Mwijaku kasema hawa watu wazuri

Mwijaku kasema hawa watu wazuri

Kijana wa Ifoza

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
500
Reaction score
965
Je Mwijaku anatakiwa kutembelewa na kumjulia hali tarehe 9 December?

G5qFo9EacAA9kyx.jpg
 
Mwambino na rafiki ake nyampua tangu wapelekwe dubenga kubokolewa mchonyo hawako sawa kichwani.

Sijui walikutana na majamaa ambao hawakuwavutia, Lol.
😂😂😂😂😂
 
Hii ata sio njaa... huu ni utapya mlo wa akili.

Ila kuna ka kifaa hapo, dah! Mashalaaaa. Sjui kwa nini ka fata mkumbo
 
Back
Top Bottom