wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, niliyestushwa na hii kauli 'tata' ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mpogole ni peke yangu tu au tupo wengi? Mama kuwa makini sana!

    " Uchaguzi Mkuu halali Kikatiba CCM tutaufanya mwakani 2022 ila huu wa leo ni wa Kuziba tu nafasi na hata Rais Mama Samia akishika hatamu atakuwa ni Mfariji Mkuu kwa Viongozi wa CCM pamoja na Wanachama wote ndani na nje ya nchi " Ukitulia kabisa, Kuichambua na hata Kuidadavua vyema hii Kauli ya...
  2. J

    Upepo uliovuma Kunduchi mida ya saa 10 wengi walihisi ni kimbunga Jobo!

    Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote. Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla. Ramadhan kareem!
  3. Propaganda? Hao wasomi waliojaa pomoni wapo wapi? Mbona mimi siwaoni!!!

    Amani iwe nanyi wakuu! Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
  4. Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

    Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji. Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama...
  5. Kwanini Wanawake Wengi wa Kiafrika wanapenda kuvaa mawigi?

    Naomba kupata sababu kama kumi kwanini Wanawake/wasichana wengi wa kiafrika wanapenda kuvaa mawigi siku hizi? Sababu moja tu kubwa niliyoisikia kutoka kwa wanawake ni kwamba wanadai wakivaa mawigi ndio wanapendeza. Mawigi ninayoyaona mengi ni ya nywele zinazofanana na nywele au mitindo ya...
  6. Vyeti feki: Baada ya form 4 sasa angalieni na digrii feki maofisini. Wako wengi wanatuumiza kwa huduma mbovu

    Nasikia kuna wabunge wanawatetea wenye vyeti feki, binafsi naomba serikali iongeze ukaguzi wa vyeti feki vya digrii serikalini. Utendaji mbovu unaojadiliwa baada ya Assad kuzungumzia uzoefu wake akiwa CAG, yawezekana ni matokeo ya watu hawa. Tunao watu wengi na hasa wale waliijaribu elimu ya...
  7. D

    Viongozi wengi wamekimbia Dar kimya kimya kuhofia kimbunga!

    Hakika ukimtegemea binadamu akuongoze kwa haki unapoteza mda! Tishio dogo la kimbunga! Viongozi wengi wamechimba kimya kimya! Wengi wamekinbilia DOM na maeneo mengine! Tumshukuru sana Mungu kwasababu kaahirisha kimbunga kwa ajili ya wale Raia wema waliobaki wasiokuwa na mbio! Tumshukuru Mungu...
  8. D

    Nimegundua rasmi kumbe shetani ni binadamu wala si pepo kama wengi tulivyokaririshwa

    Nimekuwa nikitafta namna ya kumhoji shetani! Lakini rasimi kafunguka! Kasema kwamba baadhi ya mambo mengi binadamu tunamsingizia shetani! Mfano: Anayekufunga kwa hira ni Binadamu mwenzako tena kutwa yupo kanisani Anayewanyima haki binadam wenzake ni binadamu huyuhuyu aliyeapa kwa katiba...
  9. Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  10. Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

    Salamuni wanangu janvini. Japo Hayati John Pombe Magufuli hatarudi kujitetea tokana na madongo anayorushiwa na wasahaulifu wa nchi yetu, anao watetezi yaani legacy yake na Watanzania wenye mapenzi mema na taifa lao. Hivyo, hata kama hawezi kujitetea, wapo watakaomtetea hadi kieleweke. Naleta...
  11. M

    Ama hakika Injinia Hersi anajua sana kucheza na Akili za Wanayanga 'Oya Oya' wengi na anawapeleka vile atakavyo!!

    Injinia Hersi bhana yaani baada ya kuona Mashabiki wa Yanga SC sasa wanaanza 'Kukumaindi' kwa Ahadi yako kuwa Yanga SC isipokuwa Bingwa Msimu huu uulizwe Wewe leo umeamua uyageuze Mawazo yao na Wao walivyo Oya Oya ( Mazwazwa ) wamekuelewa. Tayari Injinia Hersi ameshaandaa Jibu kama akihojiwa...
  12. Kwanini Waandishi maarufu wa vitabu Tanzania wengi wao bado uchumi haujakaa sawa?

    Nadhani ni wengi hapa tumewahi kununua vitabu katika safari zetu za elimu. Unakuta kuna kitabu flani karibu kila mwanafunzi alikuwa nacho. Ila sasa ukija kuangalia hali za maisha za hao waandishi unakuja kugundua vitabu hivyo haviwasaidii sana kiuchumi. WHAT IS THE PROBLEM?
  13. Naungana na Ndugai: Vijana wengi sio waaminifu, amesahau uvivu tu

    NAUNGANA NA SPIKA NDUGAI, VIJANA WENGI SIO WAAMINIFU, TENA WAVIVU Na, Robert Heriel Kauli ya SPIKA NDUGAI ni kauli thabiti yenye ukweli kwa 100% ndio maana naungana nayo. Ndugai anamadhaifu yake mengi tuu lakini kwenye hii kauli yake yupo sahihi. Vijana wengi watampinga, watamtukana...
  14. Hakuna Albadiri wala ndugu yake laana; wengi walilogwa

    Wakuu kwema! Zamani wazee wetu walikuwaga wajinga wengi wao walitishana mambo ya hovyo sana. Hakuna uwepo wa Albadili wala laana ya mzazi wengi walilogwa. Wazee wote wanajua hili kuwa hawana uwezo wa kumlaani mtu/mtoto akalaanika. Ninao ushahidi usio na shaka wa wazee waliowahi kujieleza...
  15. Wanaume wengi wamegeukia upigaji mitungi na kuachana na mademu ili kuondoa stress

    Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu...
  16. A

    Kwanini asemwe yeye tu kati ya wengi wengine?

    Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wafuasi wa Shujaa wetu juu ya kitendo cha baadhi ya Watanzania wenzetu kumsema shujaa wetu kwa mabaya. Malalamiko haya si mitaani na kwenye mitandao ya kijamii tu bali mpaka kwa baadhi ya viongozi wa serikali na bungeni. Walalamikaji wanadai wanaoneza ubaya...
  17. Kwa mfumo huu wa TRA wengi tutafunga Biashara

    Habari wadau; Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu nilishalipa yaani sikuwa na deni. Basi baada ya kuona niko safi wakaanza kuniuliza maswali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…