Watu wawili wenye heshima mbele ya Trump

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,683
Reaction score
27,603
FB_IMG_1776278259734_1.jpg

Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue.

Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu hawa. Hatimaye, Netanyahu akawalinda kwa kuwaondoa kwenye list ya target. Ndio maana leo hawana mashaka makubwa kuhusu usalama wao.

Lakini hali ni tofauti kabisa kwa maafisa wa IRGC. Hakuna anayejisikia salama kutembea kawaida au kukusanyika waziwazi. Wamezungukwa na hofu ya kuuawa muda wowote.

Kwa Iran, jina Mossad ni kama mzimu usiolala — ukimwandama kila afisa wa IRGC mwenye kelele.

Hivyo Araghchi na Ghalibaf ndio watu wenye heshima ambao Trump aliwasema na alisema ndio wakaoshiriki katika mazungumzo. Watu walipinga na kudai Trump ni mropokaji sasa imedhihirika kwamba kweli Trump ni mropokaji lakini haropoki uongo.

FB_IMG_1776278259734_1.jpg
 
Hakuna nchi ya kikristo kwa imani yake inaweza kufanya alichofanya iran....
Wengine ( us,eu ) wanafanya kwa ajili ya maslahi tu...( Materials)....
Nawaza dunia ya miaka 100...kizazi cha ulaya na Marekani kitakapong'amua ukweli kuhusu uislamu ....!!!
vurugu yote ya myahudi ni hofu ya existance yake ambapo msingi wake ni materials kuliko ideology....
Kuna kizazi ( free minded) chenye nguvu na kitakachoshika madaraka...hawa TRUMP wanapita tu..
 
We unazan duniani huko watu hawajaisoma Quran! Wanaiua vizur tena mapadri wakiroma wanainua nje ndani kwaio hakuna kipya watakijua kuhusu huo uislam miaka 100 mbele .... Israel lazima ajilinde sana mana hao mashia Iran kila siku wanalala ndoto yao nikuifuta israel kwenye uso wadunia
 
Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue.
Mbona mnatuchanganya!! Echolima1 alisema Ghalibaf kauwawa alipoteuliwa tu. Kumbe yupo hai?
 
Hivyo Araghchi na Ghalibaf ndio watu wenye heshima ambao Trump aliwasema na alisema ndio wakaoshiriki katika mazungumzo. Watu walipinga na kudai Trump ni mropokaji sasa imedhihirika kwamba kweli Trump ni mropokaji lakini haropoki uongo.
Huna unalojua wewe. Huyo Arragarchi ni mwana diplomasia tokea vita inaanza alikua busy UN, EU, GCC etc kutafuta amani kupitia meza wala haikua suprise kuwepo kwenye mazungumzo.

Then huyo Ghalibaf ni hardliner wa IRGC (alikua Brigadier General) na ana misimamo mikali pengine kuliko Ayatollah mwenyewe.

Trump sio Mungu wa kuhifadhi uhai, hata walitaka kumuua Rais Pezeshkian ila walishindwa same to Ghalibaf walimtafuta sana wamemkosa it's not like waliamua tu kumuacha kisa mazungumzo huko ni kufanya USA waliamini watashindwa vita kiasi watahitaji mazungumzo??
 
Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu hawa. Hatimaye, Netanyahu akawalinda kwa kuwaondoa kwenye list ya target. Ndio maana leo hawana mashaka makubwa kuhusu usalama wao.
Huu ni uongo mkubwa, walipokua Islamabad walishawekwa target kuuwawa na hao hao Mossad ni dakika za mwisho tu wakabadili mueleko wa safari na kuwapoteza majasusi. Walishuka na ndege huko marandi Iran na kupanda treni hadi Tehran maana intelijensia iliwaambia ndege inaenda kutunguliwa ikiwa inaelekea Tehran.
Us Iran Talks: Reroute from flight to train, bus: Iran delegation in Pakistan 'secretly got into different plane' amid security threat | World News - The Times of India

So hakuna cha Trump sijui Mossad ni kwamba tu hawa jamaa walikua makini tu muda wote unless wanavujishiwa taarifa na CIA ila huyo Netanyahu hajawahi jali uhai wa mtu kisa mazungumzo wakati yeye anataka utawala uondoke kabisa na ikiwezekana hata Iran ibaki magofu tu
 
Hakuna nchi ya kikristo kwa imani yake inaweza kufanya alichofanya iran....
Wengine ( us,eu ) wanafanya kwa ajili ya maslahi tu...( Materials)....
Nawaza dunia ya miaka 100...kizazi cha ulaya na Marekani kitakapong'amua ukweli kuhusu uislamu ....!!!
vurugu yote ya myahudi ni hofu ya existance yake ambapo msingi wake ni materials kuliko ideology....
Kuna kizazi ( free minded) chenye nguvu na kitakachoshika madaraka...hawa TRUMP wanapita tu..
You're a product of this bible verse below 👇👇

Matthew 24:11-13
 
Back
Top Bottom