waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya ufalme, Waziri Mkuu yaendelea Thailand

    Licha ya kutangaza kutoongeza eneo la hali ya hatari, Waziri Mkuu wa Thailand ameitisha kikao maalum cha bunge katika wakati ambapo maandamano ya kumshinikiza kujiuzulu na mageuzi ya mfumo wa kifalme yakipamba moto. Katika kile kinachoonekana kama kulegeza misimamo yake, Waziri Mkuu Prayuth...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu, malengo ya kurasimisha ujuzi kwa mafundi uliouanzisha hauendani na maelekezo yako pale VETA, watumbue wahusika

    Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
  3. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI

    Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu naamini ni wenye afya njema na mnaendelea kuwatumikia wananchi wa Tanzania vema kabisa, Naomba kuwasilisha kwenu mambo mawili na hasa katika wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Mbunge na Madiwani. Sisi wakazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro tumesahaulika kwa kila...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Kwa Umma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kufungua Msikiti Wa Kwamndolwa Uliopo Jijini Tanga

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi Ya Mufti shughuli hiyo muhimu itanyika kesho Jumamosi Oktoba 10, 2020.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aridhishwa na Ujenzi wa Kivuko cha Mafia

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameridhishwa na ujenzi wa kivuko cha Mafia ambacho kitatoa huduma za usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya Nyamisati na Mafia. Ujenzi wa kivuko hicho chenye urefu wa mita 36 na upana mita 12, umefikia asilimia 95 na kina uwezo wa kubeba abiria 200 na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tupe hatma ya shamba letu la mifugo la Utegi - Rorya mkoa wa Mara

    Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania napenda kwa heshima na taadhima kukueleza kuwa shamba lililotajwa hapo juu ni MALI ya Vijiji sita vinavyozunguka shamba hilo na walipewa kihalali na Serikali lakini kwa mshangao tunashuhudia Serikali imetunyang'anya shamba hilo na kuwaleta...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

    NEC: TIMU ZA KAMPENI Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3). Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda...
  8. JamiiForums Tanzania Nini matokeo ya Waziri Mkuu Majaliwa kukutana na Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma?

    Mapema Januari mwaka huu Waziri Mkuu alitoa ufafanuzii juu ya kile kinachoitwa bodi ya mishahara ilii kurekebisha mishahara iendane na elimu na ugumu wa kazi. Leo ni Desemba hakuna tamko au chochote kipya. ======== Alhamisi, Januari 24, 2019 Majaliwa akutana na wajumbe wa Bodi ya Mishahara...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI, mna agenda gani na Mkuu wa WIlaya ya Hai? Je, ni maagizo yenu?

    oi
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

    Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa. Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe. Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wanachuo wa Chuo cha Ualimu Northern Moshi wametapeliwa. Wasaidie

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, tunaamini unaendelea vizuri na mikutano ya uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi kwa chama cha mapinduzi (CCM)hapa mkoani Kilimanjaro na leo upo wilaya ya Rombo kumnadi Profesa Mkenda ambaye tunaamini atapata ushindi wa kishindo. Mheshimiwa Waziri Mkuu,wakati unaendelea na...
  12. JamiiForums Tanzania Akaunti ya Twitter ya Tovuti ya Waziri Mkuu wa India yadukuliwa

    Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency) Tukio hili linajiri ikiwa ni wiki kadhaa tangu akaunti za Twitter za watu mashuhuri zidukuliwe Uongozi wa Twitter...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

    Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Leo Agosti 25,2020.
  14. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi Mali: Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu Boubou Cisse watiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi

    Habari! Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo. Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye! ==== SASISHO: Katibu Mkuu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "amekosea" kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusambaza umeme kiwango cha 80% kwa sababu sio kweli

    Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anapohubiri amani wakati Jimboni kwake Wagombea wa Upinzani wakifanyiwa vitendo vya kinyama

    Leo nimemsikiliza waziri mkuu ndugu Majaliwa akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kuisifu serikali. Waziri Mkuu ameutangazia umma wa Watanzania kuwa serikali italinda Amani wakati wote hata kipindi cha uchaguzi mkuu, na akataka siasa za kistaarabu. Wakati akiyasema hayo, viongozi wa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ashangaa kukuta wanafunzi wanakaa chini Mkuranga, atoa wiki mbili madawati yapatikane!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini. Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae. Majaliwa amesema wilaya hiyo ina...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

    UTEKAJI UMERUDI NCHINI TAARIFA KWA UMMA TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa kusikojulikana mwanachama wetu, Joackim Gerion Ng’ombo na watu ambao hawajafahamika. Ng’ombo ambaye alishika...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

    Wana Lindi wenzangu habari Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu , Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo Mikoa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kukutana na Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini ili kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima ya Afya (NHIF) licha ya wanafunzi kulipa fedha hizo. “Katibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…