waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Majaliwa, kutoka kwa baadhi ya madereva wa Hiace Sumbawanga

    YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA Mh. Waziri Mkuu, Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
  2. JamiiForums Tanzania Haiti: Waziri Mkuu ambadilisha Waziri wa Sheria

    Serikali ya Haiti imeendelea kuingia kwenye sintofahamu baada ya Waziri Mkuu, Ariel Henry kumbadilisha Waziri wa Sheria, Rockfeller Vincent Pia, Afisa wa Juu amejiuzulu akisema hawezi kumtumikia Kiongozi anayeshukiwa kuhusika kwenye mauaji ya Rais Jovenel Moise Henry amekana kuhusika katika...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Green Cup Shinyanga: Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi

    VIVA TANZANIA | VIVA UVCCM UZINDUZI WA UVCCM GREEN CUP KITAIFA, KAMBARAGE-SHINYANGA18/9/2021 __________________________________ MGENI RASMI : MH WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MJUMBE WA KAMATI KUU CCM TAIFA MIZENGO PINDA AKIAMBATANA NA MHE KENANI KIHONGOZI KATIBU MKUU UVCCM-TAIFA KARIBUNI SANA...
  4. JamiiForums Tanzania Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Haiti: Waziri Mkuu azuiwa kutoka nje ya nchi

    Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse yaliyotokea Julai 2021 Mwendesha Mashtaka anatazamia kufungua mashtaka dhidi ya Henry ambaye ametakiwa kuelezea uhusiano wake na...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia umemuachaje Waziri Lukuvu bila kumtumbua?

    Kongole kwa reshuffle. Nipongeze kwa mabadiliko kidogo ya Baraza la Mawaziri,kuna watu walikuwa mizigo kama Waziri wa Ujenzi na Nishati na umewatumbua. Lakini sasa kuna watu umewaacha Barazani ila ni mizigo mizito,mtu kama Lukuvi na Mkuchika wameshachoka kwa sasa inafaa wapumzishwe...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia. Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa arudi kuwa Waziri wa Ujenzi, tutegemee nini katika sekta hii?

    Ama kweli dunia tambara bovu. Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji. Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives. Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Eng. Masauni ajitokeza kwenye vyombo vya habari toka ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Fedha, kweli reshuffle imekaribia

    Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya. Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri. Kipindi chote...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbona Waziri Mkuu kaja na hii kauli?

    Najiuliza mini chanzo cha matamshi haya ya PM?
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi anavunja sheria za nchi mchana kweupe

    Mawaziri wote kwenye viapo vyao huwa wanaapa kuhifadhi, kuitetea na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kiapo hicho ni sheria na hupaswa kufuatwa kwa mtu yeyote anayepewa dhamana ya uwaziri kwani anakuwa anafanya kazi kwa niaba ya Rais wa nchi. Jambo la kushangaza badala ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya alipohimiza wanaume kuwafikisha kileleni wanawake

  14. N

    JamiiForums Tanzania Mh waziri Bakari mchengelwa jitathimini sana

    Mh waziri ni wazi unaongoza wizara muhimu Sana nakuomba pambana sana kuhakikisha kua haki inatawala ktk idara zako zote ili watanzania wawe na amani na tuzidi kudumisha upendo
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Quebec na alama ya Kimasoni

    Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu. Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza. Nini maana yake? Hapa chini anaonekana amefumba jicho moja. Je, ana chongo? Anaumwa jicho? Hapana. Hiyo ni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Sheria inataka Waziri wa Ulinzi ateuliwe baada ya muda gani, au hata asipokuwepo sawa tu?

    Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki? Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je Nini kilimsukuma JPM kuteua Waziri wa sheria Mara tu Mzee Maiga alipofariki?
  17. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akamatwe kwa kuchezea Fedha za walipa kodi

    Hii nchi tunashindwa tuiweke kundi gani, kundi la masikini au tajiri? hivi huu ufujaji wa hela mnauelewa kweli yaaani stars kushinda mechi moja tu hata bado haijafudhu waziri anatoa hela anagawa kwanini usitoe zako mfukoni, haya mambo ndio yanafanya tuendelee kukwepa kodi na tozo
  18. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Anzeni kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja

    WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Taharuki Mbagala, wafanyakazi wa mwendokasi wakigoma

    Taharuki imetawala maeneo ya Mbagala-Zakhem, baada ya Polisi kupiga mabomu ya machozi kuwatuliza wafanyakazi zaidi ya 1,000 wanaotengeneza barabara ya mwendokasi kugoma wakishinikiza kulipwa stahiki zao. Tukio hilo lilitokea leo, Septemba 6,2021 baada ya Polisi kupiga mabomu hayo mara mbili...
  20. JamiiForums Tanzania Cheo kimoja kati ya Waziri Mkuu au Makamu wa Rais kifutwe

    Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote. Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu wa Rais. Na zingine zikiongozwa na waziri mkuu pekee, Rais akiwa ni ceremonial tu. Na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…