wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

    Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike. Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume. Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya...
  2. R

    Mzazi, nini kinakupa ugumu kumuomba msamaha mtoto wako pale unapomkosea?

    Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea. Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa...
  3. Hiki kisa kimenisikitisha Mno, wazazi kizazi hiki kimeharibika, saidieni Binti zenu

    HIKI KISA KIMENISIKITISHA MNO, WAZAZI; KIZAZI HIKI KIMEHARIBIKA, SAIDIENI BINTI ZENU. Anaandika, Robert Heriel Mama mmoja amenipigia simu juzi, akanisimulia kisa hiki; " Nina Binti yangu, nimemsomesha mpaka CHUO akamaliza shahada yake ya Kwanza Mwaka 2016. Hakurudi nyumbani akatomea Huko...
  4. Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
  5. Hivi kweli wazazi mmeshindwa kabisa kulea watoto kwa njia sahihi?

    Morng guys how are you, I hope your fine? Leo morning nimekutana na tukio moja hilo lilinishangaza sana Nimetoka zangu home naenda mahangaikoni nikiwa njiani nawakuta watoto wawili mmoja mdogo mmoja mkubwa, mkubwa alikuwa namvuta huyu mdogo uku ana mpiga makofi huku anasema twende shule huko...
  6. C

    Kwanini wazazi huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto na wengine hubaguliwa?

    Kwema WanaJF, Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka...
  7. Wazazi na walezi, Kosa gani mtoto wako amewahi kufanya ila ukashindwa kumuadhibu sababu na wewe ulilifanya ukiwa mtoto?

    Habarini wana jamvi, Nmesukumwa kuleta hii mada sababu nimekumbuka kitu nikaishia kucheka tu. Mwaka jana mtoto wangu wa pili alipelekwa kuandikishwa shule na mzazi mwenzangu lakini jioni nikakuta timbwili sababu dogo alikua kapoteza begi lote la madaftari. Mama ake alikua anakaribia kumuadhibu...
  8. Hivi unajisikiaje kushindwa kuwatunza wazazi wako?

    Yaan wamekulea kwa shida, wamekusomesha kwa shida ila kaz uliyopata na tayari una familia inayokutegemea then hiyo familia yako ikakufanya ukashindwa kutunza wazazi au kuwasaidia wazazi, huenda kuna muda wanakusaidia wewe kwa kidogo walichonacho kwa sababu wanaona magumu yako. Unajisikiaje...
  9. U

    DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi. Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
  10. Sijivunii wazazi wangu

    Hivi ni wote mna wazazi kama wangu? Au mliwahi kuwa na wazazi kama wangu?, Najua ambao hamuelewi nini nazungumzia hapa haiwezi kuwaingia akilini au pia mnaweza kuhisi labda sina akili timamu na wale ambao kwa bahati mbaya mlishapoteza wazazi wenu basi pia hii tungo haitowaingia akilini, ila aina...
  11. Prof. Mkenda: Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum msiwafiche ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum

    Na WyEST Masasi, MTWARA Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao. Hayo yamesemwa na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuwa akizindua...
  12. Wazazi mjipange Pamoja mkitoa nasaha harusini kwa wanenu vinginevyo mtaaibika

    Baaada ya huzuni siku nzima usiku nikabahatika kuhudhuria harusi moja nzuri ya furaha na bashasha ya Wanyakyusa vs Wanyalu Ilipofika nasaha binti ni mnyakyusa akasimama Baba ''Mwanangu sina mengi ila nikukumbushe simu yako simu ya mumeo nisisikie kesi ya simu mimi ninemaliza...'' Zamu ya mama...
  13. Nilisomesha Mchumba aje kuwa Mke, Wazazi wakanivuruga na Mchumba akadanganyika

    PART 1 Huyu dada ndiye ambaye ilikuwa nimuoe. Nlimpenda sana kwa kweli na ku risk kumsomesha. Baada ya kuwa alikuwa na ufaulu ambao ungeweza msaidia kuendelea na masomo. Hakuwa na wazazi. Na ndugu zake hawakuwa tayari kumsomesha. Nikamwambia aombe kusoma IFM. akaomba akapata nikamlipia ada na...
  14. D

    Kero ya Walimu msingi kudai michango mingi; ni makubaliano ya kikao feki cha wazazi feki

    Shule nyingi za msingi za serikali siku hizi zimejaa michango mingi sana ambayo inaleta matabaka kwa watoto! Walimu wanachangisha hela ya mitihani kila siku 1000. Ndoo mpya kila term, Fagio jipya kila mwezi, Hela ya safari (tour) kwa mgongo wa hiari huku nyuma wanawapiga mkwara watoto kwenda...
  15. Wazazi wawezesheni watoto wenu kiuchumi

    Siku hizi hali Ni Tete mtaani vyuma vimekaza kabisa hakuna michongo Wala nafasi za kutosha za ajira. Vijana wengi wanahitimu vyuo wanarudi mtaani kutafuta ramani za maisha ila mambo hayaendi hawana CONNECTIONS kabisa. Wengi wanakuwa ' liabilities' kwa wazazi wao licha ya kuwa na elimu ya...
  16. Mkuu wa Mkoa Mara aagiza wazazi wa watoto 70 waliokeketwa wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee tarehe 10/1/2023 ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya kuwakamata wazazi/walezi wa watoto 70 waliokuwa wamekimbilia AFTGM Masanga kukwepa ukeketaji na baadaye kurejeshwa kwa wazazi wao baada ya kipindi cha ukeketaji...
  17. Wapambanieni watoto wenu wasije kuwa na wivu kwa wenzao waliopambaniwa na wazazi wao

    Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu. Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na...
  18. Popote mlipo wazazi, walezi, ndugu na jamii walindeni, saidieni mabinti wa vyuo

    Wasalaam!! Nichukue fursa hii kuwaasa wanajamii, wazazi, walezi na ndugu wenye mabinti vyuo vikuu (Degree), vya kati (Diploma) na vya chini (Certificates) lindeni mabinti zenu, jitoleeni kwa hali na mali na pia, wapeni usia na elimu ya maisha, ugumu wa maisha, na elimu ya kujitambua. Hali ni...
  19. Unamshauri Nini Mtu ambaye Hana Habari na wazazi wake ?

    Binafsi tangu nianze kuwa karibu na wazazi na kuwa karibu na Mungu nimeona Mabadiliko Katika Maisha yangu. Je Endapo ukifanya kinyume chake je ntarudi Kwenye msoto na kuanza kuishi Maisha ya bahati nasibu ? Kufikia hatua ya kushindwa kulipa Bima Kama Mwanzo na je ntarudi kupanga uswahilini na...
  20. Barua ya majibu kwa Wazazi Wangu

    Kambi ya Fisi Mimi sijambo. Shikamooni. Huku Dar joto tu baba na mama. Mambo mengi muda mchache.nashukuru kama mnaniombea ni jambo jema.Nami nawaombea pia. Huku mjini baba siyo kama huko Kiparang'anda.eti umpate mchumba asikujaribu na wewe umsimjaribu. Mbona unatalia kilio cha mbwa mdomo juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…