Tanzania tumshukuru mchina bilakuwa na boda boda tungekuwa na majambazi wengi , kuna sura unakutananayo unaona kabisa hii bila boda boda Ingetoa roho za watu , vijana wengi wamejishikiza kwenye boda boda
Wadau leo niko very stressed.
Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena.
Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu.
Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula.
Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
NOTE
Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo
Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo yao imenyooka ila kwa nchi kama Tanzania ambayo mifumo yake sio mizuri maandalizi binafsi ni muhimu...
Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi?
Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii huhusani Facebook likiwa na nukuu ambayo inatoa ijumbe kutoka kwa raisi wa Uganda yoweri museven amesema kuwa afrika ina wajinga wengi sana.
Katika chapisho hilo ambalo limewekwa kwenye mitandao ya kijamii lina nukuu ya ujumbe...
Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii.
Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana.
Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo.
Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao 40% wanajifungua salama (bila kisu) na 60% au zaidi hujifungua kwa kisu.
Hiyo ni tofauti na miaka ya...
Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini.
Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na...
Kama ulifanya mapenzi bila ya ridhaa yako /kulazimishwa, maana yake ulibakwa, hili linawakuta wanaume wengi sana ila wao wanaona kama ni zali la mentali. Mimi kuna dada alinibaka na hadi leo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu.
Kipindi nilienda likizo kwa bibi, kule kuna nyumba mbili, moja...
1 WAKORINTO 6
1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu?
2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
3 Hamjui ya kuwa...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
"Lakini...
Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k.
Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri.
🏢 Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili.
🔹Maduka yanapatikana kuanzia:
•...
Habari familia yangu ya JF,
Katika hali ya kushangaza lakini yenye ukweli mkubwa kuna kundi kubwa sana la watu wanaamini katika nguvu za giza zaidi ya wanavyoamini uwepo wa Mungu, pamoja na ukuu na uwezo wake.
Jambo la kuvutia ni kwamba, watu hawa si wageni wa ibada. Wapo wanaohudhuria...
Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha.
Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda
Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
Hamjambo wote!
1. MO29 ilikuwa ni mawingu. Ilionyesha uwezekano pasipo uwezekano.
2. Uliwahi kujiuliza kama MO29 ingefanikiwa walau kwa asilimia 50% nini kingetokea? Najua sio Kila MTU anaweza ku-project matukio, lakini ninakuhakikishia ukweli ni kuwa MO29 ingefanikiwa walau kwa 50% mpaka...
Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam.
Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam
Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa...
Yaani unakuta kijana anahanhgaika kuipandisha suruali au kaptula yake aliyoivaa chini ya makalio yake utadhani kweli anaipandisha kiunoni kumbe anajaribu tu kuwaonyesha wanaomtazama kwamba kaivaa nguo hiyo chini ya makalio, na kwakweli haipandishi kiuononi wala nini.
Na baadhi yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.