waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa Waziri Mwigulu kusema Serikali ndiyo hulipa madeni

    Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi! Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?! Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?! Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba. Ukweli ni...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako: Wanafunzi wote 907,802 waliofaulu, Watajiunga kidato cha kwanza

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wote wa Darasa la Saba 907,802 waliofaulu Watafanikiwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2022 kutokana ongezeko la Madarasa. Amesema Serikali imewezesha ujenzi wa Madarasa mapya elfu 15 Nchi nzima kwa mkupuo huku...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

    Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais, =========== Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tuwasaidie Waziri Simbachawene na polisi kutafuta haki

    Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika kutafuta haki wa ku compile sauti hizo kuwarahisishia kazi ngumu waliyonayo japo kidogo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene, usitupotezee Muda!

    Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako 1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi na Katibu Mkuu Kiongozi, niwaombe mwarejeshe kazini waliofukuzwa kimakosa Kwa maamuzi ya kesi za prebagaining

    Naomba nitumie jukwaa la JF kuelezwa Jambo ambalo Watumishi wengi hasa wa Umma awalizungumzi ila Kwa anayefuatilia taratibu za kesi zilizofunguliwa 2015 watakubaliana na Mimi kwamba Watu waliteswa na wengine kupoteza kazi kwa utashi wa WATU wachache walioelekezwa kufanya walivyofanya. 1. Wapo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Waziri Mkuu na ile ya katibu Wizara ya Afya juu ya uviko zote ni sahihi

    Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi. Prof. Makubi...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake? Bonus 🤣🤣
  10. polokwane

    JamiiForums Tanzania Waziri TAMISEMI tunaharibu elimu siasa zisiharibu utaratibu uniform zina sababu ya kuwepo tikiruhusu hilo mabint wataishia kwenye magheto

    tusipeleke mambo kienyeji na kuharibu mifumo iliyo kuwepo itatugharibu baadae kuirudisha pale itakapo bainika inaharibu utaratibu waziri TAMISEMI nikuombe sana mifumo ya shule iliyopo ilisha tengenezwa, siasa zisifanye tuanze kuivuruga tena sare za shule zina umuhimu sana kwa usalama wa...
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Kigwangallah Waziri mpya wa Afya

    Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya. Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Prof Mark J Mwandosya: Inawezekana Mbunge au waziri kupata muda wa kuandika tasnifu?

    Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu.Hata ya uzamili ni kazi sana.Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au viwango vimebadilika?
  13. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia, tunasubiri jina la Waziri mpya wa Jinsia

    Rais Samia Suluhu Hassan, anaendelea kutakata na kuitakatisha Tanzania. Amejibu ombi la muda mrefu la watu wengi, kuhusu kuitenganisha Wiazara ya Afya na idara nyingi zilizokuwa chini yake. Rais amesema sasa Wizara ya Afya itashughulika na Afya pekee, kisha Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Kwa Hali ilivyo ni wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo. Watu wale wale walioelekeza...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, zipo shule zimepania kukaidi agizo lako la shule zote kufungwa

    Kwa kushirikiana na waziri wa elimu waziri Ummy Mwalimu aliagiza shule zote zifungwe na wanafunzi wote warudi nyumbani, wapumzike. Lakini kumekuwa na ubishi wa kimyakimya na baadhi ya shuke tayari zimeshatoa agizo kwa wanafunzi hao warudi baada ya wiki moja tu. Hii ni dharau kana kwamba shule...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu hajatambua uwepo wa Mume wa Rais? Protokali ipoje?

    Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika hafla mbalimbali. Je amepitiwa au protokali haitambui nafasi yake? Au Mhe. Rais ndiye mwenye dhamana...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa Waziri wa Madini maana ana uzoefu na mambo ya madini

    Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini. Karibuni kutoa hoja
  18. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia arudi ofisini baada ya kukomboa miji 6

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa. Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa...
  19. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengelwa, watu wanakuchukulia poa! Hebu onesheni makucha

    Tayari mezani unazo ripoti kazi nne ambazo TAKUKURU wanatakiwa wafanye kazi na tuone watu wamewajibishwa 1. Ripoti ya Wizi wa Madini ya Tanzanite Mererani 2. Ripoti ya Ufisadi Bandari 3. Ripoti ya CAG 4. Ripoti ya BOT Sasa ni wakati wa wananchi kusikia nani na nani walihusika na warudishe...
Back
Top Bottom