Wazazi wa sasa tufuate nyayo za wazazi wetu waliotulea kuokoa wanetu

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
778
749
Sitaki kusema mengi Ila tumefeli Sana kwenye malezi tofauti na wazazi wetu waliotulea Hadi tukawa watu wazima wenye manufaa kwenye jamii zetu. Watoto wengi wamekoswa misingi ya malezi bora, kudekezwa tu bila kukanywa na Ndo maana Kuna shida kubwa na badala yake tunawabebesha walimu lawama kumbe mtoto amekoswa msingi wa malezi toka akiwa mdogo.

Nakumbuka Mimi nilikuwa napigwa konzi ata Kama unakula ili uwe na adabu na ujue namna ya kula mbele za watu lakini kwa sasa wazazi wengi hatufanyi na Kama ukufanya hivo mtoto atazira eti na wewe mzazi unabembeleza kweli hayo ni malezi? Mimi anachezea fimbo nyingi sana.

Nilishaona mzazi mmoja anamfokea mwl kisa tu kamchapa mwanae kwa kosa la kutojua tebo na kwa bahati mbaya kidole kikapata jeraha, hii si sawa Ni Kama kumtupa mwanao na kualibu future yake maana huyo mwl hataangaika naye Tena.

Kwa wanafunzi wa miaka ya 90S viboko ilikuwa kawaida na ndivyo vimetufanya jinsi tulivo kwa sasa na walikuwa wazuri kiakili na nidhamu. Tubadilike vinginevyo huko mbele tutakoswa kizazi Cha kutusaidia Kama taifa.
 
Watu wa zamani walikua na maadili au nidhamu ipii?
Ya wizi, utapeli, uzinzi na rushwaa? Au unazungumzia nn wee??
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mimi nyumba yenye watoto wadogo wanaodekezwa wale wajinga wajinga sikai . Koo linaweza anza kuuma kutokana na kwamba wanakera mnooo.
 
Sitaki kusema mengi Ila tumefeli Sana kwenye malezi tofauti na wazazi wetu waliotulea Hadi tukawa watu wazima wenye manufaa kwenye jamii zetu. Watoto wengi wamekoswa misingi ya malezi bora, kudekezwa tu bila kukanywa na Ndo maana Kuna shida kubwa na badala yake tunawabebesha walimu lawama kumbe mtoto amekoswa msingi wa malezi toka akiwa mdogo.

Nakumbuka Mimi nilikuwa napigwa konzi ata Kama unakula ili uwe na adabu na ujue namna ya kula mbele za watu lakini kwa sasa wazazi wengi hatufanyi na Kama ukufanya hivo mtoto atazira eti na wewe mzazi unabembeleza kweli hayo ni malezi? Mimi anachezea fimbo nyingi sana.

Nilishaona mzazi mmoja anamfokea mwl kisa tu kamchapa mwanae kwa kosa la kutojua tebo na kwa bahati mbaya kidole kikapata jeraha, hii si sawa Ni Kama kumtupa mwanao na kualibu future yake maana huyo mwl hataangaika naye Tena.

Kwa wanafunzi wa miaka ya 90S viboko ilikuwa kawaida na ndivyo vimetufanya jinsi tulivo kwa sasa na walikuwa wazuri kiakili na nidhamu. Tubadilike vinginevyo huko mbele tutakoswa kizazi Cha kutusaidia Kama taifa.
Jinsi tulivyo sasa, nchi inapigwa mnada, wizi kila idara, bila rushwa hakuna linalofanyika! Hakuna utii, si wa utu wa mtu wala Katiba na sheria. Jamii imekeunga kupita maelezo.
 
Watu wa zamani walikua na maadili au nidhamu ipii?
Ya wizi, utapeli, uzinzi na rushwaa? Au unazungumzia nn wee??
Jamii imeoza hii, hao watoto wa enzi hizo ndio wanaoshindana kufanya kila aina ya ufedhuli.
 
Back
Top Bottom