waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Waziri wa Elimu tunaomba utusaidie walimu DIT hatujalipwa tangu Juni

    Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa. Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester...
  2. Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

    Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro. Mchango wa wadau
  3. B

    Kumvua Unaibu Waziri Francis Ndulane si nafasi yakumpa muovu shetani ushindi?

    Tujipe muda wakupitia clips za zamani wakati wa kampeni, baada ya kampeni, akiwa anakula kiapo Bungeni na katika uwasilishaji wake wa mada maeneo mbalimbali utabaini yupo vizuri na wala ababaiki. Siamini nguvu za giza ila naamini shetani anaweza akajitutumua na kujipa utukufu pasipo stahili...
  4. Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  5. Ishu ya Naibu Waziri wa madini iangaliwe upya, kuna hii kitu inaitwa Anxiety na Panic Attack

    Wakuu kwenye matatizo ya kisaikolojia kuna ishu inaitwa anxiety na panic attack. Mara nyingi huenda pamoja. Anxiety ni hali ya kuwa na wasiwasi au uwoga uliopitiliza, usioendana na hatari. Sometimes bila sababu yeyote. Hii inaweza kupelekea mtu ukashindwa kufunction. Inaweza kutokea mtu ukiweka...
  6. Waziri Ardhi na maendeleo ya makazi, Upimaji Viwanja wa MKURABITA Uangaziwe jicho sasa

    Wakuu, Hili ni bandiko la manung'uniko kuhusu Mkurabita upimaji viwanja na mchakato wa kupata hati. Wananchi wengi waliojengwa au kuuziwa viwanja kwenye maeneo ambayo yalikuwa bado kupimwa na serikali wanalalamika, wengine wamelipia ada ya shilingi 310,000/= tangu 2016, 2017 hadi leo hakuna...
  7. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  8. K

    Waziri Jafo, tafadhali angazia vijana wanaofanya kazi ya kukusanya ushuru kwenye Halmashauri

    Kwanza nitoe pongezi zangu za dhati kwako kwa ufanyaji kazi wako uliotukuka. Jafo naomba upatapo ujumbe huu ufanyie kazi; sio nakulazimisha mzee wangu hapana ni sehemu ya uzalendo wa vijana wako waliokuwa chini ya Halmashauri mbali mbali. Waziri, vijana wengi wameajiriwa ndani ya Halmashauri...
  9. K

    Je, hakuna hujuma ya makampuni mengine ya cementi dhidi ya Dangote? Waziri wa Uwekezaji toa neno

    Tumeshuhudia mitandaoni ikisambaa clip kuhusu figisu alizokumbana nazo Dangote katika kiwanda Cha cement Mtwara. Tuhuma nyingi zinaelekezwa kwa watumishi wa Umma ambao wanamaslahi binafsi kuliko maslahi ya Taifa. Kuondoka kwa Dangote kusipuuzwe maana jina lake linaclick masikioni mwa matajiri...
  10. J

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Geofrey Mwambe atembelea Maonesho ya Wajasiriamali na kukagua bidhaa

    Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam. Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na kuwataka waendelee kujikita kwenye ubora na viwango ili waweze kupata masoko ya uhakika. Maonesho hayo...
  11. Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

    Wakuu amani iwe nanyi, Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe. Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
  12. Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

    Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar. Tunaenzi vipi muungano wetu? Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa. Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano Ina maana wajumbe...
  13. J

    Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

    Waziri wa Fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu. Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima la kuwashughulikia viwavi hao wa Sekta ya Manunuzi ya Umma. Chanzo: ITV habari! Maendeleo hayana...
  14. Pendekezo: Waziri anayeshughulikia Misaada ya Kigeni

    Misaada ya Kigeni ina sehemu Kubwa Sana katika uchumi wetu. Hii ni kweli kiasi kwamba bajeti yetu huwa inaandaliwa ikipigia hesabu misaada hii ya moja kwa moja ya bajeti. Wanaotupa misaada wana vyombo vyao vinavyosimamia na hata Mawaziri au Manaibu Waziri. Sote tunajua vyombo Kama USAID, DANIDA...
  15. J

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM vs Mbunge/ Waziri kipi ni cheo kikubwa?

    Naomba tu kuelimishwa uhusiano wa ukuu kati ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na mbunge/waziri kupitia CCM. Naingia ibadani Mungu awabariki sana. Maendeleo hayana vyama!
  16. NEW CABINET 2020: Ninaomba iwe desturi kwa Waziri wa Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamhuri

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Ninaomba sasa iwe desturi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi ya asili anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamuhuri. Waziri wa zamani wa utalii (Dr. Khamis...
  17. Barabara ya Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati wa Tanzania, Lucy Lameck. Alikuwa Waziri wa 1 mwanamke wa Tanzania

    Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
  18. Mzozo wa Tigray Ethiopia: Waziri mkuu aamuru mashambulio dhidi ya mji wa Mekele

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle. Amesema wanajeshi watajaribu wasiwajeruhi raia na wito kwa watu katika mji huo kusalia majumbani mwao. Hatua hilo inajiri...
  19. Waziri Mkuu wa Ethiopia ataka Jumuiya ya Kimataifa isiingilie mzozo wa Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameiambia jumuiya ya kimataifa isiingilie mzozo wa jimbo la Tigray, katika kipindi hiki ambacho muda wa mwisho wa masaa 72 aliowapa waasi katika jimbo hilo wajisalimishe ukifikia ukingoni. Katika taarifa yake kiongozi huyo amesema Ethiopia kama taifa huru lina...
  20. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wakuu wa Mikoa kagueni Mawakala wa Saruji, mkiwakuta wamerundika mzigo wakamateni mkawashitaki!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya mkutano na wakuu wa mikoa wote kwa njia ya video na kuwaagiza wakague maghala ya mawakala wa saruji na wakiwakuta wamerundika mzigo wa cement wawakamate na kuwafungulia mashtaka. Mh Majaliwa amezitaka kamati za ulinzi na usalama katika mikoa yote kuhusika katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…