waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awahimiza Wawekezaji wa Ndani na Nje ya Nchi Kutumia Fursa Zilizopo katika Mkoa wa Tanga ikiwemo Biashara, Kilimo, Viwanda

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi bila kukwamisha biashara. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Novemba...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Amshukuru Dkt. Mwinyi kwa Kombe la CECAFA U15 Kutua Zanzibar

    WAZIRI TABIA MWITA AMSHUKURU DKT. MWINYI KWA KOMBE LA CECAFA U15 KUTUA ZANZIBAR Mabingwa wa CECAFA U15, Karume Boys wametua nyumbani Zanzibar wakitokea nchini Uganda na ubingwa wao walioupata kwenye michuano ya CECAFA U15 Boys Championship. Karume Boys wamepokelewa na Makamu wa Pili wa Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Gekul Awahimiza Wazazi Kufuatilia Mienendo ya Watoto

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini mkoani Manyara Pauline Gekul amewataka wazazi na walezi kufuatilia mienendo ya watoto wao pindi wakiwa mashuleni pamoja na kushirikiana na walimu ili kuboresha mazingira ya Shule pindi inapohitajika mchango wao...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa awataka Watumishi wa Ardhi watoke ofisini waingie mtaani kuhudumia Wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka Watumishi wote wa Ardhi nchini kutoka maofisini na kwenda kutoa huduma ya wananchi kwa kuanzisha Kliniko ya Ardhi ambayo itafanua kazi kwa uwazi zaidi. Jerry Slaa ametoa agizo hilo wakati akikabidhi Hati za viwanja katika Mtaa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: DAWASA wakopesheni wanaotaka kuunganishiwa maji watalipa kidogokidogo

    Akizungumza katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi Mradi wa Maji Bangulo, Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amemwambia Mkandarasi kuwa Wananchi wa Kusini mwa Dar wameteseka kwa muda mrefu, hivyo hana kisingizio kutekeleza mradi huo kwa kuwa fedha zipo. Waziri Aweso amewaambia DAWASA kuzingatia...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Mchengerwa njoo Halmashari ya Ngara Watumishi Wapya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi watu wa ajira mpya kada mbalimbali tofauti na Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera hatujalipwa fedha za kujikimu. Mfano Kada ya Maliasili na Mazingira, hatujalipwa fedha za kujikimu na tunazungushwa sana, fedha zikiingia Halmashauri wanazipangia vipaumbele vyao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati toka hadharani utueleze kulikoni matatizo ya umeme

    Mhe. Waziri wa Nishati ulituaminisha kuwa katika muda wa wiki mbili kutakuwa na afadhali kidogo kuhusu upatikanaji wa umeme. Pili ulitueleza kuwa kutokana na ukame ndiyo maana upatikanaji wa umeme umekuwa ni shida LAKINI mvua zimeanza kunyesha kwa wingi sana na mito na mabwawa yamejaa maji...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita: Ukarabati Uwanja wa Amani Una Lengo la Kuufanya Ukidhi Viwango vya Kimataifa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na wenye kukidhi viwango vya kimataifa. Ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Suala la Jezi Zilizo Kamatwa Limeishia Wapi? Waziri Alitudanganya?

    Ni wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7. Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu, kwanini Serikali ikope Trilion 6 kufadhili budget ilhali DP World wapo?

    Salaam, Shalom!! Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu. Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema : "Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza wanaodaiwa kuhusika na tukio la moto Mnadani Kariakoo wafikishwe Mahakamani

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuwachukulia hatua za kisheria wale wote wanaodaiwa kuhusika na uchomaji wa moto kwenye baadhi ya majengo yaliyopo Kariakoo. Agizo hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita: Tuna 80% ya Karume Boys Kutwaa Ubingwa CECAFA U15

    Waziri Tabia Mwita: Tuna 80% ya Karume Boys Kutwaa Ubingwa CECAFA U15 "Mimi ni timu zote, ukiona siku inacheza Simba na Yanga utaona nimevaa jezi huku ina Yanga huku ina Simba mimi ni timu zote kwa mujibu wa itifaki, ikitokea nimebadilishwa wizara nikiwa sipo wizara ya michezo nitachagua niko...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama: Vijana Kati ya Miaka 15-24 Waongoza Maambukizi ya VVU - UKIMWI

    Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%). Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameyasema hayo mapema...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Chande: Kiwango cha Umasikini wa Chakula Nchini Kimepungua

    Tanzania imekuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopolekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akifungua...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ongea na Waziri wa Ajira aongee na Sekretarieti ya ajira waache kutesa wadogo zetu

    Kama uzi unavyosema hapo juu, Rais Samia, kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana wanaojitafuta kwenye Secta ya Ajira. Haiwezekani mtu afanye usahili alafu akae zaidi ya miezi sita wakati...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi hawa Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) ni tatizo, Waziri Aweso sikia kilio chetu Watumishi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso. SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
  17. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira iache kutesa wadogo zetu wanaotafuta ajira

    Rais ongea na Waziri mwenye dhamana ya ajira aongee na hawa secretariet ya ajira waache kutesa wadogo zetu. Kama uzi unavyosema hapo juu mheshimiwa Rais. Kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

    Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili. Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba awasili Uholanzi kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuf Makamba (Mb.) amewasili Jijini The Hague, Uholanzi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 13 - 15 Novemba 2023. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Makamba ataongoza ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Palestina jijini London yamfukuzisha kazi Waziri wa Mambo ya ndani UK

    Wanaukumbi. --- The PM moved to oust Ms Braverman as he tries to restore his authority with potentially less than a year to a general election. The sacking comes after an extraordinary week of rowing over handling of pro-Palestinian protests in London on Armistice Day. Ms Braverman drew the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…