waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ettore Bugatti

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kasim Majaliwa tayari umeshajikanyaga, fanya hima ukawaombe radhi wana NgoroNgoro

    NB :Hii itabaki kumbukumbu ya vizazi na vizazi. Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia wamesikitishwa na kulia machozi ya damu baada ya kufanyiwa fitina na siasa isiyo na chembechembe ya UTU kwa...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani Uingereza aendesha lori kwenda kutoa misaada kwa wakimbizi wa Ukraine

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe. Source: ITV habari! ===== Waziri Mkuu Kassim...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania "Mnatuchukuliaje? Watumwa wenu?" Waziri mkuu wa Pakistan awachana EU kwa kuishinikiza Pakistan kuilaani Russia

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amewacha viongozi wa Umoja wa Ulaya kufuatia viongozi hao kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kukalia kimya vita ya Russia nchini Ukraine. Pakistan imekuwa ktkshinikizo la kutakiwa kuilaani Russia kwa operesheni hiyo ya kijeshi nchini Ukraine ikizingatiwa...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani. Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lateua Waziri Mkuu wa Mpito

    Albert Ouedraogo (52) ametangazwa kuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa kipindi cha Mpito. Uteuzi wake unakuja siku chache baada ya Jeshi chini ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba kuidhinishwa kuongoza kwa miaka mitatu Ouedraogo ambaye ni Raia wa kawaida ana jukumu la kuunda Serikali Mpya...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Rais Felipe Nyusi amfukuza kazi Waziri Mkuu, ateua mwingine

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do Rosário. Maamuzi hayo ya uteuzi yameenda pamoja na uteuzi mpya wa mawaziri kadhaa akiwemo Waziri wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

    Pamoja na jitihada kubwa za makusudi zinazofanywa na Ukraine, NATO na US kudogesha idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa na majeshi ya Russia nchini Ukraine, Waziri Mkuu wa Bulgaria kaamua kusema ukweli kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa mpaka sasa. Ufafanuzi huo wa idadi ya vifo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Australia aonya waAustralia wasijaribu kwenda pigana na majeshi ya Russia nchini Ukraine

    Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia. Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati hiyo. "Nasikia mnataka kuweka kiberenge cha kupanda Mlima Kilimanjaro, mnataka kuua mlima? Mkiweka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Wamachinga kitaifa na uzinduzi Wamachinga Saccos

    KONGAMANO LA WAMACHINGA KITAIFA NA UZINDUZI WA MACHINGA SACCOS Shirikisho la Wamachinga (SHIUMA) Kwa kushirikiana na Machinga Mkoa wa Dar es salaam wanakukaribisha kushiriki (kufuatilia) Uzinduzi wa Machinga SACCOS utakaofanyika katika kongamano la Kitaifa la Wamachinga. Saccos ya Wamachinga...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kuna Ufisadi wa Kutisha AUWSA, tuma kamati

    Mheshimiwa Waziri Mkuu tunakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Waziri Mkuu kuna Ufisadi wa Kutisha katika Miradi ya Maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Arusha ( AUWSA), Hizi Taarifa zimefika PCCB Arusha, Bodi ya AUWSA chini ya DR Masika Kwa Waziri wa Maji Ndg Juma Aweso...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassmu Majaliwa awanyooshea kidole TARURA, awataka kusimamia miradi kwa weledi na uaminifu

    MAJALIWA : TARURA SIMAMIENI MIRADI KWA WELEDI NA UAMINIFU === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa TARURA wasimamie miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia mikataba husika na pia wawe wabunifu kutumia teknolojia mpya, sahihi na rafiki kulingana na upatikanaji wa...
  15. Mwaikibaki

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
  16. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro. Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Februari 9, 2022) wakati alipochangia taarifa ya Kamati ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GSM acheni kuwatumia Wasemaji na Wazee wa Yanga SC Kuwachafua Waziri Mkuu Majaliwa na Rais wa TFF Karia kwa Maslahi yenu ya Kibiashara

    Nimependa nilipoona TFF imetoa ONYO juu ya Upuuzi huu wa Wasemaji na Wazee wa Yanga SC ila nashangaa na nasikitika mpaka leo Wizara husika ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na BMT wakiwa Kimya kitu ambacho ni Hatari na kinaweza kuibua Hisia Mbaya juu yao. Baada ya GSM kuona Mkakati wao Kufeli...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Libya, Abdulhamid Dbeibah, anusurika kuuawa baada ya msafara wake kushambuliwa

    Picha: Waziri Mkuu wa Libya, Abdulhamid Dbeibah Watu waliokuwa na silaha wameshambulia msafara wa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdulhamid Dbeibah Jijini Tripoli. Shambulio hilo linakuja wakati kuna mvutano mkali kuhusu udhibiti wa Serikali. Dbeibah ambaye ametoka salama baada ya tukio hilo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
Back
Top Bottom