waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha. Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Singapore, Heng Swee Keat

    16 November 2021 Singapore Naibu waziri mkuu Mh. Heng Swee Keat akiwa na Dr Philip Mpango makamu wa rais wa Tanzania.(Picha kwa hisani ya wizara ya TEHAMA Singapore). Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Philip Mpango yupo nchini Singapore kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Jukwaa la Majadiliano ya...
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

    Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo? Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa...
  4. Izato

    JamiiForums Tanzania TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza. Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Unafiki huu mpaka lini? Kila Zuri sifa Rais, Umeme ukikosekana lawama kwa Waziri

    Huu mwenendo hautusaidii Watanzania. Na umeletwa na CCM kwa sababu zao za kutaka fikra ziwe kwenye uchaguzi tuu. Inakuwaje kila jambo jema linalofanywa na Serikali hii ya CCM sifa anapewa Rais na hasa mambo haya yalianzia kwa Magufuli na sasa yameota mizizi. Lakini Serikali hiyo hiyo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu awapongeza viongozi Halmashauri ya Temeke

    WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Temeke, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi kubwa na nzuri...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi apiga marufuku madalali kulipwa posho ya mwezi mmoja na wapangaji. Asema ni ujambazi

    Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi. Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo na Waziri wa Ushirikiano wa kimataifa wametoa tamko lolote kuhusu kilichojiri Madagascar?

    Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja. TUTAFAKARI
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanzania itapata Rais, Makamu na Waziri Mkuu wenye mtizamo na mawazo ya kibiashara?

    Tanzania inashindwa kuendelea kwa sababu ya kuweka madarakani viongozi wenye damu ya Utumishi wa umma na kushindwa kuweka mchanganyiko wa Watumishi wa umma na wafanyabiashara. Ntatoa mfano kwa awamu zote sita zilizowahi kuwepo kwenye utawala Historia ya Mwalimu alikuwa Mtumishi wa Umma kwenda...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa anena kuhusu watumishi wazuri

    Waziri wa Utumishi wa Umma, Mhe. Mchengerwa amesema watumishi wengi wenye uwezo mzuri wa kiutendaji wana fanyiwa mizengwe na majungu ya kuharibiwa kazi, na mbaya zaidi mabosi wao wanakuwa ni sehemu ya kuwaharibia. Waziri Mchengerwa amedhamiria kuondoa hali hiyo katika idara zote za Serikali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu, Wananchi wamefukuzwa uwanja wa Taifa ili tu ukiingia uwanjani uone eti safi

    Mheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao. Ila hapa uwanha wa Taifa Kuna ujinga mmoja umefanyika, Mapolisi wanaswaga watu, na kuwafukuza eneo la uwanja ili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete. Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi (Zanzibar) afanya mazungumzo na uongozi wa Posta Zanzibar

    WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

    Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umesikia ujumbe wa mafao Bungeni Dodoma?

    Mhe. Mwigulu Nchemba Waziri wa fedha lazima ufahamu kuwa wanaostaafu leo ni Kaka zako, Ndugu zako na dada zako pia waliostaafu siku nyingi wengine ni Baba zako wadogo na ndugu wa damu. Nikushauri tu, achia pesa watu walipwe, miradi ina umuhimu pia wastaafu wanahitaji waishi maisha yao...
  16. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

    Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao. Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Kuna uwezekano Mkubwa Taifa Stars kufuzu kuingia Kombe la Dunia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanatamani kuona timu zao za Taifa za michezo mbalimbali zikifanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo leo, Novemba Mosi, 2021 wakati wa kikao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent...
  18. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Epukeni Waandishi binafsi na Walinzi Binafsi

    29 October 2021 Dodoma, Tanzania Semina iliyoendeshwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper, jijini Dodoma Tanzania Waziri Mkuu amewasisitiza viongozi hao waepuke matumizi ya walinzi binafsi na waandishi wa habari binafsi katika Ofisi za Umma kwani wanaweza kuwa chanzo cha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene jiuzulu, una-underperfom. Ajali zitamaliza Watanzania

    Habari za asubuhi wana JamiiForums Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa. Kumezuka tatizo la ajali za kila mahala takribani ajali 4-5 kwa siku zinaripotiwa kwenye mitandao ya kijamii...
Back
Top Bottom