wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

    1. Mapenzi ya utotoni: Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wengi wana kiasi kidogo cha asidi tumboni lakini hawafahamu

    Kwa siku mwili wa binadamu unatengeneza kiasi cha asidi kati ya lita 1 hadi 1.5. Yaani ile asidi ya kujaa kopo kubwa la maji la lita 1.5! Asidi hiyo ni nyingi na kali sana. Ukali wake unafika PH ya 1.5. Manyama, matobolwa, samaki, minyofoo, pweza, vyakula vyote vigumu na laini husagwa na asidi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

    Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua Rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa Juzi tena...
  4. JamiiForums Tanzania Waislam wengi wapo uvuguvugu, sio wa baridi wala wa moto

    Madrasa zimekufa, wanaoenda ni watoto wadogo na wakifika umri fulani wanaacha, shuleni nako kwenye secular hawafanyi vizuri hata somo la maarifa ya uislam wanafeli. matokeo yake ni kuvaa hijabu mtaani kisha kushindana kucheza challenge za nyimbo huko Tiktok, kifupi naweza sema kwa sasa waislam...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    Kwema! Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji. Imeisha hiyo
  6. JamiiForums Tanzania Wahamiaji kutoka Iran wadaiwa kuwa wengi zaidi nchini Afrika Kusini kwa bara la Afrika

    idadi ya wa iran iliyopo kitakwimu 5000 na ikadiliwa kuongeza south afrika. nacho jiuliza wameipendea nini south africa. Unamkumbuka huyu mama anayetishiwa na waisraeli .kumbuka miliki nyingi za South Afrika asilimia kubwa ni Waisraeli.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mabinti wengi wanaomeza p2 ukiwaoa bila kuwatia mimba mnaweza kuzeeka bila watoto, kwa zama hizi ukioa bila kuthibitisha imekula kwako

    Binti kaanza kunywa p2 tangu form 1 mpaka chuoni, wewe unavamia treni kwa mbele kujifanya mtakatifu eti uende kufunga nae ndoa ya kitakatifu, ogaaaaa utaumiaaaa, utaliaaaaaa !! Piga sana karanga mbichi, piga sana mtingi, kunywa sana mchuzi wa pweza lakini wapi. Vijana muweni makini, hali ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

    Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote. Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe. Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Madaraka makubwa, usipokuwa na hekima, hasa hekima ya Mungu, yanalevya. Na ukikosa hekima unaweza kudhania kuwa wewe ni kila kitu, kwa sababu hakuna wa kukuhoji wala kukuadhibu. Mathalani madaraka ya Rais wa Tanzania, anaweza kuyatumia vyovyote apendavyo, hata kuua, akitaka, na asihojiwe wala...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

    Yaani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wasio na dini na kuna wahuni, lakini jambo akifanya Muarabu basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna Muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya...
  11. JamiiForums Tanzania Mama unayefungua nchi muandikie Barua Rais huyu atutembelee anamashabiki wengi Tanzania na jina tumempa

    Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wengi hamjui, ujasiri wa Makonda ulianzia hapa!

    Baada ya kutoka Kolomije na kufika Dar es salaam Makonda alifikia Lumumba kwa utambulisho wa uCCM. Alilala katika moja ya ofisi za chama hicho siku kadhaa kabla ya Mzee Samwel Sitta kumchukua nyumbani kwake kama rafiki na Msaidizi wake. Ni Sitta alifanikisha Makonda awe Katibu wa Chipukizi na...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu wakristo wengi wanateseka licha ya kuomba sana. Majini Vs Malaika

    Wasalaam Wengi wanaaminishwa uhalisia wa majini/mapepo na ushirikina kuliko Malaika. Yaani unakuta mtu analala, kwa machale na wenge akitegemea muda wowote kukabwa, Kukwidwa kubininywa au kufinywa na nguvu za giza. Hii imepelekea 90% ya maombi ni Kukemea na kuvunja badala ya kushukuru kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila wengi hatujui tulichokisomea

    Wengi tumeenda vyuo tukasoma na kutunukiwa vyeti mbalimbali; ila ukiulizwa hiyo fani ulioisomea unatakiwa ufanye nini, unashindwa kujieleza au kuonyesha kwa vitendo namna elimu ulioipata huko vyuoni inavyoweza kutatua changamoto zilizopo. Mwingine atasema nimesomea IT, Computer sayansi...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
  16. JamiiForums Tanzania Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

    Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko. Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Unajua neno "baba" ni zaidi ya watu wengi wanavyofahamu?

    Kikwetu, inapotokea mtu ana ugomvi na mwenzake, na wameamua watafute Suluhu nje ya mahakama, sharti mojawapo la kikao kukaa ni kila mmoja kuwa na "baba" kwenye hicho kikao. Ajabu ni kwamba, wakati mwingine "baba" anaweza akawa na umri mdogo kuzidi mwenye kesi. Lakini kwa sababu amekwenda kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wayahudi wengi waanza kumrudia Mungu, amewanusuru kwa maafa kama alivyokua anafanya enzi zile

    Hapa sasa ni mpambano kati ya Mungu wa Wayahudi na yule wa waislamu, kila muislamu leo hii anapiga magoti kwa bidii na kuiombea Israel ife, ifutike, nao Wayahudi wamemrudia Mungu wao wakiomba awanusuru kwa hili kama alivyowanusuru tangu enzi za mababu zao akina Musa, Daudi na wengine. Sasa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Akili za wanachuo wengi zimekaa kipigaji na kutaka zaidi ya mlichokubaliana ukiwaweka madukani, kwanini?

    Japo inategemeana mtu na mtu, kwa wastani Darasa la saba na form 4 wengi wala hawana shida ukiwaweka dukani, Shida inakuja uwaweke waliosoma vyuoni, yani hata awe kasomea kozi ya secretary ni shida sana, mwanzoni mnakubaliana vizuri kabisa mshahara, day allowance, muda wa kufika, n.k. lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…