Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri.
Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
hawana
ikulu
kabudi
kamati
katibu
kazi
kiongozi
kiuchumi
kufanya
kunisaidia
lukuvi
mawaziri
mikataba
mkuu
mpya
mwenyekiti
mzee
rais
samia
serikali
shughuli
sura
utamaduni
vijana
waziriwazirimkuu
Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo.
Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku ya 40 ya mwaka mpya wakati leo ni siku ya 10 tu.
Je, Waziri Mkuu alikuwa ana maana gani? Je...
Kwa kuzingatia ibara ya 51(2) juu ya uteuzi wa nafasi ya waziri mkuu ambacho kinasema:
"Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku
kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua
Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi
anayetokana na chama cha siasa chenye...
Mchapa kazi, ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM na nje ya CCM, amekuwa akifanyia kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa pale malalamiko yanapotokea kwenye wizara anazozisimamia, mtu wa kujituma nani mfuatiliaji yanayofanyika kwenye wizara yake kwa ukaribu zaidi(hana u-mangi meza!), Sio mtu wa...
Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule.
Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa...
Marekani na Umoja wa Ulaya wameuonya utawala wa kijeshi nchini Sudan, kutofanya uamuzi wa upande mmoja juu ya uteuzi wa waziri mkuu mpya baada ya kiongozi wa kiraia Abdallah Hamdok kujiuzulu, katikati ya maandamano ya kuupinga utawala huo wa kijeshi
Katika taarifa ya pamoja Marekani, Uingereza...
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,
===========
Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani...
Umoja wa Mataifa (UN) na Nchi nyingine zinafanya mazungumzo na Rais wa Nchi hiyo pamoja na Waziri Mkuu kusuluhisha mvutano uliopo ambao unaibua hofu ya kutokea mapigano ya Kijeshi
Mapema wiki hii Rais Mohamed Abdullahi Mohamed alimsimamisha kazi Waziri Mohammed Hussein Roble kufuatia tuhuma za...
Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa Bunge
Rais Mohamed amesema amechukua uamuzi huo kufuatia Uchunguzi wa tuhuma za Waziri huyo kujipatia...
Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi.
Prof. Makubi...
Waziri Mkuu Abdalla Hamdok amesema utulivu na umoja wa Sudan uko hatarini.
Hamdok ametoa wito wa kuwepo kwa makubaliano ya kisiasa, ili kulinda nchi siku zijazo, wakati taifa hilo likiwa limegubikwa na maandamano makubwa ya kupinga mapinduzi ya kijeshi.
Akizungumza kabla ya maandamano...
Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika hafla mbalimbali. Je amepitiwa au protokali haitambui nafasi yake? Au Mhe. Rais ndiye mwenye dhamana...
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa...
Leo tarehe 30/11/2021 waziri mkuu wa Tanzania kassimu Majaliwa ameweka jiwe la msingi katika eneo jipya kilipo jengwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).
Chuo hicho chenye matawi manne kilifungua tawi lake la nne katika jiji la Mbeya mnamo Mwaka 2013.
Katika kipindi chote hicho CBE walikuwa...
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.
Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.
Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo...
Je, wenye Akili tukihisi kuwa mmewatengea Pesa hiyo 'Kiduchu' kwakuwa ni Walemavu na mmewadharau tutakuwa tunakosea?
Halafu Waziri Mkuu Majaliwa jana ulisema kuwa ile Hela ya Hamasa Tsh 1.2B iliyotusababishia tukafungwa kwa 'Aibu' hapa Nyumbani na Congo DR imetumika vyema na ipasavyo je, una...
Habari Wadau,
Karibuni katika uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia unaofanyika leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Mlimani City.
Kauli mbiu ya kampeni hii mwaka huu ni Ewe mwananchi komesha ukatili wa KIjinsia sasa
Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri...
Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama.
TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na...
Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa.
Chini ya makubaliano yaliyosainiwa pamoja na Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, Hamdok ataongoza Serikali ya...
Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo.
Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...