Wazazi wenye mabinti wanaosoma Vyuo Vikuu funguka

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,167
11,490
Kama wewe ni mzazi au mlezi una binti yako! yuko au anategemea kusoma taasisi za elimu ya juu kwa udhamini wa bodi ya mikopo kaa chonjo! Mabinti ni jinsia ya kike! Ni wanawake hata kama hawajazaa au kuolewa! Ni dhaifu wamejaa tamaa!

Sasa wewe mzazi unajiridhisha eti kwasababu kapata mkopo! Mkopo anaoupata kutoka bodi ya mikopo umepigiwa mahesabu na wataharamu na wachumi kumuwezesha mnufaika kula, kulala na chakula cha msingi baaaasiii!

Sasa hawa mabinti wakifika chuo hutaka kujilinganisha na wenzao waliotoka familia zinazojimudu na kujikuta katika hela ya mkopo hawezi mudu maisha hayo na wakaendelea kulipia pango, chakula, usafiri wa kwenda na kurudi chuo (kama huko nje ya chuo), mahitaji ya taaluma kama photocopy & stationeries na kujikuta analazimika kuingia katika ukahaba!

Mabinti wooote au asilimia kubwa waliotoka kwenye familia za makabwela wakienda vyuo vikuu wanaishia kuwa makaaabaaa! Mzazai/ mlezi! Muite binti yako mkalishe chini jadili mustakabali wake kama binti yako lakini kama mtoto wako na familia yako!

Vinginevyo kama unajinyima na kukopa kumuongezea unafanya kazi bure! Mkalishe chini! Mbane! Muhapishe! Mfunge kwa maneno ya kinywa chake! Muwekee mbele zake laana na baraka na kwamba kama atakengeuka apotekee huko hakuna kurudi! Za kuambiwa ongeza na zako
 
BOSS umesema sawa,
Sema kuna mabinti nyumbani kwao hawajiwezi na anakuwa hana tamaa na maisha ya muda mfupi

Na pia kuna watoto wa vibopa kabisa, mpunga kama wote na wahuni wanabatua kama kawaida.

Me niseme tuu kama mwanao ni kahaba ni kahaba tuu, si akiwa chuo si akiwa nyumbani,

Utamkemea utamuapisha, utamfokea, utamtishia kila kitu, ila yataingilia huku kisha yanatokea chini.

Binti anapokua na changamoto za ukahaba, inabidi utukie akili nyingi sana kumuelimisha/kumsaidia, ila huwa hawaachi, anapokosa hela tabia inaongezeka tuu sio kwamba ndo inakua inaanza, tabia anakua nayo toka kitambo,

Hivyo mtoto wa kike achunguzwe mapema kabla hajafika huko machuo (mtu mzima) achunguzwe na kusaidiwa akiwa bado mdogo.

MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO

Ndo napita hivo.
 
Back
Top Bottom