wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. Wenye watoto wadogo

    Hivi imewahi kuwatokea mtoto wenu mdogo kamkazania au kumng'ang'ania a stranger ambaye hamjui kamuona tu ila fasta anamkazania hata kumlilia?
  2. P

    Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

    Wakuu kwema? Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu. Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
  3. Namna bora ya Kuwasaidia Watoto wenye Usonji nchini Tanzania

    Usonji ni ugonjwa wa ukuaji unaoathiri idadi kubwa ya watoto duniani kote, ikiwa ni pamoja na wale wa Tanzania. Kwa bahati mbaya, kutokana na miundombinu duni ya nchi nyingi na rasilimali chache, hususani katika kusaidia watoto wenye usonji juhudi nyingi zimeonekana kukutana na changamoto...
  4. R

    Tanzania mpira unachezwa na waliofeli shule au waliokataa kwenda vyuo; Duniani mpira unachezwa na wale wenye vipaji

    Mpira unaanza na uwezo wa akili kufanya maamuzi. Mpira unatokana na skills na creativity. Watu wote wenye vipaji wanafaulu katika eneo lao la specialization. Mafundi simu simu wengi siyo wale waliomaliza degree bali ni wale walio na kipaji chakujifunza kutengeneza simu. Mafundi furniture siyo...
  5. Aidha ni miongoni mwa wenye kumwangusha Rais Samia na au anafanya yaleyale ya mtanifanya nini!

    Samahani, kwa sasa nitakuwa naanza na neno Watu weusi pausua kichwa, tunamatatizo gani? Mbona hatuwezi karibu kila kitu? Baada ya kutugundua na kujiaminisha kwamba, Watanzania hata uwafanyie ubaya unaozidi ubaya, hawawezi kukufanya chochote, zaidi sana wataandika na kulalamika huku wakiishia...
  6. C

    Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  7. PreGE2025 Huyu shekhe vipi, sisi waisilamu turudishe kadi za chadema halafu tuunge mkono kunakokimbiwa na wenye akili wote?

    Ni kuchanganyikiwaaa au vipi Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye Watanzania kwa sasa ni werevu kwenye siasa pia kwenye masuala ya Dini, Watanzania wa miaka 20 iliyopita, si kama...
  8. W

    Mwaka 2023 ulikuwa wenye joto zaidi katika historia

    Kulingana na data kutoka Shirika ya Hali ya Hewa ya Copernicus, wastani wa joto la Dunia mwaka jana 2023 lilikuwa nyuzi 1.48 Celsius joto zaidi kuliko miaka iliyotangulia. Wataalam watahadharisha mataifa kufanya mabadiliko ya haraka kutoka kwenye nishati chafu la sivyo joto litakuwa kali zaidi...
  9. Kwanini wenye nyumba wanalazimisha wapangaji walipe Kodi kwanzia miezi 6?

    Kumetokea wimbi la wenye nyumba kutaka Kodi ya miezi 6 kwa mkupuo wengine wanataka hadi ya mwaka mzima Mfano Mimi nalipia Kodi 150,000 mwenye nyumba huaa hapokei Kodi ya mwezi mmoja anasema Kodi lazima nilipe miezi 6 au mwaka mmoja Ukiangalia ulipwaji WA fedha/Kodi haumpi mpangaji guarantee...
  10. Kazi hizi zinawafaa INTROVERTS wa Tanzania wasiopenda ama wenye shida ya kusocoalize

    Introverts ni watu wanaopenda kuwa peke yao ama kuwa na circle ndogo sana ya watu, ni aidha wana aibu, wakimya, wana ulemavu wa mawasiliano, n.k. hivyo kupelekea wao kuwa na uwezo mdogo wa kusocialize, Watu hawa huchukuliwa kimakosa kwamba wana viburi au wana jeuri, Kazi hizi zinawafaa...
  11. CHADEMA, Huwa inawasaidia vipi raia wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri kwa kuwawekea Mawakili? Au ndo wanaishia kuwachangisha tu?

    Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa...
  12. Kipi Bora Tanzania tuwe wengi maskini au wachache wenye maisha bora

    Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini.. Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5 Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor ukuchek serikali Ina Mipango gani na future...
  13. Ecuador: Watu wenye silaha wavamia studio ya TV matangazo yakiwa ‘LIVE’ na kuwateka Watangazaji

    Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka Wafanyakazi wa kituo hicho kwa muda. Imeelezwa hakuna mtu aliyeuawa katika tukio hilo ambalo lilizimwa na...
  14. Wenye kwao wanajenga kwao, wakimaliza kwetu wataenda kwao!

    Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga...
  15. Safari ya Morogoro kwenda Tanga unatumia saa ngapi kwa Basi?

    Naam wakuu naomba nisaidieni majibu.
  16. L

    Mpango wa uwongo wa Marekani wenye thamani ya dola milioni 300 wafichuliwa

    Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili watoe ripoti mbaya kuhusu China. Inadaiwa kwamba kile...
  17. Kwa wale wenye MAADUI Wengi au MNAOCHUKIWA sana pokeeni huu Ujumbe wenu Kuntu kabisa.....

    Muwe na Weekend Njema na MAADUI zetu tafadhalini msiache Kutuchukia akina GENTAMYCINE. Kudadadeki.....!!
  18. Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

    Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu.. Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee??? Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana. Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda...
  19. Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  20. UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…