wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

    Naandika kwa sikitiko kuu Nikiwa kwenye maoteo ya sikukuu yetu hii isiyotabirika, nikaamua nijivinjarii na mbuzi katoliki kwenye mikusanyiko ya watu wasio rasmi na huku nikihesabu baraka zangu. Kama kawaida nikasambaza upendo kwa mmama mmoja jirani yangu (desperado 2) nakuendelea kunywa balimi...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tukomae kutoa aibu ya kuwa nchi isiyo na kombe , Yanga na Simba za sasa zinaweza! Ligi ya Mabingwa ni kwa wazito wenye pesa nyingi na connections

    Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe, mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa. Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inawapendelea zaidi wenye pesa kama huna utahisi kuonewa mara zote, hii ni asili ya dunia

    KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔 Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli . Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna mambo tunasema ni mpango wa Mungu ila waathirika wakubwa hata kwenye hayo mambo huwa ni Maskini...
  4. JamiiForums Tanzania Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

    Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
  5. JamiiForums Tanzania Watu wenye nyota zao. Jokate tangu nimfahamu anasoma hawajahi kuwa down

    Jambo la msingi ni kuona mwenzio anapaa anawika ananoga proud proud 👏 kwako jekii nimezoea kukuita kimoyomoyo. Ninavyompenda jekii jojo hana Maringo. Na hana muda hata time. Nilimuombaga msaada akasema
  6. JamiiForums Tanzania Mwanangu anapenda kulala Sakafuni. Je, ni tatizo?

    Hbar wadau, Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watu wenye Damu kundi B hawatakiwi kula kuku

    Nimesoma habari huko mtandaoni nimepata mtatiziko kidogo baada ya mwandishi kuandika watu wenye group B msile kuku, na wakati mimi kuku ndio moja ya kitoweo changu pendwa sana. Msaada hapo wa kuhakiki taarifa hii iwapo ni kweli kuku si salama kwa wenye damu group B
  8. JamiiForums Tanzania Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  10. JamiiForums Tanzania Wenye wenza wenu mikoani; Nyie mko Dar mnaishije?

    Habarini wana jamvi Kuna mdogo wangu mda si mrefu may anahamia mkoan Leo niko na dogo anauliza kakaa hivi unawezaje kuishi mume dar mke mkoan and vv Dah hizi kazi majaribu sana nkamwambia mtegemee mungu atakutun,zia mkeo Shida bora angekuwa anaenda moro ama dodoma aje weekend weeee...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mimi G4N naomba kuteuliwa kuwa mwenezi. Nikiteuliwa tu, wanaccm wote wenye miaka 55+ nawafuta uanachama

    Sababu zangu ni hizi:- 1. Wamefikisha umri wa kustaafu, hivyo wakalee wajukuu zao. 2. Wanaziba nafasi za vijana. 3. Wao ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo Sasa wanagombea ili iwe Nini tena? Naitwa G4N naomba kuteuliwa kuwa katibu mwenezi. Endapo nitateulowa nitafanya yafuatayo.:- 1...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyeelewa ufafanuzi huu wa TBC atueleweshe na sisi wenye vichwa vigumu

    Hebu someni hii
  13. JamiiForums Tanzania Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au hata mechi pendwa za soka..... ukibadili channeli watoto hao wanakukimbia sebuleni unabaki mwenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
  15. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kusoma historia ndiyo mkombozi pekee wa akili zetu kama tutakuwa wenye kuhitaji mabadiliko ya kweli

    History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti kina walter Rodney,smith na wengineo. Historia ipo kwa lengo la kuonesha GAP au MAPUNGUFU ili watu...
  16. JamiiForums Tanzania Wamarekani wenye asili ya Kiafrika bado wanakabiliwa na ubaguzi wa rangi

    Umoja wa Mataifa wiki iliyopita umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi, na kaulimbiu ya mwaka huu ni “Muongo wa Utekelezaji wa Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Asili ya Kiafrika”. Wakati jamii ya kimataifa inajitahidi kuondoa ubaguzi wa rangi, Marekani, ambayo inajiita...
  17. JamiiForums Tanzania Sisi Team Samia wenye akili tunaonekana hatufai

    Huyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wana wapenda wanaume wenye tabia hizi?

    1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini. 2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope. 3. Wanaume wakorofi (sio wakali) hawa pia wana miliki na kupendwa na vyuma vya hatari kivyede yani...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Urafiki wenye mabadiliko ndani yake

  20. JamiiForums Tanzania Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…