wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. President of China

    Maendeleo haya wakiyaona Wakenya wanaumia sana wanataka tufanane nao - Na maadui wengine wanataka wafanye wao Tanzania oyee

    VIta vya kiuchumi ni halisi wengine wanadhani kwamba ni matani matani ya kwenye mitandao ya kijamii. Adui atatumia mbinu zote kuhakikisha kwamba tunakwama na yeye aendelee kuwa juu. Haya maendeleo yanamfanya adui wetu azidi kuumia. Anajiuliza why them not us? atika Afrika Mashariki, kuna...
  2. Heparin

    GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
  3. Criss

    Kama atatawala juu ya damu je! Hataloa na kulowesha wengine?

    Wakati naitafakari J2 yangu tulivu chini ya kivuli cha mti niliyoupanda kwa mkono wangu mwenyewe nikawa nawaza kumbe matokeo ya kesho yetu yapo mikononi mwetu. Moyoni nimejikuta najiuliza hivi Mama amejiandaa kweli kutawala kwenye hili dimbwi za Damu za hawa jamaa waliyopata uhuru pasipo...
  4. The Palm Beach

    MCh. Carlos R.W.Kirimbai: Ujumbe kwa Taifa la Tanzania juu ya athari ya damu isiyo na hatia inayomwagwa na binadamu wengine katika nchi yetu

    Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania; Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika. Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
  5. Heparin

    GE2025 Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima

    Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima. Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma. Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42. Pia soma GE2025 -...
  6. A

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili kulinda hadhi yake na Majaji wengine ajiuzulu

    Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
  7. Dennis Robert Shughuru

    Kuna muda najiuliza mwafrika ni binadamu aliyekamilika kweli!, asije akawa ni tofauti na hao wengine

    Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize Mwafrika ni rational human being What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu sana Kwa nini tusirudi kwenye utawala wa kifalme kama demokrasia hatuwezi Hivi marekani ingekuwa ni...
  8. Abraham Lincolnn

    Maandamano yaliyoanza leo ni mwanzo tu hayatakuwa na kikomo mpaka haki itendeke na waliopotea wapatikane

    Huu ni mwanzo tu
  9. M

    Wakuu ni kweli uchawi upo ? Weka tukio hata moja lililowahi kukuta wewe, sio kusikia kwa wengine au vijiweni

    Siamini uchawi, Hakuna uchawi
  10. DogoWaNjombe

    GE2025 Wasira: Haki za Binadamu haziruhusu kuzuia wengine kwenda Kupiga Kura, atakayefanya hivyo Sheria inaruhusu ashughulikiwe

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa. Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
  11. Chizi Maarifa

    Mussa, Daudi, Yesu na Wayahudi wengine wengi wa kwenye Biblia walikuwa Waislamu!

    Ad-Darr” (ٱلضَّارّ) ni moja ya majina 99 ya Allah (Asmaul Husna). 🔹 Maana yake: “Yule Mwenye Kudhuru” au “Mleta Madhara.”
  12. The Father of All

    Kama urais unatoka kwa Mungu, je, Idi Amin, na maimla wengine nao walitoka kwa huyo Mungu?

    Mara nyingi, utasikia wengi, hasa machawa na kunguni, wakisema eti uongozi hasa urais hutoka kwa Mungu! Hii ni kwa sababu eti aliandika tapeli Paulo aka Sauli wa Tarso Warumi 13:1. Mlitetemea chawa kama huyu aseme nini wakati naye alikuwa akitafuta riziki kichawa na kitapeli? Je, madikteta...
  13. Trainee

    Wengine kila siku humu mnajidai kuponda uchaguzi na kuupinga lakini mtaani mmejazana kwenye harakati za kupambania 'kazi za muda'

    Timu maandamano bwana Yaani kimtu kinakomaa mishipa kupondea uchaguzi na kuupinga lakini kwenye foleni ya kuhangaikia kazi za muda za usimamizi na ukarani wa uchaguzi unakakuta tena kapo mstari wa mbele
  14. REJESHO HURU

    Matukio ya Polepole na wengine yananikumbusha A Grain of Wheat, novel iliyoandikwa na Ngũgĩ wa Thiong’o,

    Ni suala la muda tu mbegu itamea na tutavuna tusichoke
  15. Carlos The Jackal

    GE2025 Nawakumbusha Vijana Wakatoliki, Tarehe 29/10 tunaandamana huku tukimkumbuka Padre Kitima aliyenusurika Kuuawa na Mapadree wengine wanaotekwa

    Leo hii Padree Kitima, Katibu wa Balaza la TEC angekua mavumbini. Mapdre wengi wameamua Kuishi kijasusi kuwakwepa Watekaji na Wauaji , yote hii ni sababu tu ya kushauri Mapenzi ya Bwana wetu YESU KRISTO ! Mapadre wengine wametekwa na Kupotezwa !!. Hizi Hasira zooote Vijana wa Kiseminari ...
  16. R

    Tayari Hamas imewaachia huru Mateka saba wa Israel na kudai kuendelea kuachilia wengine zaidi

    Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu (ICRC), tayari kukabidhiwa kwa jeshi la Israel (IDF), jeshi hilo limethibitisha Taarifa za kuachiliwa...
  17. comrade_kipepe

    Viongozi wa dini ya Kikristo wanazidi kuwindwa, wengine wameshakimbia nchi, SHIDA NI NINI??

    Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??. Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
  18. oldbull

    Ukishawishika ukaingia kwenye kilimo na ufugaji utatajirika, ukiweza kuwashawishi wengine waingie utatajirika zaidi

    Sio siri kwamba kilimo na Ufugaji unalipa, tena sana. Ila unalipa sana kwa watu wenye mitaji mikubwa na uzoefu, so kila kitu kinahitaji discipline na uthubutu. Ila ikiona mfugaji au mkulima anapromote sana kitega uchumi chake ni kwa sababu anataka kupata pesa zaidi na hamna njia nzuri ya kupata...
  19. A

    DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  20. H

    Viongozi wa Tanzania wamejisahau kabisa kuwa kuna watu wengine wanahitaji maisha bora kama yao

    Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka. Raia wa kawaida wanamaisha...
Back
Top Bottom