wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

    Comrade!ikitokea hatma imekudondokea na hatmae ukawa mkuu wa kiti kikubwa katika nchi hii!Hili nalo lipatie ufumbuzi kama ninavyoandika sasa! Kumbuka nchi yetu Haina tatizo la ajira Bali sera mbovu za ajira ndio zimetufikisha tulipo,unawezaje kumuajiri mtumishi ajira ya maisha !?wakati Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata unga wa dagaa omena wenye ubora wa juu

    Habari wakuu, ninatarajia kufungua kiwanda kidogo cha utengenezaji wa vyakula vya mifugo hivyo nipo kwenye utafiti wa kuwatqmbua suppliers wa ingredients mbalimbali za kuchanganya kutengeneza cha Mifugo. Moja ya ingredient ninayotaka kujua naweza kuipata ni Fishmeal au tuseme dagaa omena wenye...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi tofauti na ukame, vita na mafuriko kuna shida yoyote ya kimaisha wadada wenye makebo makubwa wanapitia kwa kweli?

    Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu. Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sioni Mwanasiasa wa Kuwapambania Wananchi. Wengi ni Wazee Waliojichokea na Madingi wenye Njaa.

    Nimeziona picha zilizotumwa mtandaoni zikiwaonyesha viongozi wa vyama vya siasa waliokua wakimsikiliza Samia, ama kwa hakika ni aibu na hawatii matumaini kwa Tanzania ijayo. Yani ule ukumbi ulipwaya, ni kama ombaomba walikua ukumbini wanamsikiliza Samia. Mwingine sijui kapigwa stroke kapona...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Serikali zichunguze Mradi wa Kongani la viwanda Maranje wenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 300

    Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030. Hata...
  6. JamiiForums Tanzania Nafurahishwa sana na mlipuko wa ujenzi wa maghorofa Kariakoo, wenye nyumba za chini mliobaki pisheni, acheni ubishi

    Najua kwamba kuna uwezekano mkubwa pesa zinazotumika kununua viwanja na kujenga maghorofa Kariakoo ni pesa za upigaji (pesa zenye kona kona) , lakini nimetafakari na kuona kwamba ni bora anaeiba Tz na kujenga Tz , kuliko wanasiasa na wahindi wanaopiga pesa nchi na kwenda kuzificha uingereza na...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa Vijana Wenye Ujuzi wa Sales & Marketing – Tengeneza Kipato cha Ziada

    Je, una uwezo wa kutafuta wateja na kuuza huduma? Peculiar Enterprises Ltd. inakupa nafasi ya kutengeneza kipato cha ziada kwa kutuletea wamiliki wa Microfinance watakaoanza kutumia Peloo, mfumo wa kisasa wa usimamizi wa Microfinance. Commission Utakayopata TZS 50,000 kwa kila mteja...
  8. JamiiForums Tanzania Juu ya wenye vidoti unyayoni na waviu-wenye HIV

    Kheri Haina uthibitisho kila mtu mwenye vidoti unyayoni kuwa ana HIV, sio kweli Bali ni ukiwa na HIV na ukaanza kutumia dawa za HIV inaweza ikakupelekea ukapata vidoti unyayoni na sio Kwa wote lazima wapate vidoti, au hata kabla ya kutumia dawa Kinga ya mwili inashuka baada ya kupata HIV na...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye sauti zenye "base" la kutetemesha wameishia wapi?

    Wakuu, Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true. Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana maana sauti haina authority. Ndio maana kutwa malalamiko kuwa hamsikilizwi. Hata kwenye movie za...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanatafuta bikra wanawake tunatafuta wanaume wenye marinda

    Mpambano ni mkali sana huku ground wanaume wanatafuta bikra wanawake wanatafuta wanaume wenye marinda Dunia imeenda kasi sana kumpata bikira kipengele na kumpata mwanaume Mwenye uanaume ni Mtihani Mpaka 2035 bikra hatokuwepo na wanaume wenye marinda watamulikwa na tochi Muda mchache Kama...
  11. JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

    Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini? Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...
  12. JamiiForums Tanzania Samaki wenye mifupa ipo kama "Y" ni samaki gani?

    Wanaitwaje samaki wenye mifupa imekaa hivi? Wanapatikana wapi hapa Tz?
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali irekebishe Kanuni hizi, zinatuzuia wenye Diploma za Medicine kusomea Degree

    Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo. Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Wenye midomo hawasemi Rais Samia anavyoleta miradi ikitokea tumekopa midomo mingi

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baba...
  15. JamiiForums Tanzania Wenye Uzoefu na hii JBL BAR 1300MK2

    Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana Full Specifications JBL Bar 1300XMK2-11.1.4 Channel Soundbar System With Detachable Surround...
  16. JamiiForums Tanzania Roho Kuukuu: Watoto Wenye Busara za Wazee

    Ushawahi kuona mtoto mdogo wa miaka mitano, lakini akiongea, pointi anazotoa ni za mtu mzima wa miaka 60? wakati hata shule hajaanza? Hawa ndio wale watu wanasema roho zao zilishawahi kuishi duniani zamani, zikafa, zikarudi tena kwenye miili ya watoto. Wanapenda kukaa na watu wazima kuliko...
  17. JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpango wenye nia ovu kukwamisha michango ya CHADEMA kwa kigezo cha fedha haramu na utakatishaji fedha

    Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu. Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+ Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
  19. JamiiForums Tanzania Wanachama za SADC wahimizwa kuwa na umoja wenye malengo kukabiliana na changamoto zenye madhara ya Kiuchumi

    Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani ambazo zisiposhughulikiwa ipasavyo zitakuwa na madhara makubwa katika usalama na uchumi wa nchi wanachama. Hayo yamejiri Julai 16, 2026...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi Omar Ahimiza Wenye Mahitaji Maalumu Kuchangamkia Zabuni za Serikali Kupitia NeST

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wapili kulia), akimkabidhi Mguu wa Bandia mkazi wa Tanga mjini, Bi. Rehema Amour (wa pili kushoto), katika hafla ya Kugawa Miguu Bandia kwa watu wenye mahitaji maalum, iliyoratibiwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Mwanaisha Ulenge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…