Waziri mkuu, Wananchi wamefukuzwa uwanja wa Taifa ili tu ukiingia uwanjani uone eti safi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,090
Mheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao.

Ila hapa uwanha wa Taifa Kuna ujinga mmoja umefanyika, Mapolisi wanaswaga watu, na kuwafukuza eneo la uwanja ili eti paonekane safi hakuna tatizo.

Kiukweli raia tumekuja, tumejitoa kushangilia timu yetu lakini tunapigwa, tunanyanyaswa na maaskari hii inakakuwaje hii?

Mheshimiwa waziri fuatilia hii kitu, Tumu ya Taifa inapocheza ni wakati wa kuungana na kusaidia timu kucheza na si kukwazana kupigana, kuvunjana miguu etc.

Pia hata suala la mtandao wa kununua credit za kuingilia uwanjani nao unasumbua yaani shida tupu
 
Unafukuza vipi watu ili uwanja uonekane msafi, kwani watu ndio uchafu unaochafua uwanja?

Anyway, kama ni wale polisi wa Simbachawene hata sishangai.
Wana mambo ya kijinga sana

Wwnanchi kibao wameshindwa kuingia ndani kushangilia timu yao kwa sababu ya management mbovu
 
Mheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao.

Ila hapa uwanha wa Taifa Kuna ujinga mmoja umefanyika, Mapolisi wanaswaga watu, na kuwafukuza eneo la uwanja ili eti paonekane safi hakuna tatizo.

Kiukweli raia tumekuja, tumejitoa kushangilia timu yetu lakini tunapigwa, tunanyanyaswa na maaskari hii inakakuwaje hii?

Mheshimiwa waziri fuatilia hii kitu, Tumu ya Taifa inapocheza ni wakati wa kuungana na kusaidia timu kucheza na si kukwazana kupigana, kuvunjana miguu etc.

Pia hata suala la mtandao wa kununua credit za kuingilia uwanjani nao unasumbua yaani shida tupu
Mkitaka amani jitahidini kuiondoa ccm madarakani
 
Unafukuza vipi watu ili uwanja uonekane msafi, kwani watu ndio uchafu unaochafua uwanja?

Anyway, kama ni wale polisi wa Simbachawene hata sishangai.
Simba aliwacha kituko cha mwaka hata kuona aibu
 
Mheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao.

Ila hapa uwanha wa Taifa Kuna ujinga mmoja umefanyika, Mapolisi wanaswaga watu, na kuwafukuza eneo la uwanja ili eti paonekane safi hakuna tatizo.

Kiukweli raia tumekuja, tumejitoa kushangilia timu yetu lakini tunapigwa, tunanyanyaswa na maaskari hii inakakuwaje hii?

Mheshimiwa waziri fuatilia hii kitu, Tumu ya Taifa inapocheza ni wakati wa kuungana na kusaidia timu kucheza na si kukwazana kupigana, kuvunjana miguu etc.

Pia hata suala la mtandao wa kununua credit za kuingilia uwanjani nao unasumbua yaani shida tupu
Si wamesema wanaingia mashabiki elfu 35? Kwa nn polisi wawafukuze hapo nje au idadi ya mashabiki imetimia humo ndani?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom