Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku?
Tena kwa red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10%
Kusema kweli ni aibu...
Suala la kwamba wazanzibari hawana makabila sio sahihi kabisa,wanayo makabila.
Huu uzi siandikii ati kwa kuwa makabila yataleta manufaa yoyote kwa wazenji ama madhara yoyote,bali naandika kusahihisha ufahamu tu.
Kwanza Kabila ni jamii ya watu yenye umoja fulani upande wa lugha na tamaduni, si...
Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.
Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa...
Mheshimiwa Susan Kiwanga na wenzake Monica Nsaro na Aisha Luja wameshindwa kurithi nafasi ya Halima Mdee ya mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Kwa msingi huo, Sharifa ambaye ni kama makamu mwnyekiti wa Bawacha-Zanzibar, ndiye amechukua nafasi ya mheshimiwa Halima Mdee ya mwenyekiti wa Bawacha taifa...
Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index).
Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1.
Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.