wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unafikiri Wazungu na jamii za Asia zinaichukuliaje ndoa?

    Kwema Wakuu! Kuna watu humu sijui ni ushamba, sijui ni ulimbukeni, sijui na kukosa elimu ya Dini, sijui ni kukosa elimu ya Kadi(jando na unyago) sijui ni kukosa elimu ya Sheria, basi tuu wanajifanya wanausasa lakini kimsingi ni kuwa wamechanganyikiwa na hawajui wamechanganyikiwa. Utasikia Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kauli zao zinapoteza matumaini mengi ya wengi

    Kwanza nianze Kwa kumshukuru Mungu Kwa uzima na afya anayonijalia SIKU zote. Pia nawashukuru JF Kwa kuweza jukwaa hili ili kuibua na kuendeleza mawazo yaliyokosa pa kusema. Wahenga walisema kuwa uyaone. Msemo mwepesi lakini uliobeba majonzi Kwa wale tunaoyaona sasa. Kwanini wanaendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na matapeli leo

    Matapeli ya mtandao wamerejea. Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
  4. JamiiForums Tanzania Wanaharakati Nchini Ivory Coast walaani Mswada wa Kuruhusu Wanaume kuoa wake wengi

    Wanaharakati wa Haki za Wanawake wamesema Mswada unaopendekezwa wa kuhalalisha na kurejesha tena ndoa ya wake wengi kwa Wanaume, ni kurudisha nyuma jitihada za vita vya usawa wa kijinsia Nchini humo. Ndoa za wake wengi zilipigwa marufuku nchini humo mnamo 1964 huku Tume ya Umoja wa Mataifa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka RITA kuchunguza na kubainisha sababu za mwamko mdogo kwenye kuandika wosia

    Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetakiwa kukusanya maoni kwa wananchi kuhusu sababu ya mwamko mdogo wa Wananchi katika kuandika wosia. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mary Makondo amesema wosia siyo uchuro, mtazamo hasi kuhusu suala hilo umesababisha kuibuka migogoro...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huwa wanajua wazi kabisa wake zao wanapigwa nje ila wanajikausha

    Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
  7. JamiiForums Tanzania Kukosa pesa kunaweza kitu watu wengi wenye tabia mbovu wanajificha humo (camouflage) na kuonekana ni wastarabu ilhali sio

    Salaam wadau.! Natumaini kabisa mko njema. Kwenye maisha yetu kila siku tumekua tukipitia vipindi tofauti tofauti ambavyo vimejaa furaha, machungu na Majonzi wakati fulani. Binadamu anaweza kuwa ni kiumbe pekee mwenye hisia hasa hasa kwenye masuala ya kiuchumi na kijamii, ambaye kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

    When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you. Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari. So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu. But...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji akina Antony Mtaka wengi zaidi katika nchi yetu

    Taifa letu linahitaji watu wenye Kariba ya ANTONY MTAKA yule mkuu wa Dodoma wengi zaidi kama 1000 hivi ili washike nyazifa na vitengo mbalimbali serikalini. Kwanza nikili sijawahi kumuona na Wala simfahamu na ikitokea tumekutana sehemu ambapo hakuna shughuli kubwa ya kiserikali naweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Limbwata lipo na limeharibu maisha ya wanaume wengi. Wanawake wanaharibu akili za wanaume

    Mtu anawekewa limbwata na mwanamke mpaka anasahau familia yake. Anashindwa kufanya kazi. Anawaza kuhusu mwanamke na wivu usiofaa. Anahonga mwanamke mpaka anaharibu maisha yake. Wengine wanakunywa sumu.
  11. JamiiForums Tanzania Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

    Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote. Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna. My take: Mimi ni simba galagazwa
  12. JamiiForums Tanzania Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

    Tujadili kidogo. Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo. Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali, kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture) lakini hakutenda...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

    Heri ya sikukuu ya sabasaba. Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia mbali perfume. Jana nilikua kwenye misongamano ya watu sehemu mbili tofauti katika jiji la Dar es...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

    Umuofia kwenu, Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi. Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba...
  15. JamiiForums Tanzania Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

    Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wa Umma sio wabunifu?

    Kuna jamaa angu kaajiliwa huko halmashauri kama account officer Jamaa ni klilaza.hajui hata kutumia account package yeyote.
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi hawapendi Basketball?

    Ni mchezo mzuri sana ukiujua... ni muda sasa wa kujifunza na kuanza kuucheza.
  18. JamiiForums Tanzania Wabunge wengi Tanzania ni Vilaza, weupe sana vichwani

    Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli. Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe. Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

    Habari wana JF, Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini? Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi? Kwa kifupi hata viewers wa clips zao kwenye mitandao ni wachache shida nini? Maana waigizaji wapo tena wazuri, kwa mnao fuatilia shida ni...
  20. JamiiForums Tanzania Badilisha mtazamo wangu kama si kweli : Wafanyabiashara wengi wanapofilisika hugeukia ujambazi, utapeli na kafara ili kupata mitaji.

    Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo. Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never ! Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…