wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Mji wa Ukraine wa Soledar umetekwa lakini waliokufa wengi ni Warusi. Ipo vipi hii?

    Jeshi la Ukraine pamoja na msaada mkubwa wa NATO linazidi kuishiwa nguvu na hata habari za mrejesho kwa wafadhili wake. Mji umezingirwa tangu Agosti na hatimae warusi wawe ni kutoka Wagner au wapi lakini wamewatimua Waukreni kwenye machimboj ya chumvi yenye mapango mengi. Cha ajabu UK ambaye...
  2. Watanzania wengi wanakula anasa na siyo bata

    Mtu anayekula Bata ni mtu anayeishi Maisha yake bila kelele, anakula vizuri, Analala pazuri Na kipato chake ni constistence. Lakini hizi wanazoziita Bata za vijana ni Anasa, haiwezekani ule Bata then uanza kulalamika umepewa UTI Sugu na Fangas 🙊. So tofautisheni kati ya kula Bata na Anasa.
  3. Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  4. Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa. Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
  5. Hii ndio sababu ya wanajeshi wengi kupigwa na Himars

    Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita. Already obvious that the main reason for what happened was the turning on and mass use mobile phones by personnel – contrary to the...
  6. Kujiajiri/Ujasiriamali ni homa ambayo ikikushika haitoki, ila wahitimu wengi vyuo vikuu wana chanjo tayari!

    Graduates wengi tunachanganywa na vyeti vyetu na zile picha za majoho kwamba tukimaliza tunategemea kwenda kufanya kazki katika shining new office, tupige picha na kupost kuonyesha colleagues kwamba tumefanikiwa. Hii inatokeo kwa baadhi ya watu wanabahatika wanapata kazi mapema na wengine ndio...
  7. Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

    Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo. Kwanini utembee na mke wa mtu? Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako amini hili. Trauma anayoipata mwanaume kisaikolojia ni mara mia apigwe risasi ya trako. Mkesha wa...
  8. Tetesi: Huku watumishi wengi wakipata nyongeza ya chini ya elfu 70 kuna watumishi wameongezewa mshahara mpaka 90% ya mshahara wao

    Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee. Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
  9. Kuna siri gani ya mafanikio ya ghafla kwa wafanyabiashara ya kuuza smartphones?

    Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma. ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi. Simu hizo bei...
  10. Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa

    Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa. Kukuta wote mnapendana inatokea mara chache sana maishani. Wengi wetu tuna wapenzi wenye wapenzi wa mioyoni mwao. Wakuu leo nimeona tujikumbushe jambo muhimu kwenye haya maisha. MAPENZI...
  11. Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

    Salam. Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema . Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin. Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq...
  12. Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

    “Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.” “Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond. Pia soma; TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
  13. Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

    Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala. Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena nitakuwa Sina mume mwenzenu
  14. Watu wengi hawana furaha na maisha yao

    Mengi huja kwa njia tofauti tofauti katika haya maisha,Kila kinachokuja na kutokea katika maisha yako kichukulie kama njia moja wapo ya kujifunza kwako. Maisha mazuri ni yale yakukubaliana na hali uliyo nayo,kuridhika na kile ulichonacho kile ambacho kila ufunguapo macho unakutana nacho na sio...
  15. Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

    Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari. Mimi na kinyaa changu naahirisha...
  16. Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

    Anaandika Robert Heriel. Leo tutajadili ishu ya UONGO dhidi ya UKWELI. Katika Mantiki/Logic Ipo Hivi; Ukweli + Ukweli = Ukweli Ukweli + Uongo = Uongo Uongo + Uongo = Uongo Uongo + Uongo = Uongo Mara nyingi ukweli hujulikana zaidi kwenye matokeo/mwisho wa Jambo au muda. Ukweli huwaga hauna...
  17. Akili za watanzania wengi bado hazipo tayari kupata maendeleo

    Sijui shida ni elimu au vip. Mfano mdogo sana nilijaribu kwenda kununua kiwanja maeneo mawili tofauti katika mikoa miwili tofauti. Kilichonishangaza ni kwamba, unakuta muuzaji wa kiwanja, au mmiliki amegawa hivo viwanja kwa style ambayo mpaka unaweza kujiuliza 'hivi huyu mtu ni kichaa?'...
  18. Kosa wanalolifanya watu wengi na kuwagharimu katika maisha yao yote.

    Habari! Katika maisha watu wengi wanasahau kuweka kumbukumbu ya watu wanaokutana nao na reactions zao. Kila mtu unayekutana anaweza kuwa daraja la kupanda , kushuka au neutral yaani ni mtu tu hana msaada kwako na hawezi kuwa daraja la kukushusha. Mtu ambaye ni adui atabaki kuwa adui tu maisha...
  19. Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

    Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana Simba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda 🇷🇼. Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio...
  20. C

    Kama na wewe unataka kuujaza Uwanja wa Mkapa, kuaminika na kuabudiwa na wengi tembelea nchi hizi

    Nenda nchini Msumbiji hasa ile miji yenye madini mengi kisha mtafute Mganga wa hapo atakupika vyema Nyota na Utaujaza Mkapa Stadium. au nenda nchini Congo DR mtafute Msanii Kofi Olomide au Mwanafunzi wake kimuziki Fally Ipupa kisha waombe wakukutanishe na Waganga wao Hatari na Nyota yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…