Kwanini wanawake wengi wanabweteka kwenye mahusiano akishakuzoea

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,583
18,915
Habari wanajf

Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata vituko haviishi. Nina bro wangu hivi mpole, na si mtu wa mademu alipata demu mapenzi yalikuwa moto na kila nikikaa nae lazima anipe feedback ya mahusiano yake baada ya miezi miwili kupita changamoto zikaanza ni baada ya huyo manzi kupata kazi unaambiwa bro akimtumia message saa 10 jioni anajibiwa saa 7 usiku hapo akiwa tayari kashauchapa usingizi, muda mwingine hajibiwi message, akipiga simu sometime haipokelewi na hatafutwi.

Ana muda wa miezi 6 hajapewa mbususu sababu anaambiwa uchovu, stress n.k sasa baada ya kuona kuwa ni kama yeye Ndio anajipendeza sana basi akaamua asiwe anamtafuta kabisa ajikite kuwa busy na mambo yake ikapita almost mwezi mmoja Yule manzi akaanza kumpigia simu bro cos ameshakasirishwa alikuwa hazipokei Ila baada ya siku nne kupita Ndio akapokea angalia huyu demu alivyo mjinga akaanza kumpa lawama bro umeanza umalaya nini uko mbona simu zangu upokei na unitafuti bro akamkatia simu.

Siku hiyo hiyo huyo manzi akatimba mpaka ghetto la bro, bro wangu anakawaida ya kuacha sehemu ufunguo kabla hajasepa basi huyo manzi anajua na wengi wanajua Ndio demu wa bro aliingia ghetto unaambiwa ghetto lilifanyiwa usafi kitu ambacho hakuwahi kufanya hapo kabla na akapika na chakula na kuna zawadi kaleta nyingi kwa bro.

Tangu siku hiyo mapenzi yalikuwa si ya mchezo

NB: kwanini wanawake wengi wanaendekeza hizi tabia anajiboost mpaka aubostiwe tofauti na hapo wanabweteka akishajua au kuhisi una mchepuko Ndio anachangamka kwanini isiwe ni desturi yake ya kuboresha mahusiano yake bila kuchangamshwa? Mbona kuna wanaume wametulia tu hawana mambo mengi lakini still wanasumbuliwa na mahusiano na wenza wao shida ni nini?
 
Huyo demu wa bro wako alikua na danga lake,baada ya mambo kuharibika huko ndio akakumbuka alipotoka,

Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba Bro wako aliwekwa kama tairi la spea tu,huyo demu atakuja kumbadilikia tena bro wako baada ya muda,bro wako alitakiwa amtimue mazima,maisha ni mafupi kwanini ujitese?
 
Sasa hivi wapo kwenye ndoa wana mwaka mmoja wa ndoa
 
Huyo demu wa bro wako alikua na danga lake,baada ya mambo kuharibika huko ndio akakumbuka alipotoka,

Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba Bro wako aliwekwa kama tairi la spea tu,huyo demu atakuja kumbadilikia tena bro wako baada ya muda,bro wako alitakiwa amtimue mazima,maisha ni mafupi kwanini ujitese?
Sasa hivi wapo kwenye ndoa wana mwaka mmoja wa ndo
Ni jambo jema bila shaka huyo demu alijifunza kutokana na makosa yake,nawatakia maisha mema.
mwanamke bila mchamchaka haendi vizuri mwanaume ukitambua thamani yako hakuna mwanamke atakayekuendesha hii kitu niliwahi kumwambia bro wangu nimeona imemsaidia
 
Sasa hivi wapo kwenye ndoa wana mwaka mmoja wa ndo

mwanamke bila mchamchaka haendi vizuri mwanaume ukitambua thamani yako hakuna mwanamke atakayekuendesha hii kitu niliwahi kumwambia bro wangu nimeona imemsaidia
Hii nondo nzuri........kupitia experience hii kuna weng watapona.......swali la kizushi huyo demu alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine na bro wako kipindi hiko anadengua???
 
Back
Top Bottom