Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani.
Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k
Sasa najiuliza, ni kitu gani kinacho wafanya wao kuwa na matajiri wengi.
Ni kwamba wana sera nzuri za kuwawezesha...
Muda mwingi nimekuwa nikikaa na kuwaza kuhusu hili swala la vijana wengi kuwa na tamaa. Tumekuta vijana wengi wakiwa wanaingia katika wimbi kubwa la majanga na hasa ni tamaa,
Tamaa imefanya vina wengi wakumbwe na majanga mbalimbali kama magonjwa na wengine tunaona wakiwa wanapoteza maisha...
Hasahasa mafundi nyumba na furniture yaani hawa katika historia zao lazima tu wamepelekwa polisi sana wamekula hela ya kutengeneza kitanda au advance halafu wanaleta sound..
Ila hao mafundi watata watata ndo unakuta wakifanya kazi matokeo mazuri.kazi zao zinawafanya watafutwe na watu kikubwa ni...
Bila Salamu.
Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao.
Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume namaanisha wengi na ninaposema wengi naomba nieleweke namaanisha wengi. Yaani kwenye Wanawake 10...
WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.
Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
According to Wikipedia Vyama vikubwa ni
Bharatiya Janata Party BJP, Chinese Communist Party; Indian National Congress; hivyo vina wanachama zaidi ya 50 million
Between 5 to 50m CCM ipo namba Tisa ikiwa na wanachama 12 million
Democrats USA; Namba 5 (45 M)
Republican USA Namba 6 (36M)...
Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu...
Habari zenu!
Mada inajieleza.
Wazazi wengi bongo hawana cha kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba au Yanga.
Jitahidi ufanye chini juu uache urithi wa kueleweka.
Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini.
Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto.
Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha nyani.
Watu wa mijini wanajitahidi kula matunda sana.
Watu wa vijijini hasa wanaume wakienda mijini...
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi ya Israel Luteni Jenerali Herz halev ametembelea vikosi vya Jeshi hilo huko Milima ya Golan
Asema kuwa Hezbollah kila siku inazidi kusinyaa na kusinyaa. Wapiganani zaidi ya 1,500 wameuawa tokea Israel ianze operesheni za kijeshi Lebanon
Asema Hezbollah...
Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda.
Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mimi kutoka kwenye maisha ya hali ya chini.
Kabla sijaoa nilipanga
1. Nilipanga sitakuwa na mtoto nje yandoa au kabla sijaoa na hata nikioa sitakua na mtoto nje ya ndoa.✅
2. Sitaoa mke...
Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
Salaam
Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni.
Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali...
Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line..
Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza..
Part of Africa is Doing iT 🙃
Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:-
Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT.
Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida ya kazi kweli kwa sababu ata kula yake ilikuwa ni ya shida.
Nikaumiza kichwa, nikaona huyu atanifaa...
Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi.
Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza.
Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu...
Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba.
Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA.
Serikali inazirudishaje hizi gharama baada ya juhudi hizi? Kuna faida kiasi gani serikali inanufaika na hii...
Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap!
Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya!
Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara!
Nitoe mfano hai!
Jeshi la polisi lina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.