wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo yanayochangia kuharibu maisha ya vijana wengi

    Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini °Ulevi wa pombe °Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya °Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi °Kamari na betting °Ushabiki wa mipira simba na yanga...
  2. JamiiForums Tanzania Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

    Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL. Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita. Beki wa kushoto...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

    Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya wachache walioweza kufanikiwa sehemu ngumu inafanya wengi wawe masikini, epuka huo mkumbo !! fanya kitu cha uhakika vingine weka plan b

    Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
  5. JamiiForums Tanzania Makosa ambayo wanaume tunakatazwa kuyafanya kwa wanawake wetu na kutugharimu

    Kosa kubwa utakalofanya mwanaume kwenye mahusiano yoyote na mwanamke katika mapenzi 1.Kufanya kila njia hili kutimiza mahitaji yake na shida zake 2.Kusema ndio kwa kila kitu anachokihitaji. 3.Kumfanya kama nguzo yako katika mahusiano yenu 4.Kumuonesha kuwa unaogopa kumpoteza kwenye maisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Matajiri wengi kutokuwa wakweli juu ya utajiri wao?

    Wasalam wakuu, Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama ntilie leo namiliki hoteli kadhaa mjini, mwingine anasema nilianza kushona viatu ila sasa na miliki...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
  8. JamiiForums Tanzania Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu Wanatekwa, wanauwawa,Watu wengi wapo kimyaa?

    Tunasubiri nani atekwe ndio tuelewe hatuko salama Tanzania? Kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Kwanini hoja zinajibiwa Kwa risasi? Elimu zetu na zikoje mpaka watu wanashindwa kujibu Kwa hoja ? wanatumia usaidizi wa jeshi, usalama n.k Upande wako Msomaji unataka nani asimame atetee uhai wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hawajui chochote kuhusu taifa la Israel, part 2

    Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi na sasa nimerudi kutetea hoja yangu. Kwa uchunguzi wangu mdogo tu tena kupitia hili jukwaa niliweza...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dotto Magari atasababisha watoto wengi kukataa shule

    Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla. 1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi imeonekana wamefanikiwa kuliko wasomi walio wengi lakini haimaanishi elimu haina umuhimu kwa kizazi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  14. JamiiForums Tanzania Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

    Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu. Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili. Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaopeleka moto kwenye shoo wengi hatuko romantic na tunabadlisha sana wapenzi

    Ndivyo unavyoweza kuweka baya kuwa sisi Wanaume amabao tuko vizuri kwenye angle ya kupeleka moto, kasoro yetu kubwa hatuko romantic na mahusiano yetu mbali na kigezo cha pesa huwa hayadumu. Asilimia kubwa wapenzi wetu hawakosi vibeten wa kuboresha amani na hisia zao . Tuendelee kujibrand vema...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui mambo mengi kuhusu Taifa la Israel

    Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael. Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na Yanga, yahani mamia kwa maelfu ya watu wanapoteza maisha lakini kuna watu wanaleta utani wa kitoto...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi ni chaguo la mwanaume na kwa wanawake ni mila na suna ya imani na hulka ya wingi ndani ya nafsi za kike

    Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
  19. JamiiForums Tanzania ‘Acha kazi nitakutunza’ imeliza wengi

    Nimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”. Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza wao. Ni kweli kuna umuhimu wa kumfuata mwenza alipo au alipohamishiwa lakini si kwa kuacha kazi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…