wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    SoC01 Vikwazo kwa Wanasoka Vijana wa Tanzania katika kucheza soka la kulipwa nchi za nje

    Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
  2. Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  3. K

    Ufahamu ugonjwa wa The Black Death ulioua watu wengi zaidi kwenye historia ya dunia

    Mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 1347 karne ya 14, meli 12 ziliwasili katika bandari ya messina mji wa Sicily nchini Italia zikiwa zimetokea bahari nyeusi maarufu kama The Black Sea. Sababu ilikua moja ya bandali kubwa ya kibiashara watu walisogea ili kupokea meli hizo na kupigwa na butwaa baada...
  4. Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mpenzi wake ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai. Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba...
  5. Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  6. Diamond Platinumz tunakushukuru, Umeamsha vijana wengi walioridhika na mafanikio

    Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
  7. Kama kweli basi wengi tumo

  8. M

    Katiba Mpya sawa, lakini unadhani watu wengi wana weledi wa kutosha: Case Study South Africa

    Naitazama katiba mpya kama swala lenye ulazima na tija sana katika uendeshaji wa nchi: Sababu kuu ni moja sheria zetu nyingi zinapwaya na kuhitaji marekebisho kila mara ila sidhani kama kuna mambo muhimu matatu ya kushughulikia nchi hii Katiba itaingia katika miaka mitatu ijayo. Nadhani kuwe na...
  9. Alichosema Anthony Diallo kinasemwa na Watanzania wengi chinichini

    Katiba yetu inalalamikiwa na Watanzania wote, wapinzani, wanaCCM na wazanzibar kwakuwa katiba hii pamoja na mambo mengine ina uwezo mkubwa wa kuzaa kiongozi dikteta, kiongozi mwizi wa kura, kiongozi mdini, kiongozi mbadhilifu, kiongozi mkabila na kiongozi kichaa ambaye wananchi hawawezi...
  10. Wasomi wengi wa Tanzania ni Opportunist wakubwa, Walaghai na Wabinafsi

    Hawa wasomi njaa hawa kipindi kile cha nyuma walitusababishia ikawa ukienda kula ndizi choma na mishkaki unawekewa kavu na ukitaka chachandu unatakiwa ulipie. Yaani Ghafla Chachandu ikawa dawa ya Corona. Kwa utafiti gani haijulikani. Yaani sisi watu wa hovyo sana. Wauzaji chips wakawa sasa...
  11. Kilimanjaro: Vyama vya watumia maji vyasema Sabaya aliwapora mabilioni

    Hai. Bodi saba za watumia maji wilayani Hai, Siha na Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro zimeibuka na tuhuma nzito kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliwapora mali za mabilioni. Bodi hizo zimeiomba Serikali kuingilia kati sakata hilo ili warejeshewe mali zenye thamani ya...
  12. Watu sumu tuko wengi kila mtu kwa namna yake

  13. Wahitimu wengi wa Vyuo Vikuu vya Kitanzania hawawezi kufanya mjadala kama huu wa watoto wa shule

    Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
  14. Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

    I) POSITIVES Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi. 1. Kutotumia...
  15. Biashara ya Peanut butter ila Hela Sema Wengi Wanachemka kwa kucopy na kupaste

    SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥 1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/= Gharama za uzalishaji Karanga: tsh 2000 -2500 Tuch. Max. Tsh 2500 Vifungashio , lebo na lakiri: 1000 per 1 kg Umeme: 100 per 1kg...
  16. Ndugu Watanzania, sio walio magerezani wanaachiwa, bali bajeti ya 2021/2022 inakwenda kuondoa watu wengi gereza la kiuchumi

    Magereza yanafunguliwa, magereza ya jeshi la magereza tunaona kwa macho. Je, ndio huyu au tusubiri mwingine, naye akajibu, vipofu wanaona na viziwi wanasikia! Jela kubwa kabisa kuliko zote,jela ya kiuchumi,jela iliyoifunga nchi nzima nayo inakwenda kuvunjwa makufuli yake. Mwendazake alijiapiza...
  17. Watanzania wengi tumejikatia tamaa, tunaishi kwa kutegemea mikeka itiki

    Habari wadau! Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka. Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
  18. K

    Kwanini maskini wengi wanaamini kuwa utulivu na unyenyekevu ni sifa kuu ya Kiongozi?

    Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi. Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji...
  19. FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…