loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,274
- 5,204
Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi.
Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar.
Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa.
Ishafika bongo na Afrika nauhakika sema nigger ni mbishi ana immune ya kibishi ndio maana we are able to survive in any harsh conditions.
Mungu tusaidie.