Majibu ya nani mwenye mashabiki wengi kati ya Simba na Yanga

Kilimbatz

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
4,334
5,838
Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu.

Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta, na Facebook katika akaunti rasmi za timu hizi, hizo ndio data zilizopatikana:

Instagram, Simba ana followers 5.4m huku Yanga ana 2.8m, Facebook, Simba ana follower/likes 1.9m huku Yanga 1.3m na kwenye mtandao wa X Simba ana followers 1.4m huku Yanga ana 274k.

Nimepanga kufuatilia apps za timu hizi mbili ili nione wanachama na mashabiki walionao.

Mkuu Bertha Kakete huu ndio utafiti wangu. Hongera mnyama, umetisha sana

Hii namba inarelect hata maudhurio yenu vibanda umiza, mechi za Simba huwa zina maudhurio mengi. Mechi hizi huleta maokoto mengi, we chunguza mwenyewe utaniambia. Waulize wamiliki wa vibanda umiza watashibitisha hili.

Sijazungumzia maudhurio ya uwanjani na kwenye harambee. Ushauri tu kwa Wanalunyasi namba hizi, reflect mpira wenu uwanjani hasa ile tarehe 20/10/2023.

Screenshot_20231011-195252_Instagram.jpg
Screenshot_20231011-195316_Instagram.jpg
Screenshot_20231011-195346_Facebook.jpg
Screenshot_20231011-195423_Facebook.jpg
Screenshot_20231011-195545_X.jpg namba hizi
Screenshot_20231011-195545_X.jpg
Screenshot_20231011-201456_X.jpg


Kama kuna mtu ana data zingine alete hapa kunikosoa, kunirekebisha au kuongezea nyama.

#Mpira Bila Mbereko inawezekana
 
Mimi ni shabiki wa Yanga ila mimei follow account ya Simba kwenye X na Instagram je unanihesabu vipi kama shabiki wa Simba hapo?
Vizuri kama umeifollow

Miye nimeangalia namba

Ndo maana nimetoa wazo labda tuangalie na idadi ya wanachama na mashabiki wa hizi timu waliojisajiri kwenye apps za kila timu

Hapo vipi?
 
Hongera sana Mkuu kwa majibu yenye kujitosheleza.

Hii ndio Jamii Forum tuliyokuwa tunatumia Miaka Ile na I'd zetu Original.

na Mimi nimejaribu KUMPA majibu kidogo lakini umetisha sana Mkuu.
Kuna memba hawajaridhika kwa hoja kuntu

Nimeanza kutafuta data za apps rasim za timu hizi ili tujue nani ana wanachama wengi waliosajiriwa
 
Majibu yangu kwa bertha.

Hakuna Census Wala Takwimu RASMI za kuweza kupata idadi RASMI ya mashabiki kwasababu za uzembe na UPUMBAVU WA viongozi.

Tunaweza tutumia nadharia isiyo RASMI kama.

Kaangalie kwenye shindano la nani zaidi.

1. Mwaka 2022 kulikuwa na shindano la kuchangisha Fedha kwa njia ya Mitandao ya simu. (Nani zaidi) Simba alichangisha Fedha nyingi zaidi.
SIMBA AMEMPIGA BAO YANGA.


2. NENDA kwenye Mitandao ya kijamii Simba ana ongoza kwa kuwa na mashabiki(followers) wengi MNO.
SIMBA AMEMPIGA BAO YANGA

3. JARIBU kuangalia pia Simba Day na siku ya WANANCHI
Mashabiki WA Simba wanahaza zaidi uwanjani (HAIJALISHI kiingilio)
SIMBA AMEMPIGA BAO YANGA..

4. Kufuatilia na mashabiki wengi
Kujaza viwanja
SIMBA AMEMPIGA BAO YANGA.

5. Kama unaona kote huko mbali.
Ukifanya utafiti tu hapa hapa Jamii forum utagundua Simba Ina mashabiki wengi zaidi.
(Fuatilia Nyuzi Simba siku inapokuwa inacheza).
 
Back
Top Bottom