Wakuu Mimi ni muajiriwa Nina miaka 8 kazini,
Wakati naanza kazi wazazi wangu hawakuwa na makazi bora hivyo nimekaa muda nikaamua kuwajengea nyumba bora japo Mimi sijajenga ya kwangu bado,, najibana hivyo hivyo kama mnavyoijua mishahara ya waajiriwa wa ktz ni kidogo kwa kada nyingi, Ndugu zangu...