wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wa kiafrika wengi mnachukia asili ya nywele zenu ? mmekazana na mawigi, weaving, rasta, n.k. Please acheni kujichukia, love yourself.

    Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani. Ukitaka ugombane na mwanamke alievaa wigi basi mvue, yani ataonyesha kuzichukia nywele zake kwa kuziziba. Nywele zinavyovutwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tabia hizi zina kera watu wengi

    Tabia hizi zina kela watu wengi 1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday Hii sio sawa tena mbele za watu ase 2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho 3) Mtu anae...
  3. JamiiForums Tanzania Kosa wanalofanya watu wengi ni kuitupa fimbo iliyowasaidia walipokuwa Vipofu.

    KOSA WANALOFANYA WATU WENGI NI KUITUPA FIMBO ILIYOWASAIDIA WALIPOKUWA VIPOFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unakuta kijana kasoma kimazabe kutokea shule za kayumba, mwalimu mmoja, hakuna maabara wala maktaba. Lakini kijana akakaza akafaulu na hatimaye alifika chuo kikuu na kuhitimu shahada...
  4. JamiiForums Tanzania Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  5. JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu πŸ‘‹πŸ½, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  6. JamiiForums Tanzania Leo Askari kanzu wengi wamefanya Ibada bila kusinzia

    Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
  7. JamiiForums Tanzania Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

    Saalam! Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali. Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango...
  8. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel waendelea kufa Gaza.Maelfu watakiwa kwenda kupigana, huku wengi wakigoma.Netanyahu avunja safari ya nje.

    Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza. Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

    Hellow! Hili limesababishwa na Nini? Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka, Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii? Karibuni πŸ™
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo ungezeko la makaka poa Dar ambao wengi wanatokea mikoa ya bara

    Kwa utafiti wangu mkubwa niliofanya hapa jijini dar ni kua makaka poa wengi au maa uncle wengi sio watu wa pwani kiasili wengi ni wavamizi kutoka bara hasahasa mbeya, iringa njombe na kaskazini mwa Tz, pia Kwa asilimia michache ukanda wa kati. Pia kumekua na tabia za maa Uncle kujinasibu ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kuweka Spare Parts Halisi kutoka jerry spare parts and services Tanzania – Je, Watumiaji Wengi Wanaelewa?

    Kama fundi ambaye nimekuwa kwenye hii fani kwa muda sasa, nimegundua jambo moja ambalo linaumiza wateja wengi – matumizi ya spare parts zisizo halisi kwa sababu tu ya bei kuwa ndogo. Watu wengi wanapokuwa kwenye harakati za kutengeneza magari yao, hasa kwenye maeneo muhimu kama brake system...
  12. JamiiForums Tanzania Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau

    Kuna vitu huwa havichezewi Uumbaji wa Mwenyezi Mungu Ardhi Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau! Damu zinatofautiana nguvu.. Kina damu kali na kina damu dhaifu Kina damu yenye kusamahe lakini kina damu yenye malipizi... Na kuna damu yenye maagano na...
  13. JamiiForums Tanzania Kesho watumishi wengi hawataingia kazini watakua wakisherekea kuongezwa posho

    Ingekua enzi za Magu kwanza kusingekua na sherehe pili angetoa tamko gumu kumeza la kuchapa kazi lakini huyu mama ndio kwanza kesho watumishi kibao hawataingia kazini mpaka jumatatuuuu na kodi zetu zimewalipa leo kwenda Singida
  14. JamiiForums Tanzania Pata Status views wengi Katika Whatsapp Account Yako !

    Kwenye dunia ya leo ya kidigitali, WhatsApp siyo tena app ya kuwasiliana tu na marafiki β€” ni fursa ya biashara. Ukiitumia vizuri, unaweza kujenga audience kubwa ya watu wanaoaminika, wanaojali bidhaa/huduma zako, na ambao wako tayari kununua. πŸ‘‡πŸ½ Hapa chini nitakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao Yaani unaweza kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mifano halisi jinsi ambavyo Simba na Yanga zimeharibu akili za Watanzania wengi.

    Moja kwa moja. Hii ni mifano michache ila Kuna aina mbalimbali za uchizi kuhusiana na mambo ya Simba na Yanga . #UziTayari
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mmkakati huu Chadema mmewakamata na kuwafikia wengi

    Jana nimepanda coaster inayotoka Airport kuelekea Buhongwa jijiji Mwanza, ambapo niliona ubunifu wa CDM kuwafikia watu wengi hasa katika hii Kampeni ya NRE. Nilivyoingia nilikuta ukimya, huku sauti ya John Heche ikisikika vyema. Awali nilifikiri ni msafiri anacheza clip kutoka kwenye simu...
  18. JamiiForums Tanzania Likes Nyingi zinafanya watu wengi waufulltilie uzi wako au Mahudhui

    So kuwa Makini... Kumbuka kuna robots. Na hii imekaa kibiashara Zaidi. Heading Can call you .. but the content can have U f.ked. Unavutiwa na Heading.. unaliwa bundle... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Au unavutiwa na Jina la aliye post... Kwa mfano Millard Ayo. Unafungua unakuta ni UPUMBAVU MTUPU.... ANAHOJI WATU...
  19. JamiiForums Tanzania Washabaki wengi wa mpira bongo wana matatizo ya akili?

    Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.
  20. M

    JamiiForums Tanzania DINI INAYOONGOZA KWA MAUJI YA WATU WENGI DUNIANI NI UKRISTO, DATA HIZO HAPO

    πŸ“Š MAKADIRIO YA VIFO VYA VITA KWA KUZINGATIA DINI ZA KITAIFA (Nchi zenye Wakristo wengi vs Waislamu wengi) βœ… 1. Nchi zenye Wakristo WENGI (Christian-majority countries): Vita vikubwa vilivyotokea kutoka nchi hizi ni: WWI (1914–1918) WWII (1939–1945) Vita vya ukoloni Afrika na Asia Vita vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…