Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
TBCtaifa fm haisikiki vizuri sehemu nyingi tu na hukatika mara kwa mara.Mfano huju Mwanza maeneo ya kiseke ppf,msumbiji,redio haisikiki.
Cha ajabu eti bongofm inasikika vizuri tbcfm haisikiki.TBC fm inashindwa hata na viredio vidogodogo vinasikika vizuri.
Makonda fuatilia jambo hili yawezekana...
Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana:
1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili
2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana alimshamkataa katakata
3. Mkapa alimwambia Kikwete waziwazi, kwamba kwa mazingira yaliyopo mimi nisipokuwa...
Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?
Japo sijui jf kwa sasa...
Wakati wa utawala wa awamu ya 5, ulifanyika utafiti wa kitaalam uliozingatia makundi yote, ukiangazia vyama vikuu viwili vya siasa, CCM na CHADEMA. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalikuwa ndiyo hitimisho:
CCM
1. CCM inaungwa mkono zaidi na watu ambao ama wana akili ndogo, ama watu wasio na...
Shirika la Utafiti la Pew la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti ikionesha kwamba, ikilinganishwa na mwaka 2023, Wamarekani wenye maoni chanya kuhusu China wameongezeka maradufu, na kufikia asilimia 27.
Ikilinganishwa na wakati China na Marekani zilipokuwa na uhusiano wa karibu, kiwango hicho...
Kumekuwa na dharau nyingi zinazofanywa na madereva wanaotumia barabara ya kutoka Mbalizi kuelekea Tunduma.
Madereva hao wamekuwa waki-overtake bila kuchukua tahadhari, na mara nyingi wanafanya hivi kama chombo cha moto kinachokuja mbele yao ni pikipiki.
Unakuta dereva anataka ku-overtake na...
Anonymous
Thread
barabara
barabarani
dharau
madereva
mbeya
tunduma
wenye
Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha
Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
Hili ni jambo ambalo hatimae nimetambua ndilo tatizo kubwa linaloikabili Tanzania. Ni kwamba maamuzi mengi kuhusu Tanzania yanafanywa na viongozi wenye IQ (akili ya kufanya maamuzi sahihi) ndogo sana, na hata wale wenye IQ ya kutosha hawatumii akili yao bali wanafanya mambo kwa njia ya...
Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu.
Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
Kila nikiwaza, huwa nachanganyikiwa.
Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa.
Ni pale ninapofikiria ahadi za baadhi ya pepo.
Zinaahidi wanawake warembo wenye macho kama kikombe.
Swali langu ni moja na rahisi.
Je, wale wasiojiweza kingono, watafanyaje?
Je, hii kitu ni kweli...
Hawa wanaoitwa maafisa usafirishaji kwakweli wana IQ ndogo siwasingizii ukiangalia mambo wanayofanya mpaka mtu unashangaa kabisa kama hivi huyu mtu ana akili kweli
Kwa mfano huku dar hii morogoro Road unakuta kibodaboda kimebeba watu wawili mobonge lakini kinavyopita katikat ya malory hadi...
najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana
kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary
kwenye Michezo utakutana na Wastara Masese
kwenye shiw za vijana na Gen-Z utakutana na Zeydan Thabit na Modoo ingawa pia dolly...
ni gereji ya mtaani, sio kubwa sana, ni ukubwa wa kiwanja cha nyumba
hivi karibuni nimejua mmiliki moja wapo wa hizi hereji ana maisha mazuri tu, watoto wake wanasoma shule private, ana nyumba mbili, gari prado na mke wake anayo ya kawaida, n.k.
nilikuwa nazichukulia gereji kawaida sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.